RIP Oliver Ngoma and thank you for good memories

tunashukuru sana kwa kutuamsha, maana kiukweli hatukuwa na taarifa kabisa

Asante @FP; kwa kweli hata mimi sikijuwa najua kuwa uzi wa Oliver Ngoma uko hapa kwa Jukwaa la JF, ijapokuwa nilikuwa nafahamu kuwa huyu msanii alisha tangulia mbele ya haki. Nilikutana na uzi huu by chance.
 
bora wewe ulikuwa na taarifa....
huku JF kuna nyuzi nyingi sana, nina uhakika sijaweza kusoma hata 1/100 ya nyuzi, kwa hiyo ni kawaida tu kutokuona some threads
 
Pia upo uzi mwingine hapa Jukwaani unaomhusu huyu Oliver Ngoma, japo sikumbuki title yake.
Kwamba nini siri ya mwanamuziki Oliver kutumia herufi chache sana (tatu, nne au tano tu) ktk title ya nyimbo zake nyingi.
Ebu angalia: NGE, SAL', BANE, ADIA, LUSA, FELY, LILI, ELIE, LINA, JULIE, ICOLE, BARRE, etc.
 
ila tuache masihara huyu jamaa alikua fundi, hilo goma la lusa balaa
 
Pia upo uzi mwingine hapa Jukwaani unaomhusu huyu Oliver Ngoma, japo sikumbuki title yake.
Kwamba nini siri ya mwanamuziki Oliver kutumia herufi chache sana (tatu, nne au tano tu) ktk title ya nyimbo zake nyingi.
Ebu angalia: NGE, SAL', BANE, ADIA, LUSA, FELY, LILI, ELIE, LINA, JULIE, ICOLE, BARRE, etc.
Bane = children
Adia = my love
Icole = school
Mukulli = widow
Barre = strongly no - hii nyimbo inahusu mwanamke ambaye kachoka mahusiono sababu mwenzie ni irresponsible.

Nyingne hapo juu ni majina ya watu (kike )
 
Asante!
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom