Ridhiwani Kikwete katika kashfa nzito Chalinze

IKWETE;
Sijui ka nimekusoma vizuri hivyo naomba kukukot kidogo tu;
Inaelezwa kuwa Ridhiwani na wapambe wake kama Nasser na Mkosamali wameiba Tsh 450Milioni zilizotolewa kwa ajili ya kununua dawa za kuweka kwenye maji pamoja na kukarabati mitambo iliyokuwa imezongwa na matope.

Taarifa zinasema Ridhiwani na wapambe wake wamezila hizo hela wenyewe bila kuwagawia viongozi wa mamlaka ya maji na ndio chanzo cha taarifa hizi kuvuja.

Hivi ulikuwa una maanisha Mh. Joshua Nassari na Mh. Felix Mkosamali au wa Nasser wengine na Wakosamali wengine walio wapambe wa Mh, Riz??
Jambo la pili; Wamjua Riz au? Wadhani pamoja na Mishen zake kubwa kubwa mpaka China aweza kuiba Vijisenti hivyo tena akiwa na genge la watu? Mdhanie mengine si hili la hivyo vijisenti. Labda alizisahau pale Msolwa atawatumieni kwa M-Pesa
 
Hapo naona fiksi tupu,Vipi kuhusu visima kumi na mbili alivyozindua hivi karibuni navyo havitoi maji?. Hata kama kusoma hujui vipi picha huzioni???.Habari za uongo uongo na majungu hapa si mahala pake.
Malomba, Majungu na uongo hapa ndo mahali pake kwa mujibu wa uoefu, ndo maana watu hawatumii majina yao halisi. Binafsi shoshangai na kama huu ni uongo hautakuwa wakwanza.
 
IKWETE;
Sijui ka nimekusoma vizuri hivyo naomba kukukot kidogo tu;
Inaelezwa kuwa Ridhiwani na wapambe wake kama Nasser na Mkosamali wameiba Tsh 450Milioni zilizotolewa kwa ajili ya kununua dawa za kuweka kwenye maji pamoja na kukarabati mitambo iliyokuwa imezongwa na matope.

Taarifa zinasema Ridhiwani na wapambe wake wamezila hizo hela wenyewe bila kuwagawia viongozi wa mamlaka ya maji na ndio chanzo cha taarifa hizi kuvuja.

Hivi ulikuwa una maanisha Mh. Joshua Nassari na Mh. Felix Mkosamali au wa Nasser wengine na Wakosamali wengine walio wapambe wa Mh, Riz??
Jambo la pili; Wamjua Riz au? Wadhani pamoja na Mishen zake kubwa kubwa mpaka China aweza kuiba Vijisenti hivyo tena akiwa na genge la watu? Mdhanie mengine si hili la hivyo vijisenti. Labda alizisahau pale Msolwa atawatumieni kwa M-Pesa
Hutaki unaacha. Wewe kama unaona Riz ni Bilionea hana tamaa ya sh 450M ni mtazamo wako tu
 
kenyesi katika ubora wake. kweli leo nimeamini humu JF kuna majisenge mengi sana.

Ni takriban miezi miwili sasa mji wa Chalinze na viunga vyake vimekosa maji.

Kuna tishio kubwa la kulipuka kwa magonjwa ya tumbo, kuhara na kipindupindu.

Taarifa za uhakika zilizozagaa hapa Chalinze ni kuwa Ridhiwani Kikwete anahujumu mradi wa maji uliozinduliwa na Rais Benjamin Mkapa wakati Kikwete Jakaya akiwa mbunge wa Chalinze.

Inaelezwa kuwa Ridhiwani na wapambe wake kama Nasser na Mkosamali wameiba Tsh 450Milioni zilizotolewa kwa ajili ya kununua dawa za kuweka kwenye maji pamoja na kukarabati mitambo iliyokuwa imezongwa na matope.

Taarifa zinasema Ridhiwani na wapambe wake wamezila hizo hela wenyewe bila kuwagawia viongozi wa mamlaka ya maji na ndio chanzo cha taarifa hizi kuvuja.

Kutokana na hilo imeamriwa maji yasitoke kwa vile ni hatari sana kwa afya za watumiaji na pia mitambo ikiingiwa na matope italeta madhara makubwa kiufundi.

Makumi ya kina mama na watoto wameonekana katika viunga vya chalinze na ndoo zao wakitafuta maji. Watoto wameacha kwenda shule ili wachote maji ya nyumbani. Kituo cha Afya chalinze ndio kina hali mbaya zaidi baada ya kukaukiwa maji kabisa.

