Ripoti ya CAG kwa mwaka ulioishia 30 Juni, 2017 imejaa madudu

Ripoti ya CAG kwa mwaka ulioishia 30 Juni, 2017 imejaa madudu

Akitekwa watakuwa wamethibitisha yanayosemwa nasi tutaanza kutekana mtaani
Mkaguzi naye juzi kati aliomba radhi hesabu ilikosewa Leo anamwaga mboga! Hii nchi raha sana
CAG tuendeleeee.......
Kuna watu suruali zitawabana
Tusitegemee bunge watawajibisha mtu ifike mahali wananchi wenyewe tuanze kudai chetu wenyewe wabunge waendelee kupendana bungeni maana ndicho kinachowapeleka huko ni u&$&$iii tu
Tz imekwisha

Kama Halima Mdee na Esther Bulaya!
 
Magu angeweza kutengua uteuzi wa CAG ingekuwa siku nyingi ashapangiwa kazi nyingine. Inaonekana CAG anafuata maadili ya kazi yake kikamilifu.
Sheria na mikataba ya kimataifa haimruhusu rais kumfukuza CIG ...katika taaluma anayofanya ...lakin anaweza mteua...
 
Fisadi na mwizi aliyestahili kuwa lupango kalindwa hadi anaingia Ikulu. Ikulu ya Nchi inaendelea kunajisiwa.
Bora angeingia Lowasa, mtu MWEMA, sio mwizi kabisa
 
Mkuu sio unasema Aisee!!! Unatakiwa ujue kuwa serikali inapokusanya kodi inafanya mambo mengi kwa wakati mmoja. Ukusanyaji kodi matumizi yake ni pamoja na
1-Kulipa madeni ya nje ambayo serikali kuanzia wakati wa mwalimu nyerere,rais mwinyi rais mkapa rais kikwete na sasa rais magufuli hapo unazungumzia matrilioni ya shillingi.
2-Kulipa madeni ya ndani kwenye secta zote,watumishi wa umma,makandarasi mbalimbali katika wizara zote na taasisi zake
3-Kulipa mishahara ya watumishi wote wa umma
4- Kupeleka fedha kwenye miradi ya maendeleo ambayo serikali iliahidi wakati wa kuomba kura kupata ridhaa ya kuongoza taifa.
5-Kulipia maswala ya dharula,na vitu vyote vinavyohusiana na gharama za serikali.
Kwa kifupi ni kama ulivyo wewe na familia yako,NI VIGUMU SANA KWAKO KUJITOSHELEZA KWA KILA KITU,KWA KIPATO CHAKO MWENYEWE.

Tumia akili ndugu, hayo yote unayoayataja yapo kwenye bajeti, na ukwlei ni kuw ahayajatekelezwa, je hela zimeenda wapi?

mimi nitakusiadia, kuna matatu tu hapa:-
1. Ufisadi hela zimeliwa
2. Matumizi nje ya bajeti
3. TRA wamepika data, na ukweli ni kuw amakusanyo hayajafika 94% ya bajeti.
 
fafnua ndugu yangu, maana haiwezkani ukusanye 94% then utekeleze 50% ipo namna , na hili lina hitaji Audit zimeendaw api Trilion karibia 10 na zaidi?
Hivi kama umemtengea mkandarasi bilioni 10...na so far amefanya kazi ya bilioni 2 na amepata certificate ya bilioni 2 ...matumizi ya fedha yataonekana ni bilioni ngapi?

kwa lugha nyingine...umezicommit bilioni 10 kujenga barabara but uwezo wa mkandarasi kwenda na kasi ni bilioni 2 so far ...utampatia ili uonekane umetekeleza?

wewe ni mchumi hebu nijibu!
 
Tumemugawia Wastara, tumemugawia Makonda ampeleke yule kijana China, tumegawia bima kwa watoto waliotelekezwa, tumemugawia Askofu Amani million 180 anunue gari..

Yaani kwa kifupi tumezigawa gawa kwa wañanchi ili tuongeze purchasing power maana hali si hali

CAG angelichunguza na kudadisi sana angeligundua kuwa fedha nyingi za serikali nimefanya kazi ya Ununuzi wa Madiwani, Safari za Chato, Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Chato, Misifa na bado nyingine nyingi zinatumika kununulia Pampasi.
 
Zimetumika kwa;
1: mke wa nanihii kwenda kupandikiza chaina
2: kulipa wasiojulikana
3: jumba la no 1 wake mwanza
4: kununua madiwani na wabunge
5: miradi chattle
 
Sheria na mikataba ya kimataifa haimruhusu rais kumfukuza CIG ...katika taaluma anayofanya ...lakin anaweza mteua...
Taratibu za kumuondoa ni ngumu. Na akishateuliwa ni hadi astaafu. Hapo Magu hana namna zaidi ya kumsifia tuu.
 
Back
Top Bottom