Ripoti ya CAG: Deni la Taifa lafikia trilioni 33.5, NEC yamulikwa, Mishahara hewa na Ukwepaji kodi..

Serikali oga huwa haijiamini, ni aibu kwa serikali ya watumbua majipu "hadharani" mbele ya media na macamera kedekede, lakini inapokuja mambo yenye hoja nzito "wanataka yasemewe sirini", utadhani Bunge ni mahali pa faragha vile!
lugumi lugumi

usanii makamera kibao wakati hata sukari tu wameshindwa kusimamia i dont trust ccm
 
Wanaogopa nini kutuonyesha hilo bunge?
Wanatulazimisha kuwa wakimbizi nchini kwetu?
 
Nivizuri kuji baragazua
Awamu hii mtamtafuta alie waroga naye kisha kufa
CDM mnatapatapa hali Mbaya
Mlitegemea siasa za viroba bungeni kama mtaji wenu kwa Vibendera kwasasa n kutumia AKILI tu mbona mtapotea
4d60aef7c2f6199b0c749915a1573e44.jpg
Acha uzembe. Bunge kutoonyeshwa live linaathiri kila Mtanzania bila kujali itikadi yake. Grow up!
 
Leo tarehe 25 April 2016 repoti ya CAG Alhaj Prof.Mussa Juma Assad,inawasilishwa na kujadiliwa bungeni.Ripoti hiyo ni ya hesabu za serikali kwa mwaka 2014/2015.Pamoja na CCM kuhakikisha hatulioni bunge ili kuficha mambo kama haya,lakini baki hapa kupata updates za uwasilishaji.

CAG anaenda kuonesha How public funds were eaten under monitoring and supervision of CCM.CCM is going to be undressed. M/S Lugumi kitu gani,kuna uuzwaji wa nyumba za serikali na uchambuzi wa Thamani ya Fedha ya Miradi ya Barabara 2014/2015,Unajua halmashauri ngapi zimepata Hati Chafu/zenye mashaka?

Haaah haaah,usibadili channel.Updates:Spika anaarifu kuwa repoti za PAC na LAAC ambapo CAG husemeamo,hazita wasilishwa,mpaka mda utakapopangwa.Watawasilisha repoti za mawaziri tu.Connect dots.Yaani mtuhumiwa anajiwasilishia hukumu.Updates:pamoja na umuhimu wa repoti na tukio kwa ujumla,TBC wametoweka baada ya kipindi cha Maswali na Majibu.Hii ni hujuma kubwa kwa sisi wananchi kushindwa kuona na kusikiliza ni nini msimamizi mkuu wa fedha ameona katika matumizi ya serikali

==================

Updates;

=================

View attachment 342214
Alhaj Prof.Mussa Juma Assad, anamwaga nondo zilizomo kwenye Ripoti ya CAG.

=Ulaji na uzembe vinatajwa kubeba sehemu kubwa ya ripoti hii.

=Missmaha ya kodi 2014/15 ni asilimia 2 ya pato la taifa kinyume cha asilimia 1

=Halmashauri 40 hivi ndo zenye hati safi kati ya halmashauri zaidi ya 160

=Bidhaa a bilioni 9 za kupelekwa nje ziliuzwa hapa hapa nchini. Upigaji huo wa ukwepaji kodi.

=Bilioni za bilioni 89 za nje hakuna ushahidi kama zilienda rwanda, burundi na uganda.

=Rufaa za kodi nyingi mno zimedoda mahakamani na hivyo kuikosesha serikali kodi

=Deni la taifa juni 2015 trilioni 33.5.

=Ndani ya mwaka mmoja lilikuwa kwa trilioni 7!!!

=Malipo kwa deni kwa mwaka ni trilioni 4.

=Deni na mishahara inamaliza mapato yote ya taifa

=CAG anahoji, tutapata wapi pesa za maendeleo?

=Anataka maduka ya fedha za kigeni yadhibitiwe

=Vyama vya siasa, kimoja tu kimewasilisha hesabu.

