Ridhiwani Kikwete anaandaliwa Urais 2030?

Wana JF, hizi taarifa nimezipata kwa mtu mkubwa sana ndani ya TISS na ambaye amewahi kuwa kigogo wa idara hiyo.

Ameniambia Mzee Jakaya Kikwete ndiye yuko nyuma ya Mpango huu na sehemu kubwa ya vigogo ndani na nje ya idara. Moja ya mkakati ulifanikiwa ni kuhakikisha baada ya sheria ilikuwa asomee Masters ya International Relation na kweli tayari amehitimu ili msije kusema haijui Dunia.

Lakini pili nimeambiwa Ulinzi wa Ridhiwan Kikwete ni tofauti na mawaziri wenzake wote. Tayari amezungukwa muda wote na suti nyeusi wawili muda wote kuhakikisha nyendo zake zinakuwa salama. Rais Samia Suluhu Hassan naye anaujua Mpango huu.

Hatua ya tatu ni kuwapoteza watu maboya kwa kumhusisha na kumtaja January Makamba kama mgombea Urais 2030 lakini nia ni Makamba kumficha asionekane lakini mwisho yeye January Makamba atakuja kuwa Waziri Mkuu wa Ridhiwan Kikwete. Nguvu nyingine ni kutoka kwa Rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta naye anasaidia mpango kwa Hali na Mali.

Baadhi ya mawaziri wanaojua mpango huu ni pamoja na Jenister Mhagama na Hussein Bashe ambao tayari wameanza "kujisogeza" kwa dogo kwa matumaini ya baadaye.
Wewe kujua tu ni kufeli Kwa mpango huo!!

Utawala was jpm na mbio za urais za 2015 zimeukuza ubongo wangu kifikra sana mkuu!!

Kama Dola imeridhia Yan Gaberon room zote zimekubali na pia ulimwengu was pili umekubali na wakati huo kama ulimwengu was pili na mungu wake ameshikilia Bado kiti Cha kiroho Cha nchi hii itakua!!

Lakini Kwa trend ya kiroho ninayoisoma kama yapo hivyo jamaa hawezi kua!!

Inasemekana ulimwengu uliomweka baba mtu kwenye kiti umeshatekwa na kunyang'anywa kiti Cha urais Hadi Sasa!!

Kwa mantiki hiyo ni Rahisi sana Mimi namba 1 kuwa Rais was nchi kuliko yeye!!

Tusubiri!!
 
Unakumbuka maneno ya busara ya Wazee wetu (Mwinyi na Kikwete)kule kwenye msiba wa Mkapa Lupaso kama ulikuwa unafuatilia.Na baada ya kuzika tu Rais haukuwa na uchungu wowote kwa Mkapa alianza kampeni ya tuliibiwa sana maeneo ya Kilwa,Lindi,Mkuranga huku akitafuna mahindi hadharani bila uchungu na kuzawadiwa jogoo mkubwa.
Baada ya hapo uliona uchaguzi Oktoba 2020 ulivyokuwa vyombo vya dola kila mahali utafikiri Sudan,hata DRC wanatushinda.Aliyekuwa kikwazo cha kujimwambafai kwa Magufuri alikuwa Mkapa,hivyo lilikuwa ni jambo la kimfumo ili Magufuri atekeleze malengo yake ya kutawala milele.Ukweli ndiyo huo.
Hiyo haitoshi kuwa sababu ya kumtia hatiani hayati, Mambo ya hovyo Sana haya. Kwahiyo ulitaka baada ya kifo Maisha ya simame ili kitokee kitu gani? asile mahindi hadharani? Leta ushahidi wa kueleweka na siyo porojo za kula mahindi.
 
Wana JF, hizi taarifa nimezipata kwa mtu mkubwa sana ndani ya TISS na ambaye amewahi kuwa kigogo wa idara hiyo.

Ameniambia Mzee Jakaya Kikwete ndiye yuko nyuma ya Mpango huu na sehemu kubwa ya vigogo ndani na nje ya idara. Moja ya mkakati ulifanikiwa ni kuhakikisha baada ya sheria ilikuwa asomee Masters ya International Relation na kweli tayari amehitimu ili msije kusema haijui Dunia.

Lakini pili nimeambiwa Ulinzi wa Ridhiwan Kikwete ni tofauti na mawaziri wenzake wote. Tayari amezungukwa muda wote na suti nyeusi wawili muda wote kuhakikisha nyendo zake zinakuwa salama. Rais Samia Suluhu Hassan naye anaujua Mpango huu.

Hatua ya tatu ni kuwapoteza watu maboya kwa kumhusisha na kumtaja January Makamba kama mgombea Urais 2030 lakini nia ni Makamba kumficha asionekane lakini mwisho yeye January Makamba atakuja kuwa Waziri Mkuu wa Ridhiwan Kikwete. Nguvu nyingine ni kutoka kwa Rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta naye anasaidia mpango kwa Hali na Mali.

Baadhi ya mawaziri wanaojua mpango huu ni pamoja na Jenister Mhagama na Hussein Bashe ambao tayari wameanza "kujisogeza" kwa dogo kwa matumaini ya baadaye.
Kwenye taifa la kusadikika kila kitu kinawezekana,kama Husein kapewa visiwa inashindika nini Ridhi kupewa Bara!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo haitoshi kuwa sababu ya kumtia hatiani hayati, Mambo ya hovyo Sana haya. Kwahiyo ulitaka baada ya kifo Maisha ya simame ili kitokee kitu gani? asile mahindi hadharani? Leta ushahidi wa kueleweka na siyo porojo za kula mahindi.
Kama ambavyo hakuna ushahidi wa kuuliwa JPM.
 
Lakini pili nimeambiwa Ulinzi wa Ridhiwan Kikwete ni tofauti na mawaziri wenzake wote.
Ulinzi wa Ridhiwan unasababishwa na kwamba yeye ni mtoto wa rais. Ana privilege hiyo kama sehemu ya ulinzi wa familia ya rais mstaafu. Upo hapo?

Halafu kuhusu maandalizi ya kugombea urais , binafsi naona Makamba ndiyo anaandaliwa njia ya kuelekea ikulu. Na uwezo wake wa kiakili ni mkubwa ukiwalinganisha kati yao hao watu 3 (Nape, Ridhiwan na Makamba).
 
Good luck. Sisi hata Nguruwe akigombea atapita ili mradi anatokea kijani.
 
Back
Top Bottom