Ridhiwani akabidhi Ambulance Jimboni

Ridhiwani akabidhi Ambulance Jimboni

safi sana .........

Wacha waongee we timiza ahadi zako kwa wananchi wako.....

Mean while kina naniii wanasubiri january waingie bungeni kuzomea na kuchukua posho
 
Hakuna jipya. Hiyo ambulance hata mimi naweza kununua. Sifa za kijinga hizi!!!
 
WanaJF,

Moja ya vijana ambao taifa hili halina budi kuwatazama kwa jicho la tatu ni Ridhiwani Kikwete. Hii ni kwa kuwa ni kijana ambae yupo kwenye fungu la vijana 'asset' wa hii nchi na sio 'liability'.

Katika hatua ya kutimiza ahadi zake kwa wananchi wake wa jimboni Chalinze, Ridhiwani akabidhi ambulance ambayo ameahidi wakati wa kampeni kwenye hospital ya Chalinze siku ya jana.

Ahadi hii imetekelezwa kufuatia makabidhiano ya kompyuta katika shule takribani tano ambazo nazo zinapatikana katika jimbo lake hilo la Chalinze.

Aidha, mbunge huyo kijana alipohojiwa juu ya uwezo wake wa kutekeleza ahadi zake kwa kasi alieleza ripota wetu kuwa, yeye hawezi kungoja pesa za mfuko wa jimbo ili kufanya maendeleo kwa wananchi wake badala yake atajitahidi kutumia hata vyanzo vyake vya ziada ikiwemo pesa za tozo za uwakili na mapato yatokanayo na kodi ya nyumba yake ili kusukuma maendeleo jimboni kwake Chalinze.

Ndugu wanaJF, hii ndio aina ya vijana ambao hili taifa linahitaji. Sio wale wanywa viroba watembea na majeneza kutwa kucha huku wamama wajawazito wanakosa huduma bora za afya na mbunge amekazania tu, "eti mbunge sio kazi yangu kuboresha huduma ya afya, hiyo ni kazi ya serikali". Mawazo hayo yamepitwa na wakati na ndio yamefanya wakina Kafulila, Wenje, Mkosamali na yule Kiwia kupigwa chini vibaya na wananchi wao kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.

Tumuunge mkono Ridhiwani.

View attachment 308505

Mleta uzi nia yako wala si kumpongeza Riz1 ila ni kuchokoza wanaomjua wamnyee. Yaani Riz aungwe mkono na nani?

Acheni kwanza Magufuli yuko kwenye mikakati ya kuwazunguka kabla hawajamzunguka.

Angewasiliana na Masaburi na Kisena wairudishe kampuni ya UDA kwa wenyewe badala ya kusubiri mabasi yasombwe moja moja na TRA huku kodi ya serikali wanayodaiwa ikiwa pale pale.
 
Ngoja baba yake aachie kiti cha chama tuone ...............!!
 
Hili dogo ndezi kama nini basi tu lakini ningekuwa magufuri huyu dogo nsaizi ningeanza nae kama jipu la kwanza maana mhhh!!!!!!!!!!!!!!! Riz moko ni fisadi la kufa mtu tena ni zaidi ya mzee wa vijicent na yule mama wa pesa ya mboga. Lakini nnajua magufuri hatamfanya lolote.
 
Ngoja baba yake aachie kiti cha chama tuone ...............!!

Sidhani kama atakikalia kiti hicho cha CCM mpaka ufike wakati wa kukiachia kabla hajatajwa na genge lake na kukamatwa.
 
Kati ya Riz na Lowassa nani anatakiwa awe jela?!? Ni lini Riz ameingia serikalini kusimamia fedha za umma? Je hilo fisadi lenu Lowassa...si limetuibia kwa miaka zaidi ya 30...zee lilafi kweli lile.

Mwambie huyo awaoni jizi lowasa plus sumaye
 
Mimi ndiye mganga hapa Chalinze hospital, siku ya jana 30/11/2015 hakukuwa na kitu kama hicho acha polojo na uongi kwenyr mitandao.
Ambulance mheshimiwa mbunge alishatoa zamani na ipo siyo hiyo iliyopo pichani yenyewe ni Toyota Landcrusser aliitoa toka mwaka jana.
ONYO:
ACHA MAISHA YA KUJIPENDEKEZA
 
WanaJF,

Moja ya vijana ambao taifa hili halina budi kuwatazama kwa jicho la tatu ni Ridhiwani Kikwete. Hii ni kwa kuwa ni kijana ambae yupo kwenye fungu la vijana 'asset' wa hii nchi na sio 'liability'.

