Ripoti mali za CCM: Mwakyembe, Bulembo, Shaka (UVCCM), Sixtus Mapunda, Makatibu 11 wa Mikoa hawachomoki

pumzi kuu ya ccm ni UFISADI NA WIZI. huwa nashangaaga sana navosikia serikali ikipambana na mafisadi wakati wote wako ccm
 
Hii taarifa nimeipata mahali fulani nyeti na inasemekana mawaziri waliofisadi mali za CCM wametakiwa wajiuzulu ili wakamalizane kwanza na chama. Endapo mawaziri hao watasita kujiuzulu basi mamlaka ya uteuzi itawafuta kazi mara moja na chama kitaendelea kuwachukulia hatua za kisheria. Ni hilo tu, ahsante!
 
Majaliwa aachie uwaziri mkuu? Wewe unaota siyo bure.
 
Back
Top Bottom