Ripoti mali za CCM: Mwakyembe, Bulembo, Shaka (UVCCM), Sixtus Mapunda, Makatibu 11 wa Mikoa hawachomoki

Magufuli atakwend kutikisa majizi ya CCM na wala sio Nchi. But I have this feeling hatofanya lolote. Wizi ndani ya CCM ni jadi na akiparura wenzie tu, na yeye watamkumbusha ya kwake.
 
Habari ya chama wabaki nayo wwnye chama Mimi na wewe tufanye Nazi zetu kwa raha na starehe.
 
Panya kugombana kwa kutuhumiana kuibiana mgao wa wizi sio tija,mwisho wa siku watayamalizana kimya kimya ili wasiumbuane!!!!
Hii Tabia Vyama Vyote Vya Siasa Tz Vinaonyesha Vinayo Tena Vyama Vingine Ukionekana Kuhoji Hawakawii Kukuita Msaliti Sijui Lini Itaisha.
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom