RIPOTI YA CAG: Miaka mitatu nyuma CUF ilikuwa chini ya Maalim Seif si Prof. Lipumba

RIPOTI YA CAG:

Ripoti ya CAG inahusisha Ukaguzi kwa miaka ya Fedha 2016/17; 2017/18 na 2018/19. Kipindi hiki ni kuanzia 01/07/ 2016 hadi 30/06/2019.

Ikumbukwe kwamba mwaka wa kwanza wa Kipindi hiki Cha miaka mitatu Chama kilikuwa mikononi mwa akina Julius Mtatiro, Mhe. Twaha Taslima, Ismail Jusa Ladu na Maalim Seif Sharif Hamad.

Hivyo Mapungufu yaliyojitokeza yanatokana na Ombwe la Uongozi na fedha zilizohamishwa ni sehemu za fedha zilizotumika kununulia magari kupitia kwa Joran Bashange enzi za Maalim Seif Sharif.
Utetezi wa kipumbavu...kwanini hamkumshtaki huyo aliyetumia fedha za walipakodi kiufisadi? Mnapaswa kuomba radhi na kumtaka aliyekwapua fedha hizo arudishe sio kujitetea kijinga!!
Ninyi ndiyo mnataka na kugombea urais kwa ujinga huu wa majibu yakitoto,hivi zaidi ya Li-pumba kunawengine walioenda shule hko walau? Au ndiyo zile elimu za madrasa zaidi? Ukivuliwa nguo chutama sio unaruka hovyo mapust yanarukaruka hovyo...
 
Kwel Lumumba kumejaa misukule
Daah, Kaf habari tunashukuru kwa ufafanuzi>>>.

Inasikitisha namna ruzuku zinavyotafunwa huko na wadau, inafikia mahali wanaamua kutumia kwa kufanyia anasa badala ya kusambaza elimu ya uraia. Ununuzi wa magari ni anasa tu. Halafu mnadai kuminywa kwa demokrasia kumbe ni kuminywa kwa mianya ya kupiga kama hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
RIPOTI YA CAG:

Ripoti ya CAG inahusisha Ukaguzi kwa miaka ya Fedha 2016/17; 2017/18 na 2018/19. Kipindi hiki ni kuanzia 01/07/ 2016 hadi 30/06/2019.

Ikumbukwe kwamba mwaka wa kwanza wa Kipindi hiki Cha miaka mitatu Chama kilikuwa mikononi mwa akina Julius Mtatiro, Mhe. Twaha Taslima, Ismail Jusa Ladu na Maalim Seif Sharif Hamad.

Hivyo Mapungufu yaliyojitokeza yanatokana na Ombwe la Uongozi na fedha zilizohamishwa ni sehemu za fedha zilizotumika kununulia magari kupitia kwa Joran Bashange enzi za Maalim Seif Sharif.
We lipumbavu hebu acha ujuha mlitumika sasa mnatupwa kwa aibu mwenzako kukodi majumba honyo wewe kuingiza pesa za chama kwenye ac yako hii game ndio kwanza inaanza utaujua tu mshahara wa dhambi ni nini!!😃😃😃😃😃😃😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
CUF haijawahi kuwa chini ya Maalim seif. Maalim alikuwa katibu mkuu hakuwa mwenyekiti wa CUF.
 
Daah, Kaf habari tunashukuru kwa ufafanuzi>>>.

Inasikitisha namna ruzuku zinavyotafunwa huko na wadau, inafikia mahali wanaamua kutumia kwa kufanyia anasa badala ya kusambaza elimu ya uraia. Ununuzi wa magari ni anasa tu. Halafu mnadai kuminywa kwa demokrasia kumbe ni kuminywa kwa mianya ya kupiga kama hivi.
Wanafanya vizuri maana elimu ya uraia ilikatazwa wenye haki hiyo ni CCM tu
 
RIPOTI YA CAG:

Ripoti ya CAG inahusisha Ukaguzi kwa miaka ya Fedha 2016/17; 2017/18 na 2018/19. Kipindi hiki ni kuanzia 01/07/ 2016 hadi 30/06/2019.

Ikumbukwe kwamba mwaka wa kwanza wa Kipindi hiki Cha miaka mitatu Chama kilikuwa mikononi mwa akina Julius Mtatiro, Mhe. Twaha Taslima, Ismail Jusa Ladu na Maalim Seif Sharif Hamad.

Hivyo Mapungufu yaliyojitokeza yanatokana na Ombwe la Uongozi na fedha zilizohamishwa ni sehemu za fedha zilizotumika kununulia magari kupitia kwa Joran Bashange enzi za Maalim Seif Sharif.

Duh, siamini kama hiki chama kinaweza kuwa na majibu rejareja kiasi hiki. Taasisi hii kubwa kubwa imepoteza mwelekeo kabisa, haina tena vichwa wa kujibu shutuma hii nzito kwa umakini. Hoja nzito inajibiwa kwa urahisi bila kikao chochote cha kiutendaji kukaliwa, ni hatari sana.

Mkaguzi wa Hesabu hajamtaja mtu, hii inatokana na profession yake hairuhusu kutaja personality ameitaja taasisi nzima, inakuwaje majibu rejareja eti wakati huo chama kilikuwa chini ya nani na nani, hovyo kabisa! Lazima tukubaliane kwamba issue inayopaswa kujadiliwa na ambayo imewahimkuleta utata hata wakati wa kesi ilikuwa imekuwaje pesa ya chama tena kwa kiasi kikubwa cha sh. 300 milioni kinawekwa katika pesa ya mwanachama? Je ni malipo ya matumizi gani?
 