Ridhiwani anazidi kutumaliza watanzania.
 
Akili ya kuambiwa changanya na yako, watu waibe zaidi ya shilingi milioni 450 kwa mradi kama wa Chalinze, jumla ya bajeti yote ya mradi huo ni kiasi gani. Ridhiwani kwao Msoga kijiji cha jirani sana na Chalinze. Dhahiri ana ndugu wengi sana wanaoishi Chalinze, kwa tamaa yake ya fedha ahujumu mradi na kwamba yuko tayari hata ndugu zake waathirike, haiingii akilini kwa mtu ambaye hana faili Milembe. Ridhiwani baba yake Rais wa nchi atashindwa nini kumuomba baba yake fedha na kuamua kuhujumu mradi ambao ni tegemeo la wananchi waliompigia kura na ambapo mwezi wa kumi atawarudia kuwaomba kura tena. Acheni siasa za maji taka.
 
Nadhani amefanya hayo ili kumhujumu mbunge wa Chalinze akose kura uchaguzi ujao, kinyume cha hapo sioni ni kwa vipi mbunge anaweza akahujumu mradi wa maji katika jimbo lake kisha mwezi wa kumi arudi kuwaomba kura wale aliowahujumu. Labda kama ana faili Milembe. Akili ya kuambiwa changanya na yako.
 
Endelea hivyo hivyo na maneno yako ya vijiwe vya kahawa.

Mkuu Mingoi, tunamshukuru sana IKWETE. Baada ya kupandisha uzi hapa kuhusu Riz 1 kulamba mamilioni, jana usiku maji yalianza kutoka. Hadi saa 11 hii alfajiri maji yanatoka bado. Asante IKWETE
 
Last edited by a moderator:
Nadhani amefanya hayo ili kumhujumu mbunge wa Chalinze akose kura uchaguzi ujao, kinyume cha hapo sioni ni kwa vipi mbunge anaweza akahujumu mradi wa maji katika jimbo lake kisha mwezi wa kumi arudi kuwaomba kura wale aliowahujumu. Labda kama ana faili Milembe. Akili ya kuambiwa changanya na yako.

Mkuu tuliza jazba. Usije jukwaani ukiwa umevuta bangi. Njoo ukiwa timamu, soma comment zilizotangulia, pata mtiririko wa hoja nipo ukosoe. Siku nyingine uharo kama huu hautajibiwa.
 
Akili ya kuambiwa changanya na yako, watu waibe zaidi ya shilingi milioni 450 kwa mradi kama wa Chalinze, jumla ya bajeti yote ya mradi huo ni kiasi gani. Ridhiwani kwao Msoga kijiji cha jirani sana na Chalinze. Dhahiri ana ndugu wengi sana wanaoishi Chalinze, kwa tamaa yake ya fedha ahujumu mradi na kwamba yuko tayari hata ndugu zake waathirike, haiingii akilini kwa mtu ambaye hana faili Milembe. Ridhiwani baba yake Rais wa nchi atashindwa nini kumuomba baba yake fedha na kuamua kuhujumu mradi ambao ni tegemeo la wananchi waliompigia kura na ambapo mwezi wa kumi atawarudia kuwaomba kura tena. Acheni siasa za maji taka.

Soma tena comment za IKWETE hapo juu
 
Last edited by a moderator:
kenyesi katika ubora wake. kweli leo nimeamini humu JF kuna majisenge mengi sana.

Ndo alivyokutuma Riz one utukane? Hela atafune, maji tukose na bado watu wanatukanwa? Asante Riz kwa kudharau wana chalinze
 
Malomba, Majungu na uongo hapa ndo mahali pake kwa mujibu wa uoefu, ndo maana watu hawatumii majina yao halisi. Binafsi shoshangai na kama huu ni uongo hautakuwa wakwanza.

Maji yameanza kutoka. Asante IKWETE
 
Last edited by a moderator:
Mtoa mada Muogope Mungu, kwa maana usipotubu, utajahukumiwa , mada yako imekaa kimajungu zaidi, kaimbe taarabu bac
 
Mingoi Takukuru si wapo tena humu Jf, waende kuchunguza hili swala ya nini kuandikia mate??
 
Last edited by a moderator:
kama ni kweli miezi miwili hakuna maji hapo, na huo mkusanyiko wa watu basi balaa.
 
Back
Top Bottom