View attachment 57923Ridhiwani kikwete naomba uthibitishe au ukanushe umiliki wako wa jengo hili ndani ya Dodoma.Nitatoa nyaraka baada ya kusikia kauli.Naomba kuwasilisha.
View attachment 57923Ridhiwani kikwete naomba uthibitishe au ukanushe umiliki wako wa jengo hili ndani ya Dodoma.Nitatoa nyaraka baada ya kusikia kauli.Naomba kuwasilisha.
Ndio maana nimemtaka athibitishe au akunushe.Duh!! huyu Ridhiwan atakuwa analingana na Bill Gates sasa, maana kila jengo na biashara mpya hapa bongo ni ya kwake. Wakuu hebu tuwacheni umbeya na uongo tujadili hoja za maana
Ndio maana nimemtaka athibitishe au akunushe.
na bado.... kuna kitu imetulia pale Raskazoni Tanga, adjacent na beach inaitwa TANGA BEACH RESORT... taasisi nyingi za serikali zinaenda kufanyia mikutano paleNa chilakale resort na mijengo km uyoga huko moro bigwa, vp dar live mbagala. Unanunua ardhi robo heka kwa 100 million ukiitaka tu. Unahamisha watu. Je hela watoa wapi wewe???