Ridhiwani akabidhi Ambulance Jimboni

Ridhiwani akabidhi Ambulance Jimboni

Kachelewa sana. Waulize akina Dogo Janja wa Arumerumeru japo hajihusishi na maugali lakini alitoa mapema siku nyingi tu
 
Ambulence anazozitoa huwa hazidumu. Zinakuwa za kuchukulia ujiko kwenye media halafu baada ya miezi 3 hazionekani. Zilishakuwepo ambulence zaidi ya nne baada ya kufariki Bwana Mdogo. Moja ni Mazda, nyingine ni Mkonga nyingine ya kichina sijui inaitwaje... Na zote hivi sasa hazipo.

Ukibahatisha ndani ya miezi mitatu hii ya kupigia picha ukawa na hitaji la kumpeleka mgonjwa tumbi utaambiwa changia wese laki 2, mara tusaidie kuazima tairi kwa mtu mradi mgonjwa wako afe tu
 
Mali zetu ....naona anarejesha kidogo..huyu alitakiwa awe jela.......ula kwasababu anawapa posho imabid mumsigie na kumlamba viatu
 
Jamani majijana/koo nyingine tungeomba msiyataje taje hapa . Mnakumbusha wananchi maumivu na kuleta hasira.

Mngewaacha kwanza hawa tuwasahau. Mnatonesha vidonda vya wa Watanzania.
 
Ambulence anazozitoa huwa hazidumu. Zinakuwa za kuchukulia ujiko kwenye media halafu baada ya miezi 3 hazionekani. Zilishakuwepo ambulence zaidi ya nne baada ya kufariki Bwana Mdogo. Moja ni Mazda, nyingine ni Mkonga nyingine ya kichina sijui inaitwaje... Na zote hivi sasa hazipo.

Ukibahatisha ndani ya miezi mitatu hii ya kupigia picha ukawa na hitaji la kumpeleka mgonjwa tumbi utaambiwa changia wese laki 2, mara tusaidie kuazima tairi kwa mtu mradi mgonjwa wako afe tu

Ukitaka huduma ya ambulence njoo huku Hai...kwa mbowe hakuna hata kuchangia hela ya mafuta.....
 
Hebu tuondolee upuuzi huo... Ridhiwani ni asset ya wapi? Wee ngoja hilo jipu lianze kutumbuliwa ndio utaona kama ni asset au liability.... .
 
Wapiga filimbi wana changamoto sana.
 
Watu wanavichaa kwelikweli,riz ni asset??-???€?-???€?-???€?-???€ utakuwa na laana!!! Huyo muuza unga ambaye ametumia madaraka ya baba yake kufanya chochote anachotaka huku akijipatia utajiri wa kutisha kwa muda mfupi ni asset? Me ni mwanaccm ila nataman riz anyongwe hata leo

Duuh, calm down mkuu
 
Mali zetu ....naona anarejesha kidogo..huyu alitakiwa awe jela.......ula kwasababu anawapa posho imabid mumsigie na kumlamba viatu

Kati ya Riz na Lowassa nani anatakiwa awe jela?!? Ni lini Riz ameingia serikalini kusimamia fedha za umma? Je hilo fisadi lenu Lowassa...si limetuibia kwa miaka zaidi ya 30...zee lilafi kweli lile.
 
akadanganye ukoo wake,sio hii jamii ambayo inapigania kwa dhati mabadiliko ya dhati na endelevu katika maisha ya ni ki tz
 
Kati ya Riz na Lowassa nani anatakiwa awe jela?!? Ni lini Riz ameingia serikalini kusimamia fedha za umma? Je hilo fisadi lenu Lowassa...si limetuibia kwa miaka zaidi ya 30...zee lilafi kweli lile.

Mzee wa uda na makontena ..alitakiwa awe jela......na kama lowasa alitakiwa awejela hayuko na nynyi tena mnasubiri nn kumpeleka...ila huyo riz.....anatakiwa aende jela makontena kwa miaka kumi hajalipia akipitisha ....
 
Back
Top Bottom