Ridhiwani Kikwete afichuka kukandia Millya

Wamejipa Tanzania kuwa mali yao bila ridhaa ya watanzania. Na nani anayeshabiki udokozi Tanzania?
 
Huyu tutamfunga kamba soon. Najua sa hv anaona kama ndoto za mchan. kama Mubarak alikua mtawala mwenye nguvu na imara mara mia kuliko babaake lakin akaugulia mahakaman basi ajue nao wako jiran.bora akae kimya ajiandae kuikimbia nchi.
 
We riz na babako ni weziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Nimezidi kugundua jinsi CCM kilivyo chama cha hovyo na kinavyotapanya rasilimali za taifa letu. Kama kila mtu anakuwa na fursa ya kujichukulia tu pesa za chama hovyohovyo, watatoa wapi umakini wa kusimamia mali ya umma? Leo mwenyekiti wa UVCCM mkoa anakuwa na access ya pesa za chama, Katibu na mweka hazina hawana habari, mradi mkubwa wa 600 milioni unasimamiwa na mwenyekiti, Katibu (mtendaji mkuu) yuko usingizini, fund raising ya chama inasimamiwa na mtu asiyejulikana, anapotea na fedha yote (ilitokea Simanjiro). Hiyo ndio CCM tuliyoipa mamlaka ya kusimamia makusanyo yote ya kodi zetu na kupanga matumizi yake. Ja ajabu kitu gani kwa 65% ya pesa yote inayokusanywa kwa mwaka kutoeleweka imeenda wapi? Nadhani taratibu watungwana mtaanza kuelewa tunaposema tatizo ni CCM.
 
Kuna mjumbe hapa kawashauri yeye, baba yake na magamba wenzao wautumie muda uliobaki kurekebisha magereza yawe mahali bora zaidi maana yatakuwa makazi yao hivi karibuni.

Magereza!!. Kule walipo kina Babu Seya?. Ndio kusema watakutana familia ya Jk na familia ya Babu Seya? Itakuwa poa tu.
 
RidhiwanKikweteJr.jpg

Ridhiwani Kikwete


Ridhiwani amshukia Millya

Mtoto wa Rais, Dk. Jakaya Kikwete, Ridhiwani Kikwete amemshukia aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Arusha, James Ole Millya.Millya alijiengua kutoka CCM na kujiunga CCM kutokana na kile alichoeleza kuwa chama tawala kimekuwa mfano wa gari lililosheni pancha, hivyo halifai kwa safari.

Hata hivyo, baada ya Millya kuondoka CCM, taarifa zilizopatikana mkoani humo zilieleza kwamba aliondoka akiwa na takribani Shilingi milioni 2, mali ya UVCCM. Taarifa hizo ndizo zimemuibua Ridhiwani akichangia katika mtandao wa kijamii wa Tunuru la Afrika na kusema Millya asubiri utaratibu unafuata. Ridhiwani aliandika maneno hayo juzi kupitia simu yake ya mkononi na kuyatuma kwenye mtandao huo akisema, “nilidhani utani, kumbe James (Millya) tunamdai hela za Umoja wa Vijana mkoa wa Arusha.”
Aliongeza, “nawashukuru vijana makini wa mkoa wa Arusha kwa umakini wa hali ya juu. Utaratibu waja bwana Millya kama unasoma post hii.

Hata hivyo ujumbe huo wa Ridhiwani ulichangiwa na washiriki mbalimbali, wengi wao wakimpinga na kumhusisha (Ridhiwani) na familia yake kwa tuhuma zenye nia ovu. Baadhi ya tuhuma hizo zimewahi kuchapishwa na kutangazwa kwenye vyombo vya habari, zikikariri vyanzo tofauti.


Millya alitangaza kujiudhuru uwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Arusha hivi karibuni na kuhamia rasmi katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Aidha, siku iliyofuata viongozi wa CCM kwa nyakati tofauti walikaririwa na vyombo vya habari wakimwelezea Millya kuwa, alikuwa gamba na mzigo ndani ya chama umoja huo.

IPPMedia

Asante kwa taarifa. hawamuwezi Millya!
 
Ivi nikiwa rais kumbe mack junior nae atakuwa makamu wangu..riz subiri 2shike nchi 2kunyonge.
 
We are serious! wewe na babako tambueni ars si salama tena kwenu! na iwepo machafuko yakitoke vitega uchumi vyenu vyote tunavifahamu hapa a town tutaviteketeza wezi nyie.

kaka umemaliza,nipo a town na mali zote tunazifaham,
 
Ridhiwan na baba yako jiandaeni, msifikili mtatawala milele, siku yenu yaja, lazima tuwachomeke vijiti kama gadafi...
 
Haka kajamaa baba ake akitoka madarakani lazima kapigike
 
Back
Top Bottom