RIP Ernest Chonjo wa Arusha

RIP Ernest Chonjo wa Arusha

Nduka Original

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
1,012
Reaction score
817
Hivi leo tumempoteza rafiki yetu Ernest Chonjo mfanyabiashara wa mjini Arusha. Ernest amekuwa akifanya biashara hapa nchini na nje ya nchi. Kwa wale wanaojua Arusha ya miaka ile Ernest alikuwa ni mmoja wa wamiliki wa Bar aliyokuwa maarufu miaka ya tisini - BARRACUDA BAR.

Ernest amefia mjini Nairobi leo jioni.

Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
 
Ernest ndie Falme Chonjo?? Au Top??
 
Arusha, ivi ma donn wenu mbona wanakufa sana?
 
Ernest ndie Falme Chonjo?? Au Top??

Hapana Falme ndio mkubwa, Erenest anmfuata Henry.

1. Falme Chonjo
2. Johnson Chonjo
3. Benson Chonjo
4. Henry Chonjo
5. Ernest Chonjo - RIP
6. Erick Chonjo
7. Shamsia Chonjo
 
Dah.......Chugga mwaka huu wetu.......RIP Ernest.......
 
Gabriel mtoa roho naona amehamishia makazi yake Arusha.
 
Hapana!aliiba gari langu baada ya kustaafu!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA

Acha uongo bwana..! hujawahi kumiliki gari bwana.. au uataka kusafiria nyota ya marehemu kwa kupata umaarufu msibani!?..
 
Back
Top Bottom