Ripoti ya CAG kwa mwaka ulioishia 30 Juni, 2017 imejaa madudu

Halafu kuna mijitu inakuja tunapongeza juhudi sijui tunaunga mkono juhudi.....mkono juhudi pongezi my foot
Nchi inaendelea kuibiwa tofauti yake ni mwizi ni yuleyule amebadilisha mbinu ya kuiba
Eti tumeibiwa vya kutosha blabla na sasa tunaibiwa vya kuzidi
ccm nchi mnaimaliza wenyewe mnashinda mkiwadanganya WaTz
 
Lile boti lililotumia masaa nane Dar es Salaam to Bagamoyo linatengenezwa tena, natafuta gharama zake za matengezo
 
Kwa mujibu wa ripoti ya CAG, wanachama wa Chadema wana kazi kubwa sana kwa mujibu wa ripoti hii, binafsi sitaki kuwapangia namna ya kuchukizwa na madudu yaliyoripotiwa humo kuhusu harufu ya ufisadi ndani ya chama, ila kwasababu kwa miaka mingi wanajipambanua kama watu wanaochukia uchafu nadhani tusiwasonge sana, bali tuwape nafasi ili tuone WANAKERWA kiasi gani na uchafu uliotajwa na ripoti ya CAG ktk nyumba yao.
 
Umeliona hilo tu kwenye kurasa zote zile? Mbona makusanyo ya kodi hayakufanana na maendeleo yanayohubiriwa nalo hujaliona! Hilo deni la panadol za India hulioni umeiona cdm tu! Watu wanapiga kuliko wakati mwingine wowote na hawafanywi lolote mradi uimbe kumsifu! Wacha wale ili cag apate cha kukagua!
 
Kama kuna kuwa na usiri wa kukaguliwa madini maana yake nini?kama sio kumpatia mtu mamulaka sana ya rasilimali zetu mtu mmoja afanye vile atakavyoamua yeye kama yeye pasipo kukosolewa ambako hakuna binadamu mkamilifu ndio maana kukawa na mkaguzi sasa kazi yake itakuwa ni ipi?Sheria zingine ccm wanazipitisha kama wamekatika vichwa awafikilii miaka ya mbeleni kutakuwa na mazala gani? kwenye sheria waliopitisha
 
Tuna tatizo la kimfumo na kitaasisi katika uzuiaji mianya ya upotevu wa fedha za umma. Tutafanikiwa tu, endapo tutafanya maboresho ya kitaasisi (Institutional Reforms).
 
Wenzetu nyie ni miongoni mwa wanasiasa waliohama vyama vya upinzani na kujiunga na CCM kwa madai ya kuridhishwa na utendaji wa serikaki ya Rais Magufuli huku baadhi yenu mkilaumu wapinzani kwa kupinga kila kitu.

Baada ya ripoti ya CAG kutoka ya mwaka wa fedha wa 2016/2017, ningependa kusikia maoni yenu nyinyi pamoja na wale wengine wote waliohama upinzani na kuhamia CCM ili kumuunga mkono mheshimiwa.

Je,kwa upotevu huu mkubwa wa fedha za umma,mtahama tena CCM?

Kwa tuhuma hizi za upotevu huu mkubwa wa fedha za umma na matumizi haya makubwa ya fedha za umma nje ya bajeti, tuambieni CCM ya Kikwete na hii ya Magufuli ipo bora?

Je,sasa mmeamini maneno ya viongozi wa dini kuwa "kiongozi mzalendo si mbadala wa Katiba mpya"?

Tuambieni mnajifunza nini?

Katambi na Kitila Mkumbo sijawasahau.

Naombeni majibu.
 
Back
Top Bottom