Ridhiwani Kikwete katika kashfa nzito Chalinze

Ridhiwani Kikwete katika kashfa nzito Chalinze

Mkuu Mingoi kama nilivyotangulia kueleza, sijakanyaga nyumbani kwa muda kidogo nipo nje ya Chalinze kikazi. Baada ya IKWETE kupandisha uzi hapa niliwapigia ndugu, jamaa, marafiki na Nasser mwenyewe. Raia wamesema Ridhiwani amekula hizo pesa kupitia kwa wapambe wake walio kwenye bodi ya mamlaka ya maji. Yeye Ridhiwani ndio aliyewatuma waibe wampe. Sasa kama walimpa mkononi au kwenye bank account hilo wanalijua wao.
Kikubwa ni kuwa watu wanateseka kwa kukosa maji na mbunge yuko kimya. Akipigiwa simu akigundua ni mpiga kura wake atakwambia kata simu nikupigie, hapigi na simu anazima

Jiwe ulilolitupa ni zito mno kiasi kwamba wafuasi wamekuja moto.Tatizo ukizoea kusema UKWELI jamii haikuelewi sababu wamezoea kusikia UWONGO.Hongera sana kutujuza yaliyoyakweli,na ukweli daima utakuweka HURU.
 
Hayo yote tuyaache tuzungumzie kuliwa kwa Tsh. 450 Million je ni kweli au si kweli tukimaliza hilo ndio unaweza kuandika hicho ulichokiandika.

Tatzio UKWELI tu hapo halafu muhusika mkuu mtoto wa MKULU ndiyo maana watu wamekuja juu kama maji ya kifuu,yataisha lakini...........
 
Hii hapa anagawia ndizi watoto alizonunua kwa hizo Million 450.

IMG_5737.JPG

Umekosea haya ndiyo yale MATRACTOR aliyowaahidi watu wa Chalinze.............................
 
Hii hapa anagawia ndizi watoto alizonunua kwa hizo Million 450.

IMG_5737.JPG
UMASIKINI WA MAWAZO NI UMASIKINI KUPITA UMASIKINI WOTE- BY J.K.NYERERE (R.I.P)

loh napita ntarudi tena
 
hivi hayo si ndio maisha bora kwa kila mtu...
 
Habari zenye chuki husemwa bila mpangilio kama hii,haina mbele wala nyuma.
 
Inabidi Dogo astaafu siasa pamoja na babake!
Mtoto wa mstaafu naye si mstaafu tulivyoambiwa kuwa mtoto wa rais naye ni rais wa watoto?
 
Ndio simpendi RIDHIWANI lakini katika hili naona kama mleta maada kama ana chuki binafsi.
Lakini inawezekana mimi ni mweupe sana sijaelewa jamaa ana maanisha nini!
 
Ni takriban miezi miwili sasa mji wa Chalinze na viunga vyake vimekosa maji.

Kuna tishio kubwa la kulipuka kwa magonjwa ya tumbo, kuhara na kipindupindu.

Taarifa za uhakika zilizozagaa hapa Chalinze ni kuwa Ridhiwani Kikwete anahujumu mradi wa maji uliozinduliwa na Rais Benjamin Mkapa wakati Kikwete Jakaya akiwa mbunge wa Chalinze.

Inaelezwa kuwa Ridhiwani na wapambe wake kama Nasser na Mkosamali wameiba Tsh 450Milioni zilizotolewa kwa ajili ya kununua dawa za kuweka kwenye maji pamoja na kukarabati mitambo iliyokuwa imezongwa na matope.

Taarifa zinasema Ridhiwani na wapambe wake wamezila hizo hela wenyewe bila kuwagawia viongozi wa mamlaka ya maji na ndio chanzo cha taarifa hizi kuvuja.

Kutokana na hilo imeamriwa maji yasitoke kwa vile ni hatari sana kwa afya za watumiaji na pia mitambo ikiingiwa na matope italeta madhara makubwa kiufundi.

Makumi ya kina mama na watoto wameonekana katika viunga vya chalinze na ndoo zao wakitafuta maji. Watoto wameacha kwenda shule ili wachote maji ya nyumbani. Kituo cha Afya chalinze ndio kina hali mbaya zaidi baada ya kukaukiwa maji kabisa.

Ridhiwani anazidi kutumaliza watanzania.

Uwongo na upuuzi mtupu kuanzia A mpaka Z.
 
Nazani wakati mwingine kama hatuna kazi za kufanya basi tushike jembe tukalime maana kuna watu wanatuletea newz zisizo na kicha wala miguu huu ni ujinga badilika na ni aibu.
 
Hali ni mbaya sana Chalinze. Na jamii ya Chalinze haijapata elimu ya kuhifadhi maji kwaiyo familia nyingi zina vindoo viwili au vitatu vya kuhifadhia maji. Maji yakikatika kwa muda mrefu kama hivi ni mateso makali kwa wakina mama na watoto kutafuta maji

Sasa Maji Hakuna Kwahiyo Wanachambaje?
 
Nazani wakati mwingine kama hatuna kazi za kufanya basi tushike jembe tukalime maana kuna watu wanatuletea newz zisizo na kicha wala miguu huu ni ujinga badilika na ni aibu.

Nani ambae hana cvha kuandika?? Wewe au mleta mada?? Maana mleta madakanukuu maneno ya boss wa Takukuru. Wewe unabisha kwa grounds zipi ?? Msiwe mnajitoa ufahamu.
 
Umekosea haya ndiyo yale MATRACTOR aliyowaahidi watu wa Chalinze.............................

Mabusha Yao Ni Matrekta Tosha Hivyo Wayatumie Ipasavyo Ktk Shughuli Za Kujikomboa Kiumasikini.
 
Back
Top Bottom