Suala sio kuzaliwa na Kikwete,kwani Marehemu Baba wa Taifa hakuzaa na hao wanawe umeshasikia wana uchafu kama huu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!acha wivu ulitaka na wewe uzaliwe na kikwete?
acha wivu ulitaka na wewe uzaliwe na kikwete?
jamani acheni uchonganishi si amekopa mwenzenu nanyi kopeni basiii...View attachment 57923Ridhiwani kikwete naomba uthibitishe au ukanushe umiliki wako wa jengo hili ndani ya Dodoma.Nitatoa nyaraka baada ya kusikia kauli.Naomba kuwasilisha.
acha wivu ulitaka na wewe uzaliwe na kikwete?
Badala na wewe kutafuta vyako unakaa hapa JF kuleta unafiki, kama yake wewe inakuuma nini bana? We kama unataka gorofa la hivyo unaweza kulipata pia. Nenda Saudi Arabia tu. Utarudi na mihela kibao.
wabongo bana... kama anamiliki kihalali na kufuata taratibu zote .. kutakuwa na tatizo gani.. mbona wapo watanzania wakawaida wanamiliki vitu kama hivo..? au yoyote anyekuzidi ni ndio definition mpya ya fisadi ..?
Ndahani, nashawishika kuwa yawezekana wanatumia nafasi waliyonayo kupata mitaji kwa njia halali. Tofauti yake ni kuwa mimi na wewe tukienda bank kuomba mtaji, zengwe lake linaweza kuwa refu mpaka ufanikiwe, lakini Ridhwani dhamana yake ina faia mara dufu tu.Hii ndiyo Tanzania Profesa. Haina ubaya ku invest,ila sio kwa hela za walipa kodi na magumashi. Na hawa watoto wa viongozi sijui wanabiashara gani...