Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 61,023
- 36,880
Ok mkuu, inaelekea hao chonjo wanapenda jina Erick!!! tehe tehe!! Huyu ninayemzungumzia baba yake alikuwa prof. udsm na sasa nafikiri yupo Tumaini University. Ila naye huwa anaenda Marekani kufanya shopping ya mitambo ya shughuli zake. Il akama usemavyo Chonjo ni pana sana na wajanjawajanja ni wengi katika ukoo huo.
sio tu wajanja ni majambazi kamilifu
bila kuona damu awajajisikia wamefanikiwa hata uwaache mabilioni hio ndio chooooonjooo wameshinda wakiza mtoto wakamwita ka darasani anaitwaje??Hmwork sasa