Ridhiwani Kikwete anaandaliwa Urais 2030?

Hiyo haitoshi kuwa sababu ya kumtia hatiani hayati, Mambo ya hovyo Sana haya. Kwahiyo ulitaka baada ya kifo Maisha ya simame ili kitokee kitu gani? asile mahindi hadharani? Leta ushahidi wa kueleweka na siyo porojo za kula mahindi.
Mbona wewe mpaka leo unaomboleza mpendwa wako kila siku yeye alishindwaje kumwomboleza Rais aliyemwibua hata kwa mwezi mmoja?
 
Heri kwake. Na sisi wandewa tujipange kwa ama kupiga kura au kujiposition nao...tusiwe tunajishangaza wakati maandalizi tunayaona!
 
Hiyo haitoshi kuwa sababu ya kumtia hatiani hayati, Mambo ya hovyo Sana haya. Kwahiyo ulitaka baada ya kifo Maisha ya simame ili kitokee kitu gani? asile mahindi hadharani? Leta ushahidi wa kueleweka na siyo porojo za kula mahindi.
Mbona wewe mpaka leo unaomboleza mpendwa wako kila siku yeye alishindwaje kumwomboleza Rais aliyemwibua hata kwa mwezi mmoja?
Hizo ni assumption za kipuuzi. Maisha lazima yaendelee, kumuibua kutokea wapi?
Aliyemteua kuwa waziri wa ujenzi ni nani?
 
Ulinzi wa Ridhiwan unasababishwa na kwamba yeye ni mtoto wa rais. Ana privilege hiyo kama sehemu ya ulinzi wa familia ya rais mstaafu. Upo hapo?

Halafu kuhusu maandalizi ya kugombea urais , binafsi naona Makamba ndiyo anaandaliwa njia ya kuelekea ikulu. Na uwezo wake wa kiakili ni mkubwa ukiwalinganisha kati yao hao watu 3 (Nape, Ridhiwan na Makamba).
Kwa ninavyo mfahamu mkwere, kuna mtu atamzidi akili mwenzie dakika za lala salama. Lowasa na Rostam ni mashahidi wangu
 
Back
Top Bottom