RIPOTI YA CAG: Miaka mitatu nyuma CUF ilikuwa chini ya Maalim Seif si Prof. Lipumba

CUF Habari

JF-Expert Member
Dec 12, 2019
239
234
RIPOTI YA CAG:

Ripoti ya CAG inahusisha Ukaguzi kwa miaka ya Fedha 2016/17; 2017/18 na 2018/19. Kipindi hiki ni kuanzia 01/07/ 2016 hadi 30/06/2019.

Ikumbukwe kwamba mwaka wa kwanza wa Kipindi hiki Cha miaka mitatu Chama kilikuwa mikononi mwa akina Julius Mtatiro, Mhe. Twaha Taslima, Ismail Jusa Ladu na Maalim Seif Sharif Hamad.

Hivyo Mapungufu yaliyojitokeza yanatokana na Ombwe la Uongozi na fedha zilizohamishwa ni sehemu za fedha zilizotumika kununulia magari kupitia kwa Joran Bashange enzi za Maalim Seif Sharif.
 
Kwa mara ya kwanza namuona CAG akijiingiza na kupambana na ACT wazalendo,

Nasubiri kusikia CCM ktk ripoti japo ikiongoza kwa ufisadi ikifanya vizuri kabisa jappo kiukweli hata mwezi huu kimeifisadi nchi yetu.
RIPOTI YA CAG:

Ripoti ya CAG inahusisha Ukaguzi kwa miaka ya Fedha 2016/17; 2017/18 na 2018/19. Kipindi hiki ni kuanzia 01/07/ 2016 hadi 30/06/2019. Ikumbukwe kwamba mwaka wa kwanza wa Kipindi hiki Cha miaka mitatu Chama kilikuwa mikononi mwa akina Julius Mtatiro, Mhe. Twaha Taslima, Ismail Jusa Ladu na Maalim Seif Sharif Hamad.
Hivyo Mapungufu yaliyojitokeza yanatokana na Ombwe la Uongozi na fedha zilizohamishwa ni sehemu za fedha zilizotumika kununulia magari kupitia kwa Joran Bashange enzi za Maalim Seif Sharif.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtatajana sana mwaka huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hela ya ruzuku si Profesa alizuia kwa msaada wa msajili wa vyama na kila siku Maalim alikuwa akilalamika hilo mpk wabunge wakajichanga kutengeneza ofisi magomeni

Leo unataka kuwasingizia!?
Tatizo wanafikiri watanzania tumelala, wanasahau kuwa accounts zote zilikekwa chini ya lipumba na msajili wa vyama
 
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amebainisha mapungufu katika ukaguzi wake kwenye vyama vya siasa vya CUF na CCM.

Kichere amebainisha hayo leo Alhamisi Machi 26 katika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma wakati akiwasilisha ripoti ya ukaguzi wake ya 2018/19 kwa Rais John Magufuli.

Kichere amebainisha kwamba katika ukaguzi wake alibaini kwamba chama cha CUF kilipokea ruzuku ya Sh369.38 milioni lakini kiasi cha Sh300 milioni kilihamishwa kutoka kwenye akaunti ya chama kwenda kwenye akaunti binafsi.

Pia, amesema chama hicho kimeondoa saini ya katibu mkuu kama mmoja wa watu wa kuidhinisha utoaji wa fedha kutoka kwenye akaunti ya chama.

"Ninashauri mifumo ya udhibiti wa fedha ndani ya chama iimarishwe kwa kufuata sheria na katiba ya chama," amesema Kichere wakati akiwasilisha ripoti yake ya ukaguzi.

Kwa upande wa CCM, Kichere amesema Jumuiya ya Wazazi ilimuondoa mpangaji wake bila kufuata utaratibu, jambo lililosababisha mpangaji kutishia kufungua kesi akitaka kulipwa fidia ya Sh800 milioni.

Hata hivyo, amesema jumuiya hiyo ilimlipa Sh60 milioni baada ya kufanya mazungumzo ya kirafiki na mpangaji huyo ili kumaliza mgogoro uliokuwepo.

"Jumuiya ya wazazi ifuate utaratibu na masharti yaliyopo katika mikataba yao. Hiyo itaepusha kulipa fedha ambazo zingeweza kuepukika," amesema Kichere.
 
