Mkuu mimi pia ninaishi Chalinze ingawa nina muda kidogo sijatokea pale. Ni kuwa Ridhiwani ame-influence kuzipata hizo hela kupitia kwa wapambe wake ambao ni wajumbe kwenye bodi ya mamlaka ya maji Chalinze.
Wakazi wa Chalinze wanamlaumu Ridhiwani
Mkuu Mingoi kama nilivyotangulia kueleza, sijakanyaga nyumbani kwa muda kidogo nipo nje ya Chalinze kikazi. Baada ya IKWETE kupandisha uzi hapa niliwapigia ndugu, jamaa, marafiki na Nasser mwenyewe. Raia wamesema Ridhiwani amekula hizo pesa kupitia kwa wapambe wake walio kwenye bodi ya mamlaka ya maji. Yeye Ridhiwani ndio aliyewatuma waibe wampe. Sasa kama walimpa mkononi au kwenye bank account hilo wanalijua wao.Mkuu Mzito Kabwela sikutegemea kama unaweza kushiriki siasa nyepesi kiasi hiki.Labda jiulize hizo pesa zimelipwa katika akaunti binafsi ya Ridhiwan?Yeye ndio mkandarasi au mlipaji wa malipo ya mrad?.Kuna siasa za muda mrefu zisizokuwa na tija za kuzungumzia rais Kikwete na familia yake.
Hujui tabu wazipatazo watu wa Chalinze wewehuyu jamaa noma sana kwa kutunga uongo.mmmh riz na pesa za dawa wap na wap mbona hata links hakuna.hiz siasa chafu sio nzur
Wazee wa majungu karibuni jukwaani. Ishu ya tatizo la maji pia ni dar nzima wiki ya tatu sasa
Riziwan anahusikaje hapa kwenye ishu ya kitaalam ambayo dawasco na pawasco wanahusika?
Photo pls
Porojo!! wapi natoa maneno zako?
uongo namna hii ni heri uvae sketi tu tujue moja kuliko shida unazopata kujipitishapitisha
Ridhiwani na wapambe wake wamekula hela za kufanya maji yatoke Chalinze
Unaposema Muhongo unamaanisha nini?