Lazima ulinde ugali wako Vila hivyo utakufa njaaLabda huyo Mafufuli...ila Serikali ya Magufuli ipo vizuri
Umesahau na 100mil za Mzee Ngoma wa Tanzanite pamoja na ule UkutaTumemugawia Wastara, tumemugawia Makonda ampeleke yule kijana China, tumegawia bima kwa watoto waliotelekezwa, tumemugawia Askofu Amani million 180 anunue gari..
Yaani kwa kifupi tumezigawa gawa kwa wañanchi ili tuongeze purchasing power maana hali si hali
Kwanini ujidharilishe kwa kutumia kingeleza huku hukimudu sasa ndo umeandika nini?Unatumia human west kufikiri
Mkuu sio unasema Aisee!!! Unatakiwa ujue kuwa serikali inapokusanya kodi inafanya mambo mengi kwa wakati mmoja. Ukusanyaji kodi matumizi yake ni pamoja naAisee
Muulize CAG Assad.Ughaibuni ndio wapi taja nchi husika kama ni umoja wa ulaya, marekani au kwa Ayatollah wa Iranian
Na wewe mwenyewe mwizi wote wezi tuUKOO WA PANYA: Baba mwizi, Mama mwizi, watoto wezi, babu, bibi, mjomba, shangazi n.k wote WEZI...
Ile ya mzee Ngoma ni mahari tumetoa.. Kale ka Binti keupe na sie wasukuma ni damu damuUmesahau na 100mil za Mzee Ngoma wa Tanzanite pamoja na ule Ukuta
waste au west!!!?Unatumia human west kufikiri
Ww hata kiswahili hujui ndio uje kunikosoa mmKwanini ujidharilishe kwa kutumia kingeleza huku hukimudu sasa ndo umeandika nini?
Mm nimeandika west, sio waste ya m.aviwaste au west!!!?
wewe unafikiri ugaibuni ni kinondoni?