Yaani account ya chama kama CUF tena certified/verified inakuja na utetezi mfupi kama mkia wa mbuzi mwenye ndorobo. Hivi Chama ndo kimemaliza kujibu hivyo? Tangu Lipumba atoroke Rwanda baada ya kulizwa hela na yule demu aliyepewa na Kikwete Maalim Seif ashawahi kusaini cheque ya CUF?

Hebu kajipangeni mje kujibu vizuri. Mkishindwa ombeni msaada kwa Mutungi atawasaidia maana ndiye aliyewaelekeza naman ya kuiba hela ili Maalim Seif ashindwe kuendesha Chama.
 
RIPOTI YA CAG:

Ripoti ya CAG inahusisha Ukaguzi kwa miaka ya Fedha 2016/17; 2017/18 na 2018/19. Kipindi hiki ni kuanzia 01/07/ 2016 hadi 30/06/2019.

Ikumbukwe kwamba mwaka wa kwanza wa Kipindi hiki Cha miaka mitatu Chama kilikuwa mikononi mwa akina Julius Mtatiro, Mhe. Twaha Taslima, Ismail Jusa Ladu na Maalim Seif Sharif Hamad.

Hivyo Mapungufu yaliyojitokeza yanatokana na Ombwe la Uongozi na fedha zilizohamishwa ni sehemu za fedha zilizotumika kununulia magari kupitia kwa Joran Bashange enzi za Maalim Seif Sharif.
Tulieni dawa iwangie.
 
Mwenyekiti wa CUF ni yuleyule. Na swala kubwa ni kuweka pesa kwenye account binafsi. Je hii ni account ya nani?
 
Daah, Kaf habari tunashukuru kwa ufafanuzi>>>.

Inasikitisha namna ruzuku zinavyotafunwa huko na wadau, inafikia mahali wanaamua kutumia kwa kufanyia anasa badala ya kusambaza elimu ya uraia. Ununuzi wa magari ni anasa tu. Halafu mnadai kuminywa kwa demokrasia kumbe ni kuminywa kwa mianya ya kupiga kama hivi.
 
RIPOTI YA CAG:

Ripoti ya CAG inahusisha Ukaguzi kwa miaka ya Fedha 2016/17; 2017/18 na 2018/19. Kipindi hiki ni kuanzia 01/07/ 2016 hadi 30/06/2019.

Ikumbukwe kwamba mwaka wa kwanza wa Kipindi hiki Cha miaka mitatu Chama kilikuwa mikononi mwa akina Julius Mtatiro, Mhe. Twaha Taslima, Ismail Jusa Ladu na Maalim Seif Sharif Hamad.

Hivyo Mapungufu yaliyojitokeza yanatokana na Ombwe la Uongozi na fedha zilizohamishwa ni sehemu za fedha zilizotumika kununulia magari kupitia kwa Joran Bashange enzi za Maalim Seif Sharif.
Tumemsikiliza mtu mmoja lakini kila mtu amesikia tofauti. Mimi nimesikia taarifa ya ukaguzi wa mwaka ulioishia 30/06/2019; sasa sijui wewe hiyo miaka mitatu umeipata wapi?

Pili, kwa muda mrefu ruzuku ya CUF ilizuiwa na msajili baadaye msajili akaachia pesa chini ya uenyekiti wa Prof. Lipumba na Board yake ya wazamini iliyokuwa inalalamikiwa na kundi la Maalimu Seif mahakamani
 
UJINGA MTUPU
RIPOTI YA CAG:

Ripoti ya CAG inahusisha Ukaguzi kwa miaka ya Fedha 2016/17; 2017/18 na 2018/19. Kipindi hiki ni kuanzia 01/07/ 2016 hadi 30/06/2019.

Ikumbukwe kwamba mwaka wa kwanza wa Kipindi hiki Cha miaka mitatu Chama kilikuwa mikononi mwa akina Julius Mtatiro, Mhe. Twaha Taslima, Ismail Jusa Ladu na Maalim Seif Sharif Hamad.

Hivyo Mapungufu yaliyojitokeza yanatokana na Ombwe la Uongozi na fedha zilizohamishwa ni sehemu za fedha zilizotumika kununulia magari kupitia kwa Joran Bashange enzi za Maalim Seif Sharif.
nyinyi CUF/CCM simlizuia pesa zote na mkashikilia akaunti zote na kwa msaada wa Msajili wa vyama ..mkamfanya Maalim na wenzake kushinda kukiendesha chama kwa kukosa pesa ????

