Sumba-Wanga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 5,349
- 1,224
Kwa nini huyu dogo anahaha hivyo kwa kutumia kivuli cha baba yake? Analinda ulaji wake?
The ideas of the rulimg class is the ruling ideas.
he belongs to the ruling class
Kwa nini huyu dogo anahaha hivyo kwa kutumia kivuli cha baba yake? Analinda ulaji wake?
Wana bodi naona yote mmesha yasema Ngoja nipite tuu kwasababu hasira nilizo nazo nitaangukia kwenye ban
Ridhiwani anafikiria nadharia ya uridhishwanaji wa utawala wa kupokezana vijiti, asahau Tanzania ye leo, watu wameamka, bora afikirie tu kuendesha biashara za malori aliyoanza na vituo vya mafuta.
Hivi Ridhiwani na mama yake ni nani kwenye nchi yetu?
Ridhiwani Kikwete
Ridhiwani amshukia Millya
Mtoto wa Rais, Dk. Jakaya Kikwete, Ridhiwani Kikwete amemshukia aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Arusha, James Ole Millya.Millya alijiengua kutoka CCM na kujiunga CCM kutokana na kile alichoeleza kuwa chama tawala kimekuwa mfano wa gari lililosheni pancha, hivyo halifai kwa safari.
Hata hivyo, baada ya Millya kuondoka CCM, taarifa zilizopatikana mkoani humo zilieleza kwamba aliondoka akiwa na takribani Shilingi milioni 2, mali ya UVCCM. Taarifa hizo ndizo zimemuibua Ridhiwani akichangia katika mtandao wa kijamii wa Tunuru la Afrika na kusema Millya asubiri utaratibu unafuata. Ridhiwani aliandika maneno hayo juzi kupitia simu yake ya mkononi na kuyatuma kwenye mtandao huo akisema, nilidhani utani, kumbe James (Millya) tunamdai hela za Umoja wa Vijana mkoa wa Arusha.Aliongeza, nawashukuru vijana makini wa mkoa wa Arusha kwa umakini wa hali ya juu. Utaratibu waja bwana Millya kama unasoma post hii.
Hata hivyo ujumbe huo wa Ridhiwani ulichangiwa na washiriki mbalimbali, wengi wao wakimpinga na kumhusisha (Ridhiwani) na familia yake kwa tuhuma zenye nia ovu. Baadhi ya tuhuma hizo zimewahi kuchapishwa na kutangazwa kwenye vyombo vya habari, zikikariri vyanzo tofauti.
Millya alitangaza kujiudhuru uwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Arusha hivi karibuni na kuhamia rasmi katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Aidha, siku iliyofuata viongozi wa CCM kwa nyakati tofauti walikaririwa na vyombo vya habari wakimwelezea Millya kuwa, alikuwa gamba na mzigo ndani ya chama umoja huo.
IPPMedia
Mwizi huyoooo!!!!!!!!!
Ridhiwani subiri ujambazi wako ulioufanya hapa Arusha kwa kuwanyang'anya wananchi wa Arusha ardhi yao.
Siku itakapofika labda uhame hii nchi. kwa sasa tunaanza na baba yako anayewatetea wezi wa mali ya umma.
Badala ya kupiga kura ya kutokuwa na imani na Pinda kibao kinamgeukia Baba yako!
wana JF
Kwa wale wasiojua vyema jinsi UVCCM inavyo ongozwa naomba someni hapa chini ili msikurupuke ktk kutoa maoni juu ya hili
Ibara ya 82 Mwenyekiti wa Vijana wa CCM Wa Mkoa
1.ataongoza mkutano wa vijana wa ccm wa mkoa,baraza la vijana wa ccm la mkoa na kamati ya utekelezaji ya baraza la mkoa
2.ktk mikuitano anayoongoza zaidi ya kuwa na kura yake ya kawaida,mwenyekiti wa vijana wa mkoa atakuwa na kura ya uamuzi iwapo kura za wajumbe wanaoafiki na wasioafiki zitalingana
3.mwenyekiti wa vijana wa ccm wa mkoa atachaguliwa na mkutano mkuu wa mkoa.atashika nafasi hiyo kwa muda wa miaka mitano ya uongozi lakini anaweza kuchaguliwa tena baada ya muda huo kumalizika,endapo anazo sifa za uongozi
4.atakuwa mjumbe wa kamati ya siasa ya ccm mkoa
5.atakuwa ndie msimamizi mkuu wa siasa za viajana ktk mkoa
zipo nyingi sana kazi za MWENYEKITI WA UVCCM MKOA
lakini hakuna sehemu anapotajwa kuwa atahusika ktk kushika pesa za uvccm hata kuzisimamia
Ibara ya 83 inamtaja katibu wa vijana wa ccm mkoa kuwa (d) atatunza fedha na kumbukumbu za umoja wa vijana wa ccm ktk mkoa wake
hivyo basi SYSTEM YA UVCCM INAMTAKA KATIBU WA UVCCM AWE NDIYE MTUNZA PESA ZA UMOJA NA SI MWENYEKITI
na mala nyingi mwenyekiti si mtendaji kazi zote hufanywa na katibu na pia ndiye MHASIBU
Sasa bado sipati picha iweje leo hii Arusha watake kusomewa mapato na matumizi na mwenyekiti na si katibu? je katibu nae kajitoa uvccm?
nasikia ole millya hana kazi wala sehemu ya kuishi inadaiwa anashinda katika club moja inaitwa via via nina clip ya viongozi wa ccm ebu nisaidieni jinsi ya kuiingiza humu maana nifanyeje ili kila mmoja aisikilize mwenyewe
We are serious! wewe na babako tambueni ars si salama tena kwenu! na iwepo machafuko yakitoke vitega uchumi vyenu vyote tunavifahamu hapa a town tutaviteketeza wezi nyie.