Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 21,183
- 37,492
Nadhani ni Chonjo ni ukoo mkubwa Ernest Chonjo ni mfanyabiashara mdogo ana duka la nguo maeneo ya jengo la CCM Vijana Arusha mjini.
Erick Chonjo ameingiaje hapa? Au huyu atakuwa ni Erick mwingine tofauti na huyu wa prof. Chonjo? Vinginevyo tujitahidi tusichafue majina ya watu ili mradi tu ni Chonjo. Ninamfahamu Erick Chonjo (Bambi) ndugu na Alan Chonjo ambao ni wastaarabu waliozaliwa katika familia ya kistaarabu na wanahangaika na maisha yao huku Erick Chonjo akimiliki kampuni yake ndani na nje ya nchi na mdogo wake akiwa Meneja katika kampuni moja ya inayotengeneza vinywaji. Kwa hiyo tusaidie hapa huyu Erick Chonjo ni yupi?