Ridhiwani akabidhi Ambulance Jimboni

Ridhiwani akabidhi Ambulance Jimboni

Hii gari imetolewa kwa msaada wa watu wa CANADA.
 
kwa magumashi aliyopiga huyu dogo kwa mgongo wa baba yake akiwa ikulu anatakiwa ambulance kila wilaya Tanzania nzima .. ya jimboni kwake ni suna ndogo sana
 
Tutasubir atueleze alipopata malori 300 na kampun yake ya GSM
 
HAMY-D Ile video uliwahi kuiona? Je, inaonyesha 'asset' au 'liability' ya mpendwa?

Hatuhitaji ufadhili kutoka mifukoni mwa watu binafsi .Kusindwa kutumia vyanzo vya jimbo lake ni failure kubwa sana
Kwamba maisha ya wana Calinze yanategemea pesa za uwakili nyumba ya tu! Pathetic, disgusting and abysmal

Huyu ameshindwa uongozi na ni mzigo mwiingine kama ......,.
 
Last edited by a moderator:
HAMY-D Ile video uliwahi kuiona? Je, inaonyesha 'asset' au 'liability' ya mpendwa?

Hatuhitaji ufadhili kutoka mifukoni mwa watu binafsi .Kusindwa kutumia vyanzo vya jimbo lake ni failure kubwa sana
Kwamba maisha ya wana Chalinze yanategemea pesa za uwakili nyumba ya mtu! Pathetic, disgusting and abysmal

Huyu ameshindwa uongozi na ni mzigo mwiingine kama ......,..........
 
Ambulence anazozitoa huwa hazidumu. Zinakuwa za kuchukulia ujiko kwenye media halafu baada ya miezi 3 hazionekani. Zilishakuwepo ambulence zaidi ya nne baada ya kufariki Bwana Mdogo. Moja ni Mazda, nyingine ni Mkonga nyingine ya kichina sijui inaitwaje... Na zote hivi sasahazipo.

Ukibahatisha ndani ya miezi mitatu hii ya kupigia picha ukawa na hitaji la kumpeleka mgonjwa tumbi utaambiwa changia wese laki 2,
mara tusaidie kuazima tairi kwa mtu mradi mgonjwa wako afe tu

Ahahahaaa khaa aise ni shida.. Umenvunja mbavu japo ni habar ya kusikitisha
 
anapenda cheep popularity, kwani lazima atangazee si anatimiza wajibu wake kama mbunge
 
Someone is a disgrace to this country! Ni memba wa familia ambayo imejaliwa kutokuwa na aibu! Kauli mbiu yao ni "hapa ni dili tu"! Like father like mother like childrean!
 
Back
Top Bottom