=Vyama 21 bado, Msajili afiatilie. Hajakitaja chama kilichowasilisha

=Mishahara hewa taasisi 16. Ni bilioni 390

=Mishahara ambayo haikulipwa na haikurejeshwa hazina ni bilioni 2

=Milioni 700 za makato ya watumishi kwa katavi na kilimanjaro hayakuwasilishwa kwenye mifuko

=Sh milioni 827 za vifaa vya upigaji kura zilitumika kwa kazi isiyo na tija

=Nakala 158,003 hazikusambazwa kwa walengwa wakati wa kura za maoni

=Manunuzi ya bilioni 27 yalifanywa na mashirika ya Umma bila ushindani

=Cheti cha uendeshaji ATC kimeisha muda tangu 2010

=ATC ina Wafanyakazi wengi kuliko kazi zilizopo

=Ni Halmashauri 40 kati ya Halmashauri zaidi ya 160 nchini ndizo zenye hati safi!

=Bidhaa za bilioni 9 za kupelekwa nje ziliuzwa hapahapa nchini. Nia ni kukwepa kodi!

=Bidhaa za Sh. Bilioni 89 za kwenda nje hakuna ushahidi kama zilienda Rwanda, Burundi na Uganda
nimeagiza juice ya pera , nakufuatilia mwanzo mwisho .
 
Bongo bwana utasikia mhasibu Singida atafuna mishahara hewa kwa muda wa miaka miwili 29 milioni...wakati watafunaji harisi Taharifa zipo bungeni na hamtaki tujue..
 
Unasema eti,kwa speed ya jpm poleni sana

Ferry Dar-Bagamoyo
  • Ferry speed does not comply with purchaser’s requirements
    The expert’s inspection report noted that the maximum and minimum speed during sea trials was observed to be 19.45 and 17.25 knots respectively contrary to the agreed contract speed of 20 knots.
  • The ferrying boat was handed over on 17thNovember, 2014 to TEMESA after a delay of 16 days without goods acceptance certificate in accordance with Reg.247 of PPR, 2013. Additionally, as at the time of
    audit (August, 2015), almost one year after handing over the goods certificate of acceptance was yet to be issued to the supplier contrary to Reg.248 of PPR, 2013. The situation suggests that defects noted during
    technical and expert sea trials are not yet rectified and the ferry boat is not operational for a year now
 
Serikali oga-pendwa!! Hvi unaonaje wwe kama baba mwanao akija kukuchana live dingi unajua mdomo wako unanuka sana unatutia aibu mtaani. Mzazi mjinga atasema mtoto hana adabu ila mzazi mwelewa atajua anahitaji kufanya marekebisho somewhere na amini usiamini hali yake ya mwisho itakuwa bora kuliko ile ya kwanza akizingatia. Usiri-siri huu haujengi hata kidogo. Wekeni mambo hadharani watu wapembue mbivu na mbichi
 
Leo tarehe 25 April 2016 repoti ya CAG Alhaj Prof.Mussa Juma Assad,inawasilishwa na kujadiliwa bungeni.Ripoti hiyo ni ya hesabu za serikali kwa mwaka 2014/2015.Pamoja na CCM kuhakikisha hatulioni bunge ili kuficha mambo kama haya,lakini baki hapa kupata updates za uwasilishaji.

CAG anaenda kuonesha How public funds were eaten under monitoring and supervision of CCM.CCM is going to be undressed. M/S Lugumi kitu gani,kuna uuzwaji wa nyumba za serikali na uchambuzi wa Thamani ya Fedha ya Miradi ya Barabara 2014/2015,Unajua halmashauri ngapi zimepata Hati Chafu/zenye mashaka?

Haaah haaah,usibadili channel.Updates:Spika anaarifu kuwa repoti za PAC na LAAC ambapo CAG husemeamo,hazita wasilishwa,mpaka mda utakapopangwa.Watawasilisha repoti za mawaziri tu.Connect dots.Yaani mtuhumiwa anajiwasilishia hukumu.Updates:pamoja na umuhimu wa repoti na tukio kwa ujumla,TBC wametoweka baada ya kipindi cha Maswali na Majibu.Hii ni hujuma kubwa kwa sisi wananchi kushindwa kuona na kusikiliza ni nini msimamizi mkuu wa fedha ameona katika matumizi ya serikali

==================

Updates;

=================

View attachment 342214
Alhaj Prof.Mussa Juma Assad, anamwaga nondo zilizomo kwenye Ripoti ya CAG.