RIPOTI YA CAG:

Ripoti ya CAG inahusisha Ukaguzi kwa miaka ya Fedha 2016/17; 2017/18 na 2018/19. Kipindi hiki ni kuanzia 01/07/ 2016 hadi 30/06/2019.

Ikumbukwe kwamba mwaka wa kwanza wa Kipindi hiki Cha miaka mitatu Chama kilikuwa mikononi mwa akina Julius Mtatiro, Mhe. Twaha Taslima, Ismail Jusa Ladu na Maalim Seif Sharif Hamad.

Hivyo Mapungufu yaliyojitokeza yanatokana na Ombwe la Uongozi na fedha zilizohamishwa ni sehemu za fedha zilizotumika kununulia magari kupitia kwa Joran Bashange enzi za Maalim Seif Sharif.
HAhaha hiVi mnatuonaje watz! Mnatuona sisi panzi?
 
Mijitu myeusi ni mipuuzi sana hapa unataka kusema nini
RIPOTI YA CAG:

Ripoti ya CAG inahusisha Ukaguzi kwa miaka ya Fedha 2016/17; 2017/18 na 2018/19. Kipindi hiki ni kuanzia 01/07/ 2016 hadi 30/06/2019.

Ikumbukwe kwamba mwaka wa kwanza wa Kipindi hiki Cha miaka mitatu Chama kilikuwa mikononi mwa akina Julius Mtatiro, Mhe. Twaha Taslima, Ismail Jusa Ladu na Maalim Seif Sharif Hamad.

Hivyo Mapungufu yaliyojitokeza yanatokana na Ombwe la Uongozi na fedha zilizohamishwa ni sehemu za fedha zilizotumika kununulia magari kupitia kwa Joran Bashange enzi za Maalim Seif Sharif.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi ni hela za umma. Kama ambavyo watendaji wengine wamepigwa uhujumu uchumi,kwa nini hawa wameachwa?
 
Sawa tusubiri mwaka wa Fedha 2019/20 tuone CUF Chini ya Prof. Lipumba na Khalifa mtakavyo kuwa mumeshughulikia changamoto ambazo mumeshauriwa na CAG
 
RIPOTI YA CAG:

Ripoti ya CAG inahusisha Ukaguzi kwa miaka ya Fedha 2016/17; 2017/18 na 2018/19. Kipindi hiki ni kuanzia 01/07/ 2016 hadi 30/06/2019.

Ikumbukwe kwamba mwaka wa kwanza wa Kipindi hiki Cha miaka mitatu Chama kilikuwa mikononi mwa akina Julius Mtatiro, Mhe. Twaha Taslima, Ismail Jusa Ladu na Maalim Seif Sharif Hamad.

Hivyo Mapungufu yaliyojitokeza yanatokana na Ombwe la Uongozi na fedha zilizohamishwa ni sehemu za fedha zilizotumika kununulia magari kupitia kwa Joran Bashange enzi za Maalim Seif Sharif.
Nani aaminiwe? Wewe au Lipumba?
Maana wewe ume weka pumba hapa wakati Lipumba kakiri ni kweli pesa walipewa na msajili na wakazitoa na kuziweka kwenye akaunti binafsi kama Cag alivyo sema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi pesa zilihamishwa na kundi la Propesa pumba baada ya uongozi wake kutambuliwa rasmi na msajili wa vyama, acha kuposha ukweli! tena zilihamishwa kipindi kilekile na upande wa maalim Sif ulipiga sana kelele bila mafanikio!
 
Yani CUF ni mijinga ya Kimataifa

Lipumba anavuruga mihela wao wanaishia kuandika ujinga
 
Mahangaiko yote haya ni uthibitisho kwamba pesa ya Umma ilitakatishwa... Mwenye Chama amekiri na kumtaja mwenye Akaunti ilikopitia..
Jinai haina kikomo, Lipumba asisahau hilo... Ni suala la muda tu.
RIPOTI YA CAG:

Ripoti ya CAG inahusisha Ukaguzi kwa miaka ya Fedha 2016/17; 2017/18 na 2018/19. Kipindi hiki ni kuanzia 01/07/ 2016 hadi 30/06/2019.

Ikumbukwe kwamba mwaka wa kwanza wa Kipindi hiki Cha miaka mitatu Chama kilikuwa mikononi mwa akina Julius Mtatiro, Mhe. Twaha Taslima, Ismail Jusa Ladu na Maalim Seif Sharif Hamad.

Hivyo Mapungufu yaliyojitokeza yanatokana na Ombwe la Uongozi na fedha zilizohamishwa ni sehemu za fedha zilizotumika kununulia magari kupitia kwa Joran Bashange enzi za Maalim Seif Sharif.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya Lipumba kasema alihamisha hizo fedha kwa msaada wa msajili ba kuhamishia account binafsi ya mwanachama,mbona mnajichanganya?Kuleni pesa za mwisho mwisho maana mnaenda kuzikwa rasmi uchaguzi huu!
 
Hivi wewe lipumbavu na chama lako mnatuona sie mbuzi; ntawapa la kuwapa dadeki walahi. Toka lini chama kilikuwa chini ya mwalimu Sefu
Nyie tuambieni tu ukweli kwamba mlikula hela zetu walipa kodi kwa kushirikiana na lumumba jazz band.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KURUGENZI HABARI YA CUF

Mnakwama wapi Leo mwenyekiti kakubali kuwa pesa uongozi wenu ndio uliohamisha pesa lakn huu Uzi wenu lawama zote mkampa maalim Seif huwa hamuwasiliani wenyewe kwa wenyewe kila habari kutoa taarifa

TAARIFA YENU INA MKANGANYIKO LIPUMAVU ANASEMA NI KWELI PESA MMETUMIA TUELEWE LIPI?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom