tunashukuru sana kwa kutuamsha, maana kiukweli hatukuwa na taarifa kabisa
bora wewe ulikuwa na taarifa....Asante @FP; kwa kweli hata mimi sikijuwa najua kuwa uzi wa Oliver Ngoma uko hapa kwa Jukwaa la JF, ijapokuwa nilikuwa nafahamu kuwa huyu msanii alisha tangulia mbele ya haki. Nilikutana na uzi huu by chance.
Pia upo uzi mwingine hapa Jukwaani unaomhusu huyu Oliver Ngoma, japo sikumbuki title yake.
Kwamba nini siri ya mwanamuziki Oliver kutumia herufi chache sana (tatu, nne au tano tu) ktk title ya nyimbo zake nyingi.
Ebu angalia: NGE, SAL', BANE, ADIA, LUSA, FELY, LILI, ELIE, LINA, JULIE, ICOLE, BARRE, etc.
Bane = childrenPia upo uzi mwingine hapa Jukwaani unaomhusu huyu Oliver Ngoma, japo sikumbuki title yake.
Kwamba nini siri ya mwanamuziki Oliver kutumia herufi chache sana (tatu, nne au tano tu) ktk title ya nyimbo zake nyingi.
Ebu angalia: NGE, SAL', BANE, ADIA, LUSA, FELY, LILI, ELIE, LINA, JULIE, ICOLE, BARRE, etc.
Asante!Bane = children
Adia = my love
Icole = school
Mukulli = widow
Barre = strongly no - hii nyimbo inahusu mwanamke ambaye kachoka mahusiono sababu mwenzie ni irresponsible.
Nyingne hapo juu ni majina ya watu (kike )
Sure!ila tuache masihara huyu jamaa alikua fundi, hilo goma la lusa balaa
Hapa ulichanganya mafaili. Huyo mwenye wimbo huo ni Oliver Mtukudzi wa Zimbabwe. Anaeongelewa hapa ni wa GabonZaore moyo kanderia..,,maria ndewe