=Ulaji na uzembe vinatajwa kubeba sehemu kubwa ya ripoti hii.

=Missmaha ya kodi 2014/15 ni asilimia 2 ya pato la taifa kinyume cha asilimia 1

=Halmashauri 40 hivi ndo zenye hati safi kati ya halmashauri zaidi ya 160

=Bidhaa a bilioni 9 za kupelekwa nje ziliuzwa hapa hapa nchini. Upigaji huo wa ukwepaji kodi.

=Bilioni za bilioni 89 za nje hakuna ushahidi kama zilienda rwanda, burundi na uganda.

=Rufaa za kodi nyingi mno zimedoda mahakamani na hivyo kuikosesha serikali kodi

=Deni la taifa juni 2015 trilioni 33.5.

=Ndani ya mwaka mmoja lilikuwa kwa trilioni 7!!!

=Malipo kwa deni kwa mwaka ni trilioni 4.

=Deni na mishahara inamaliza mapato yote ya taifa

=CAG anahoji, tutapata wapi pesa za maendeleo?

=Anataka maduka ya fedha za kigeni yadhibitiwe

=Vyama vya siasa, kimoja tu kimewasilisha hesabu.

=Vyama 21 bado, Msajili afiatilie. Hajakitaja chama kilichowasilisha

=Mishahara hewa taasisi 16. Ni bilioni 390

=Mishahara ambayo haikulipwa na haikurejeshwa hazina ni bilioni 2

=Milioni 700 za makato ya watumishi kwa katavi na kilimanjaro hayakuwasilishwa kwenye mifuko

=Sh milioni 827 za vifaa vya upigaji kura zilitumika kwa kazi isiyo na tija

=Nakala 158,003 hazikusambazwa kwa walengwa wakati wa kura za maoni

=Manunuzi ya bilioni 27 yalifanywa na mashirika ya Umma bila ushindani

=Cheti cha uendeshaji ATC kimeisha muda tangu 2010

=ATC ina Wafanyakazi wengi kuliko kazi zilizopo

=Ni Halmashauri 40 kati ya Halmashauri zaidi ya 160 nchini ndizo zenye hati safi!

=Bidhaa za bilioni 9 za kupelekwa nje ziliuzwa hapahapa nchini. Nia ni kukwepa kodi!

=Bidhaa za Sh. Bilioni 89 za kwenda nje hakuna ushahidi kama zilienda Rwanda, Burundi na Uganda.

KUHUSU WIZARA YA UJENZI (ILIYOKUWA WIZARA YA MAGUFULI)

1. Ferry Dar-Bagamoyo

  • Ferry speed does not comply with purchaser’s requirements
    The expert’s inspection report noted that the maximum and minimum speed during sea trials was observed to be 19.45 and 17.25 knots respectively contrary to the agreed contract speed of 20 knots.
  • The ferrying boat was handed over on 17thNovember, 2014 to TEMESA after a delay of 16 days without goods acceptance certificate in accordance with Reg.247 of PPR, 2013. Additionally, as at the time of
    audit (August, 2015), almost one year after handing over the goods certificate of acceptance was yet to be issued to the supplier contrary to Reg.248 of PPR, 2013. The situation suggests that defects noted during
    technical and expert sea trials are not yet rectified and the ferry boat is not operational for a year now
Serikali inayominya uwazi CAG asingesoma ripoti ya madudu kwa uwazi hivyo na wala wewe usingeona kwenye TV,tatizo kubwa linalowakabili kwa sasa ni uluwasamania..!
 
Ulhaji una dhwima nzito ingekua wachaMUNGU wa zamani ningesema Alhaji Assad atakuja kutema ukweli mtupu utakaotusaidia,lakini kwa sasa mh nahisi nae atapindisha tu ngoja tu.
 
Back
Top Bottom