Ridhiwani akabidhi Ambulance Jimboni

Ridhiwani akabidhi Ambulance Jimboni

Abarikiwe tu, kama ametoa kiroho safi, lakini ambulance moja kwa eneo hilo la main road haitoshi, need to add more or the big one, think big and overcome your horizon.
 
WanaJF,

Moja ya vijana ambao taifa hili halina budi kuwatazama kwa jicho la tatu ni Ridhiwani Kikwete. Hii ni kwa kuwa ni kijana ambae yupo kwenye fungu la vijana 'asset' wa hii nchi na sio 'liability'.

Katika hatua ya kutimiza ahadi zake kwa wananchi wake wa jimboni Chalinze, Ridhiwani akabidhi ambulance ambayo ameahidi wakati wa kampeni kwenye hospital ya Chalinze siku ya jana.

Ahadi hii imetekelezwa kufuatia makabidhiano ya kompyuta katika shule takribani tano ambazo nazo zinapatikana katika jimbo lake hilo la Chalinze.

Aidha, mbunge huyo kijana alipohojiwa juu ya uwezo wake wa kutekeleza ahadi zake kwa kasi alieleza ripota wetu kuwa, yeye hawezi kungoja pesa za mfuko wa jimbo ili kufanya maendeleo kwa wananchi wake badala yake atajitahidi kutumia hata vyanzo vyake vya ziada ikiwemo pesa za tozo za uwakili na mapato yatokanayo na kodi ya nyumba yake ili kusukuma maendeleo jimboni kwake Chalinze.

Ndugu wanaJF, hii ndio aina ya vijana ambao hili taifa linahitaji. Sio wale wanywa viroba watembea na majeneza kutwa kucha huku wamama wajawazito wanakosa huduma bora za afya na mbunge amekazania tu, "eti mbunge sio kazi yangu kuboresha huduma ya afya, hiyo ni kazi ya serikali". Mawazo hayo yamepitwa na wakati na ndio yamefanya wakina Kafulila, Wenje, Mkosamali na yule Kiwia kupigwa chini vibaya na wananchi wao kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.

Tumuunge mkono Ridhiwani.

View attachment 308505

Watembea na majenezaaaaaaaa???????????????????

Aiseee hongera bwana ww si chuma utaishi milele
 
Gari ya.kuuzia ice cream 😀😀
 
Huyu nae anahitaji kusifiwa kweli? Hizo ni hela zetu amerudisha tuu chembe in another way round. Ila Magufuli atawafikia tuu hawa miungu watu wa nchi hii.
Mungu awarehemu tuu kwani bila rehema zake wakifika huko siku ya ukumu watajuta sana.
 
Hivi ni haki Mbunge kutumia pesa yake kutoka mfukoni kwa ajili ya maendeleo ya wananchi ? Vipi kuhusu uendelevu wa hiyo miradi inayoanzishwa bila maandalizi ya kuindeleza. Miye nathani kazi kubwa ya Mbunge kama mwakilishi wa wananchi ni kuisimamia Serikali itekeleze mipango ya maendeleo katika eneo lake. Kutumia pesa yake ni kutoa rushwa au kuanunua Ubunge kwa maana kwamba anawalipa baada ya kuwa wamemkopesha nafasi ya Ubunge.

uliza mbowe alifanya hivyo hivyo mbona hukuuliza
 
Ww hujielewi, umejaa ukada na uwezo mdogo... Unamjua kafulila wewe?.. Unadhani ni wakufananishwa na Ridhione??.... Peleka njaa zako huko, mtumwa wa akili tu ww, eti na ww ni DC!!!...Aibu tupu..
 
Nayo imelipiwa ushuru kama ile ya Nassari?
 
Hii imenikumbusha jamaa mmoja aliidhulumu familia moja masikini shamba la ukubwa wa ekari 60 lenye thamani ya mamilioni ya shilingi lakini famila hiyo ilipopata msiba akachangia ng'ombe mmoja na watu wakamshukuru kweli kwa kusema jamaa ni mfano wa kuigwa katika matatizo ya kijamii.
Nadhani nimeeleweka.
 
Nasikia kuna watu wana'wekwa' BOND mpaka mzigo upite.........!? mtu kuwekwa bond!!!:shock:
 
Awasilishe barua kwa maandishi ili asitengewe mfuko wa mbunge ili asimamie show mwenyewe,si amesema ana kasi na hahitaji fedha ya mfuko huo?au ni mbwembwe na mahaba ya mleta mada mpaka anapitiliza
 
Naomba tusi misuse neno asset ; Huyu bwana hana sifa ya kuwa tegemeo kwa taifa kwani anafuata nyayo za baba yake na nyayo hizo zimefutwa na Magufuli. Anachofanya Magufuli kinaonyesha JK hakufanya chochote
 
Mwenyewe anaona fahari tunavyomuogopa, najuta kuzaliwa kwenye nchi kama hii, unaibiwa alafu aliyekuibia anakuletea dharau, hizi ni dharau
Hiyo gar ampelekee baba yake,
 
Mkuu HAMY-D nikitumia jicho la tatu kumwangalia Ritz1 sijui kwanini naona UDA wewe unaonaje ukilitumia jicho la tatu????
 
Last edited by a moderator:
WanaJF,

Moja ya vijana ambao taifa hili halina budi kuwatazama kwa jicho la tatu ni Ridhiwani Kikwete. Hii ni kwa kuwa ni kijana ambae yupo kwenye fungu la vijana 'asset' wa hii nchi na sio 'liability'.

Katika hatua ya kutimiza ahadi zake kwa wananchi wake wa jimboni Chalinze, Ridhiwani akabidhi ambulance ambayo ameahidi wakati wa kampeni kwenye hospital ya Chalinze siku ya jana.

Ahadi hii imetekelezwa kufuatia makabidhiano ya kompyuta katika shule takribani tano ambazo nazo zinapatikana katika jimbo lake hilo la Chalinze.

Aidha, mbunge huyo kijana alipohojiwa juu ya uwezo wake wa kutekeleza ahadi zake kwa kasi alieleza ripota wetu kuwa, yeye hawezi kungoja pesa za mfuko wa jimbo ili kufanya maendeleo kwa wananchi wake badala yake atajitahidi kutumia hata vyanzo vyake vya ziada ikiwemo pesa za tozo za uwakili na mapato yatokanayo na kodi ya nyumba yake ili kusukuma maendeleo jimboni kwake Chalinze.

Ndugu wanaJF, hii ndio aina ya vijana ambao hili taifa linahitaji. Sio wale wanywa viroba watembea na majeneza kutwa kucha huku wamama wajawazito wanakosa huduma bora za afya na mbunge amekazania tu, "eti mbunge sio kazi yangu kuboresha huduma ya afya, hiyo ni kazi ya serikali". Mawazo hayo yamepitwa na wakati na ndio yamefanya wakina Kafulila, Wenje, Mkosamali na yule Kiwia kupigwa chini vibaya na wananchi wao kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.

Tumuunge mkono Ridhiwani.

View attachment 308505

Mimi nina mtoto pale Talawanda Secondary. Mshauri Ridhiwani apeleke maji pale shuleni kwani wale watoto wanapata shida sana, na pia atekeleze ahadi alizotoa pale mwaka wa 2013 alipokua mgeni rasmi kwenye graduation ceremony.
 
Back
Top Bottom