Sio suala la kutoamini. Mimi nipo Chalinze, hii ndio fact. Kama unaweza njoo mamlaka ya maji hapa Wami uone watakachokuambiaHuu sasa ndo unafiki
Njoo na issue nyingine aise mimi siamini kabisa kama dogo ana njaa kali kiasi hiki
ACHA KUMWONEA BANA
Kiwanda cha kutunga UONGO.
​nilijua tu wake wa familia lazima mjitokeze, mleta mada lete source kwanza plz
Mtoa mada kasema Ridhiwani amekula pesa za kufanikisha upatikanaji wa maji! Mbona mnakwepesha mada!
Mbunge na mamlaka ya maji wapi na wapi. Jipangeni upya. Ridhiwani hamumuwezi hata mfanyeje
Imekuuma sana we mpambe wa mbunge...
Mkuu mimi pia ninaishi Chalinze ingawa nina muda kidogo sijatokea pale. Ni kuwa Ridhiwani ame-influence kuzipata hizo hela kupitia kwa wapambe wake ambao ni wajumbe kwenye bodi ya mamlaka ya maji Chalinze.Naomba ufafanuzi; ilikuwaje fedha kwa ajili ya mradi wa maji zikafika kwa Ridhiwani na wapambe wake?
Mkoa wa pwani kwa ujumla wake una shida kubwa sana ya maji;
chama kitakachokuja na sera ya kuwapatia watu maji hakika kitapita.
Kama hicho ndicho kiolichotokea, kwa nini maisanze kuwalaumu hao wajumbe wa Bodi ambao walikubali kutoa fedha na kumpatia mtu miwngine kinygumke na matumizi yaliyoidhinishwa?Mkuu mimi pia ninaishi Chalinze ingawa nina muda kidogo sijatokea pale. Ni kuwa Ridhiwani ame-influence kuzipata hizo hela kupitia kwa wapambe wake ambao ni wajumbe kwenye bodi ya mamlaka ya maji Chalinze.
Wakazi wa Chalinze wanamlaumu Ridhiwani