nyabhingi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 15,638
- 20,248
mbona mnamshambuliaga mnyika eti kimara na mbezi hakuna maji!Mbunge na mamlaka ya maji wapi na wapi. Jipangeni upya. Ridhiwani hamumuwezi hata mfanyeje

IKWETE;
Sijui ka nimekusoma vizuri hivyo naomba kukukot kidogo tu;
Inaelezwa kuwa Ridhiwani na wapambe wake kama Nasser na Mkosamali wameiba Tsh 450Milioni zilizotolewa kwa ajili ya kununua dawa za kuweka kwenye maji pamoja na kukarabati mitambo iliyokuwa imezongwa na matope.
Taarifa zinasema Ridhiwani na wapambe wake wamezila hizo hela wenyewe bila kuwagawia viongozi wa mamlaka ya maji na ndio chanzo cha taarifa hizi kuvuja.
Hivi ulikuwa una maanisha Mh. Joshua Nassari na Mh. Felix Mkosamali au wa Nasser wengine na Wakosamali wengine walio wapambe wa Mh, Riz??
Jambo la pili; Wamjua Riz au? Wadhani pamoja na Mishen zake kubwa kubwa mpaka China aweza kuiba Vijisenti hivyo tena akiwa na genge la watu? Mdhanie mengine si hili la hivyo vijisenti. Labda alizisahau pale Msolwa atawatumieni kwa M-Pesa
Uongo hakuna, mie naishi mkoa wa pwani, maji hakuna tena hakuna maji kabisa,
unataka uambiwe nini.
Mimi sikujibu ila nakuunga mkono kwa ajili ya hii mipumbavu iliyokosa akili kana kwamba yenyewe ndiyo inafaidi na huo Ufisadi, haiogopi hata Mungu kuwatetea majizi yanaimaliza nchi yetu looo!!!!!!! mijinga haina akili hata 1/4Mimi nawashangaa wajinga wanaotetea mafisadi. hata Escrow hao hao waliibuka wakidai kuwa pesa hazikuwa za umma lakini cha kushangaza viongozi waliotuhumiwa kwa shinikizo la wabunge waliwajibika. Sasa kilichowafanya waang'atuke ni nini? Hivi hawa watu wanaotetea mafisadi wana akili au hawana. Kama wanazo, je wanatumia ubungo gani ambao hauwezi kuchambua mambo? Nijibu nyie mnaotetea mafisadi!
Hainogi kwa vile huna akili kama una akili huwezi kuitumia, au iko mahali pabaya. Pumbavu mwenyewe.Upumbavu kazini. Hata kama ni hadithi haijanoga
Ni takriban miezi miwili sasa mji wa Chalinze na viunga vyake vimekosa maji.
Kuna tishio kubwa la kulipuka kwa magonjwa ya tumbo, kuhara na kipindupindu.
Taarifa za uhakika zilizozagaa hapa Chalinze ni kuwa Ridhiwani Kikwete anahujumu mradi wa maji uliozinduliwa na Rais Benjamin Mkapa wakati Kikwete Jakaya akiwa mbunge wa Chalinze.
Inaelezwa kuwa Ridhiwani na wapambe wake kama Nasser na Mkosamali wameiba Tsh 450Milioni zilizotolewa kwa ajili ya kununua dawa za kuweka kwenye maji pamoja na kukarabati mitambo iliyokuwa imezongwa na matope.
Taarifa zinasema Ridhiwani na wapambe wake wamezila hizo hela wenyewe bila kuwagawia viongozi wa mamlaka ya maji na ndio chanzo cha taarifa hizi kuvuja.
Kutokana na hilo imeamriwa maji yasitoke kwa vile ni hatari sana kwa afya za watumiaji na pia mitambo ikiingiwa na matope italeta madhara makubwa kiufundi.
Makumi ya kina mama na watoto wameonekana katika viunga vya chalinze na ndoo zao wakitafuta maji. Watoto wameacha kwenda shule ili wachote maji ya nyumbani. Kituo cha Afya chalinze ndio kina hali mbaya zaidi baada ya kukaukiwa maji kabisa.
Ridhiwani anazidi kutumaliza watanzania.
Mlitaka afanye nini kama Baba na Mama yake wanmsaidia ili asnyongwe kule china, Hapa tunamwomba Mungu Dr Lowassa Apewe Urais Ili Hao wote Wafiliswe hadi wajukuu zao, Maana kama ni uongozi wa awamu hii umeimaliza nchi kwa kweli, Rich, Epa,Escro, Mali asili, Jamani Lowassa tunakuomba utusaidie ili mala zote Zirudishwe, kuwa mali za wananchi.Riziwani ana kashfa nyingi tu kwa mfano;
1. Kujihusisha na madawa ya kulevya
2. Kujihusisha na biashara za mafuta bila kulipa kodi
3. Kuwa na utajiri wa kutisha ambao haulingani na umri wake (kumbuka alimtishia Dr. Slaa kuwa atampeleka mahakamani mpaka leo muulizeni ile kesi iko wapi?
4. Na mengineyo mengi tu

Hao wamama wakome kuchukua Kanga na Vilemba walifikiri Mazuri ndo hayo wanamlalamikia nani? wao ndo walomchagua walifikiri mazuri koma kisha rudia tena kumchaguaNi takriban miezi miwili sasa mji wa Chalinze na viunga vyake vimekosa maji.
Kuna tishio kubwa la kulipuka kwa magonjwa ya tumbo, kuhara na kipindupindu.