Kile kipindi Maalim analalamika kua Pesa zote mnagawa ?? Mliwahi kujitokeza kumpinga ????

ACHA KUTUANDIKIA UTOPOLO WAKO HAPA.

Nimekutukania Tusi kubwa.
 
RIPOTI YA CAG:

Ripoti ya CAG inahusisha Ukaguzi kwa miaka ya Fedha 2016/17; 2017/18 na 2018/19. Kipindi hiki ni kuanzia 01/07/ 2016 hadi 30/06/2019.

Ikumbukwe kwamba mwaka wa kwanza wa Kipindi hiki Cha miaka mitatu Chama kilikuwa mikononi mwa akina Julius Mtatiro, Mhe. Twaha Taslima, Ismail Jusa Ladu na Maalim Seif Sharif Hamad.

Hivyo Mapungufu yaliyojitokeza yanatokana na Ombwe la Uongozi na fedha zilizohamishwa ni sehemu za fedha zilizotumika kununulia magari kupitia kwa Joran Bashange enzi za Maalim Seif Sharif.
Hiyo hela walichukua Lipumba na Magdalena.

Hiyo hata chipukizi wa CCM wanalijua!
 
RIPOTI YA CAG:

Ripoti ya CAG inahusisha Ukaguzi kwa miaka ya Fedha 2016/17; 2017/18 na 2018/19. Kipindi hiki ni kuanzia 01/07/ 2016 hadi 30/06/2019.

Ikumbukwe kwamba mwaka wa kwanza wa Kipindi hiki Cha miaka mitatu Chama kilikuwa mikononi mwa akina Julius Mtatiro, Mhe. Twaha Taslima, Ismail Jusa Ladu na Maalim Seif Sharif Hamad.

Hivyo Mapungufu yaliyojitokeza yanatokana na Ombwe la Uongozi na fedha zilizohamishwa ni sehemu za fedha zilizotumika kununulia magari kupitia kwa Joran Bashange enzi za Maalim Seif Sharif.
Kwa hiyo hayo ndio majibu ya chama? Mbona CAG anasema hapo saini ya katibu mkuu Maalim iliondolewa?
Au mnadhani sie ni wajinga tumesahau juhudi za Seif kuzuia Lipumba kwa kumtumia Msajili wasiendelee kuiba zilivyokuwa ngumu?
Jibuni tuhuma za huo wizi na sio kuja na utumbo kama huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
RIPOTI YA CAG:

Ripoti ya CAG inahusisha Ukaguzi kwa miaka ya Fedha 2016/17; 2017/18 na 2018/19. Kipindi hiki ni kuanzia 01/07/ 2016 hadi 30/06/2019.

Ikumbukwe kwamba mwaka wa kwanza wa Kipindi hiki Cha miaka mitatu Chama kilikuwa mikononi mwa akina Julius Mtatiro, Mhe. Twaha Taslima, Ismail Jusa Ladu na Maalim Seif Sharif Hamad.

Hivyo Mapungufu yaliyojitokeza yanatokana na Ombwe la Uongozi na fedha zilizohamishwa ni sehemu za fedha zilizotumika kununulia magari kupitia kwa Joran Bashange enzi za Maalim Seif Sharif.
Ile A/C iliyofunguliwa na Malima NMB mlikopitishiwa fedha za Cuf kinyume cha Katiba ya nchi na kinyume cha sheria ya vyama vya siasa ilifunguliwa na Maalim Seif ?
 
Hao CUF bora wasingejibu; kiasi cha pesa milioni 300 zilizohamishwa toka kwenye account ya CUF kwenda kwa mtu binafsi wote tunafahamu huyo mtu binafsi ni nani, na mpaka leo bado yupo kama kiongozi wa hicho chama.

But jambo lakushangaza zaidi, naamini hata huyo aliyeamuru hizo pesa zihamishiwe kwenye hiyo account ya mtu binafsi nae alikuwa anasikiliza hiyo ripoti ya CAG ikisomwa, sasa haya maigizo yenu sijui ya kazi gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom