Ridhiwani Kikwete ang'aka tena

Samahani wadau msimshambulie mteja wangu. Naanda taratibu za kufungua kesi. Mchecheto wa nini nyie? Mtikila na Slaa lazima wakome mwaka huu.
 

Aaa! akae kimya tena. Yeye aendelee kueleza ama kufanya vyovyoete vile, ili aone moto utakavyo mtafuna hapo baadaye. Maana naona mwanga mkubwa mbele. Hivyo vijicenti vyake anavyo uibia umma leo vitarudishwa mikononi mwa umma mwaka 2015. ATAMBUE HILO. Asijione eti ni wa maana sana, na kwamba yuko salama kwa kukaa ikulu. Nguvu ya umma itakapo chukua mkondo wake ndiyo atakapo lijua jiji.
 
All i see here is a lot of personal attack,massive character assassination fuelled by drugs,hunger,life frustration by people who have failed to take responsibility regarding their life and thinking coming here in the site and throw insult arround will achieve them anything.NOPE,they may as well tell the insult to the wind for all result they will get
 

Ebwanaee!!!!!!!!! huko sasa unataka kuukwaza mtima wangu usinikumbuke unyama waliofanyiwa akina papiii
 

So what! Wewe ni mkenya? Mkongo? au Mkore? Unaishi dunia gani ndugu? Yaonyesha wewe ni mvivu wa kufikiri. tena yaonesha wewe ni wakara uliye tumwa kazi maalumu. Kwako ukweli ni tusi siyo? Unamacho lakini huoni, mbumbumbu mkubwa.
 
Congress ya nchi gani? Supreme Court ya nchi gani?

We wa wapi wewe?

Hatuko Marekani hapa!
 
familia nzima yaani hawaeleweki..kuanzia baba hadi watoto.......


Hivi ile siku Mkapa aliyowaambia wananchi kuwa Watamkumbuka alikuwa ana maana gani?? Nafikiri inabidi waandishi wamuhoji. Inaelekea kuna kitu alikuwa anajuwa lakini kwa maksudi akaamuwa kuwapa wananchi kile walichokitaka badala ya kutumia busara yake kama kiongozi kuwapatia kile kitakachotusaidia.
 
Riz1 si ni mwanasheria(udsm) mbona anaogopa kivuli chake? siku saba alidhan miaka saba...
anadhan wote tunaish kimjin mjin eh..
 
Kumbe Riz1 shostito tu, angekuwa wa kiumeni mbona kesho magazeti yangeandika vingine?
 
Sasa hii ni proof "like father like son" wote fisadiz!!
 
Then hii ni "prima facie evidence" kwamba yeye ni fisadi!
Jamani, naombeni muweke ile picha aliyopiga siku ile anazungumza na waandishi wa habari. Angalieni kwa makini ile suti aliyovaa. Mtaniambia bei yake.
 
kama ni kidume kweli ampandishe baba yake mahakamani kwanza kwa ufisadi. vinginevyo anahitaji kubambikiwa cheque iliyokosewa kama wazazi wake, poor thinking.
 
Kama ni ishu ya maisha yake wakati anaongea na vyombo vya habari hakuwa anajua kuwa hilo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…