Ridhiwani Kikwete katika kashfa nzito Chalinze


Jiwe ulilolitupa ni zito mno kiasi kwamba wafuasi wamekuja moto.Tatizo ukizoea kusema UKWELI jamii haikuelewi sababu wamezoea kusikia UWONGO.Hongera sana kutujuza yaliyoyakweli,na ukweli daima utakuweka HURU.
 
Hayo yote tuyaache tuzungumzie kuliwa kwa Tsh. 450 Million je ni kweli au si kweli tukimaliza hilo ndio unaweza kuandika hicho ulichokiandika.

Tatzio UKWELI tu hapo halafu muhusika mkuu mtoto wa MKULU ndiyo maana watu wamekuja juu kama maji ya kifuu,yataisha lakini...........
 
Hii hapa anagawia ndizi watoto alizonunua kwa hizo Million 450.


Umekosea haya ndiyo yale MATRACTOR aliyowaahidi watu wa Chalinze.............................
 
Hii hapa anagawia ndizi watoto alizonunua kwa hizo Million 450.

UMASIKINI WA MAWAZO NI UMASIKINI KUPITA UMASIKINI WOTE- BY J.K.NYERERE (R.I.P)

loh napita ntarudi tena
 
hivi hayo si ndio maisha bora kwa kila mtu...
 
Habari zenye chuki husemwa bila mpangilio kama hii,haina mbele wala nyuma.
 
Inabidi Dogo astaafu siasa pamoja na babake!
Mtoto wa mstaafu naye si mstaafu tulivyoambiwa kuwa mtoto wa rais naye ni rais wa watoto?
 
Ndio simpendi RIDHIWANI lakini katika hili naona kama mleta maada kama ana chuki binafsi.
Lakini inawezekana mimi ni mweupe sana sijaelewa jamaa ana maanisha nini!
 

Uwongo na upuuzi mtupu kuanzia A mpaka Z.
 

Nazani wakati mwingine kama hatuna kazi za kufanya basi tushike jembe tukalime maana kuna watu wanatuletea newz zisizo na kicha wala miguu huu ni ujinga badilika na ni aibu.
 

Sasa Maji Hakuna Kwahiyo Wanachambaje?
 
Nazani wakati mwingine kama hatuna kazi za kufanya basi tushike jembe tukalime maana kuna watu wanatuletea newz zisizo na kicha wala miguu huu ni ujinga badilika na ni aibu.

Nani ambae hana cvha kuandika?? Wewe au mleta mada?? Maana mleta madakanukuu maneno ya boss wa Takukuru. Wewe unabisha kwa grounds zipi ?? Msiwe mnajitoa ufahamu.
 
Umekosea haya ndiyo yale MATRACTOR aliyowaahidi watu wa Chalinze.............................

Mabusha Yao Ni Matrekta Tosha Hivyo Wayatumie Ipasavyo Ktk Shughuli Za Kujikomboa Kiumasikini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…