Taarifa za uhakika zilizozagaa hapa Chalinze ni kuwa Ridhiwani Kikwete anahujumu mradi wa maji uliozinduliwa na Rais Benjamin Mkapa wakati Kikwete Jakaya akiwa mbunge wa Chalinze.
Inaelezwa kuwa Ridhiwani na wapambe wake kama Nasser na Mkosamali wameiba Tsh 450Milioni zilizotolewa kwa ajili ya kununua dawa za kuweka kwenye maji pamoja na kukarabati mitambo iliyokuwa imezongwa na matope.
Taarifa zinasema Ridhiwani na wapambe wake wamezila hizo hela wenyewe bila kuwagawia viongozi wa mamlaka ya maji na ndio chanzo cha taarifa hizi kuvuja.
Kutokana na hilo imeamriwa maji yasitoke kwa vile ni hatari sana kwa afya za watumiaji na pia mitambo ikiingiwa na matope italeta madhara makubwa kiufundi.
Makumi ya kina mama na watoto wameonekana katika viunga vya chalinze na ndoo zao wakitafuta maji. Watoto wameacha kwenda shule ili wachote maji ya nyumbani. Kituo cha Afya chalinze ndio kina hali mbaya zaidi baada ya kukaukiwa maji kabisa.
Ridhiwani anazidi kutumaliza watanzania.
Wakome na bado, Pia wapo wajinga wangine huko Lindi bila aibu wanataka kumtoa yule Albino Ili wamweke mama salma kikwete yaani hao ndo wanajikaanga wenyewe, Ivi ulishaona Mke wa Rais anagombea Ubunge? Aibu gani hii, mama karume, Mama Mwinyi, mama Mkapa, Mama Nyerere, hatuwaoni kuruka mitaani wakitafuta kura baada ya Mabwana zao kustaafu Huyu mama ni kali ya mwaka anavyopenda kuendelea kuwa fisadi. Acha kutuaibisha wanawake wenzio ebu tuliaChaguo lenu linawaumiza tena?
Upumbavu kazini. Hata kama ni hadithi haijanoga
ni takriban miezi miwili sasa mji wa chalinze na viunga vyake vimekosa maji.
Kuna tishio kubwa la kulipuka kwa magonjwa ya tumbo, kuhara na kipindupindu.
Taarifa za uhakika zilizozagaa hapa chalinze ni kuwa ridhiwani kikwete anahujumu mradi wa maji uliozinduliwa na rais benjamin mkapa wakati kikwete jakaya akiwa mbunge wa chalinze.
Inaelezwa kuwa ridhiwani na wapambe wake kama nasser na mkosamali wameiba tsh 450milioni zilizotolewa kwa ajili ya kununua dawa za kuweka kwenye maji pamoja na kukarabati mitambo iliyokuwa imezongwa na matope.
Taarifa zinasema ridhiwani na wapambe wake wamezila hizo hela wenyewe bila kuwagawia viongozi wa mamlaka ya maji na ndio chanzo cha taarifa hizi kuvuja.
Kutokana na hilo imeamriwa maji yasitoke kwa vile ni hatari sana kwa afya za watumiaji na pia mitambo ikiingiwa na matope italeta madhara makubwa kiufundi.
Makumi ya kina mama na watoto wameonekana katika viunga vya chalinze na ndoo zao wakitafuta maji. Watoto wameacha kwenda shule ili wachote maji ya nyumbani. Kituo cha afya chalinze ndio kina hali mbaya zaidi baada ya kukaukiwa maji kabisa.
Ridhiwani anazidi kutumaliza watanzania.
Wandugu hapa kuna hoja mbili zinachanganywa. Suala la Riz Moko kula milioni 450 na ukosefu wa maji Chalinze. Hili la ukosefu wa maji Chalinze halina mjadala kuwa kweli kuna shida kubwa ya maji bila kujali Mbunge wa sasa na watangulizi wake au mamlaka nyingine ndio zilizosababisha uhaba huu. Issue hapa je ni kweli mbunge huyu na wapambe wake amekula hizo fedha ambazo hazisemwi zilitolewa na nani? akili ya haraka hainielekezi kuwa Mbunge huyu anaweza kula hizo hela. Lakini mliopo hapo jikoni tupeni details za ndani kabisa za namna transactions zilivyofanyika ili tuamini. Ni ngumu kuamini kupitia hizi blah blah ambazo mtu yeyote anaweza kuandika.
IKWETE;
Sijui ka nimekusoma vizuri hivyo naomba kukukot kidogo tu;
Inaelezwa kuwa Ridhiwani na wapambe wake kama Nasser na Mkosamali wameiba Tsh 450Milioni zilizotolewa kwa ajili ya kununua dawa za kuweka kwenye maji pamoja na kukarabati mitambo iliyokuwa imezongwa na matope.
Taarifa zinasema Ridhiwani na wapambe wake wamezila hizo hela wenyewe bila kuwagawia viongozi wa mamlaka ya maji na ndio chanzo cha taarifa hizi kuvuja.
Hivi ulikuwa una maanisha Mh. Joshua Nassari na Mh. Felix Mkosamali au wa Nasser wengine na Wakosamali wengine walio wapambe wa Mh, Riz??
Jambo la pili; Wamjua Riz au? Wadhani pamoja na Mishen zake kubwa kubwa mpaka China aweza kuiba Vijisenti hivyo tena akiwa na genge la watu? Mdhanie mengine si hili la hivyo vijisenti. Labda alizisahau pale Msolwa atawatumieni kwa M-Pesa
Habari za kufikirika hizi
Mabusha Yao Ni Matrekta Tosha Hivyo Wayatumie Ipasavyo Ktk Shughuli Za Kujikomboa Kiumasikini.