Ridhiwani Kikwete katika kashfa nzito Chalinze

Ridhiwani Kikwete katika kashfa nzito Chalinze

Hii habari niliisikia muda kidogo , asante sana mkuu kwa kuinyambulisha.
 
Mkuu huu ndio ukweli. Rdhiwani amekula pesa iliyotolewa kwa ajili ya mradi wa Maji Chalinze. Wahuni wenzake wamecheza dili hela imetoka wakawapiga mchanga wa macho staff wa Mamlaka ya Maji Chalinze.

tuaminishe mbunge zinamfikiaje hela kama hizo ? ni za serikali , au ametoa mtu kufadhili au ikoje tunaomba ufafanuzi vinginevyo tutakupuuza na post zako zote!
 
Back
Top Bottom