Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 65,812
- 156,950
Kwani fisadi si yuko cdm?Mkuu usikariri!
Imekuwaje mnautaja tena ccm?
Kwani fisadi si yuko cdm?Mkuu usikariri!
Mkuu hatuna hela za uchaguzi wa marudioWakitoka hapo waende kwa wale walioliingiza taifa kwenye hasara baada ya kufanya manunuzi ya kiboya.
Sasa mkuu huoni akiendelea na ile post atazidi kulitia taifa hasara ?Mkuu hatuna hela za uchaguzi wa marudio
Wote tunahitaji deliverance, kwa sasa asiye na dhambi aokote jiwe. Wakubali kutubu na kuacha kuvaa hirizi kama kweli wanataka kuongoza malaika mbinguni one day yes.Sasa mkuu huoni akiendelea na ile post atazidi kulitia taifa hasara ?
Wako Na Pascal MayallaAsante kwa taarifa
Joseverest uko wapi siku hizi mkuu?
Wee kuongoza mbinguni sio mchezo.Wote tunahitaji deliverance, kwa sasa asiye na dhambi aokote jiwe. Wakubali kutubu na kuacha kuvaa hirizi kama kweli wanataka kuongoza malaika mbinguni one day yes.
Hii Tabia Vyama Vyote Vya Siasa Tz Vinaonyesha Vinayo Tena Vyama Vingine Ukionekana Kuhoji Hawakawii Kukuita Msaliti Sijui Lini Itaisha.Panya kugombana kwa kutuhumiana kuibiana mgao wa wizi sio tija,mwisho wa siku watayamalizana kimya kimya ili wasiumbuane!!!!
Mlimwandama hadi kumzushia kifo, naye ana moyo wa nyama mkui
Daah alisimangwa sana, mara aitwe mod, mara aambiwe hana kazi, bila shaka alipata somo akaamua awe mpoleHii habari ni mpya kwangu mkuu,sina habari kama watu walimwandama! Pole yake huko alipo.
Ni mwendo wa kulindana tu, usishangae hata Sabaya miaka michache ijayo akaja kuwa Mbunge hadi waziri.Shaka amepandishwa cheo sasa. Ccm ni ukoo wa panya.