Katika hatua ya kutimiza ahadi zake kwa wananchi wake wa jimboni Chalinze, Ridhiwani akabidhi ambulance ambayo ameahidi wakati wa kampeni kwenye hospital ya Chalinze siku ya jana.

Ahadi hii imetekelezwa kufuatia makabidhiano ya kompyuta katika shule takribani tano ambazo nazo zinapatikana katika jimbo lake hilo la Chalinze.

Aidha, mbunge huyo kijana alipohojiwa juu ya uwezo wake wa kutekeleza ahadi zake kwa kasi alieleza ripota wetu kuwa, yeye hawezi kungoja pesa za mfuko wa jimbo ili kufanya maendeleo kwa wananchi wake badala yake atajitahidi kutumia hata vyanzo vyake vya ziada ikiwemo pesa za tozo za uwakili na mapato yatokanayo na kodi ya nyumba yake ili kusukuma maendeleo jimboni kwake Chalinze.

Ndugu wanaJF, hii ndio aina ya vijana ambao hili taifa linahitaji. Sio wale wanywa viroba watembea na majeneza kutwa kucha huku wamama wajawazito wanakosa huduma bora za afya na mbunge amekazania tu, "eti mbunge sio kazi yangu kuboresha huduma ya afya, hiyo ni kazi ya serikali". Mawazo hayo yamepitwa na wakati na ndio yamefanya wakina Kafulila, Wenje, Mkosamali na yule Kiwia kupigwa chini vibaya na wananchi wao kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.

Tumuunge mkono Ridhiwani.

View attachment 308505

Unawaadaaha wa Tanzania sio
 
Kati ya Riz na Lowassa nani anatakiwa awe jela?!? Ni lini Riz ameingia serikalini kusimamia fedha za umma? Je hilo fisadi lenu Lowassa...si limetuibia kwa miaka zaidi ya 30...zee lilafi kweli lile.

Kwa akili yako kama hilo unalijua ni kwa nini Lowasa hayuko jela na ni nani ambaye alikuwa ana mamlaka ya kumpeleka huko jela
 
WanaJF,

Moja ya vijana ambao taifa hili halina budi kuwatazama kwa jicho la tatu ni Ridhiwani Kikwete. Hii ni kwa kuwa ni kijana ambae yupo kwenye fungu la vijana 'asset' wa hii nchi na sio 'liability'.

Katika hatua ya kutimiza ahadi zake kwa wananchi wake wa jimboni Chalinze, Ridhiwani akabidhi ambulance ambayo ameahidi wakati wa kampeni kwenye hospital ya Chalinze siku ya jana.

Ahadi hii imetekelezwa kufuatia makabidhiano ya kompyuta katika shule takribani tano ambazo nazo zinapatikana katika jimbo lake hilo la Chalinze.

Aidha, mbunge huyo kijana alipohojiwa juu ya uwezo wake wa kutekeleza ahadi zake kwa kasi alieleza ripota wetu kuwa, yeye hawezi kungoja pesa za mfuko wa jimbo ili kufanya maendeleo kwa wananchi wake badala yake atajitahidi kutumia hata vyanzo vyake vya ziada ikiwemo pesa za tozo za uwakili na mapato yatokanayo na kodi ya nyumba yake ili kusukuma maendeleo jimboni kwake Chalinze.

Ndugu wanaJF, hii ndio aina ya vijana ambao hili taifa linahitaji. Sio wale wanywa viroba watembea na majeneza kutwa kucha huku wamama wajawazito wanakosa huduma bora za afya na mbunge amekazania tu, "eti mbunge sio kazi yangu kuboresha huduma ya afya, hiyo ni kazi ya serikali". Mawazo hayo yamepitwa na wakati na ndio yamefanya wakina Kafulila, Wenje, Mkosamali na yule Kiwia kupigwa chini vibaya na wananchi wao kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.

Tumuunge mkono Ridhiwani.

View attachment 308505

Peleka utumbo wako Msoga ukaolewe..
 
Back
Top Bottom