Rich gang members wamwaga mamilioni ya pesa kaburini kwa Ivandon

Sasa familia ngapi wenye hali duni wangenufaika na hizo hela. Ningefurahi Museveni angelizungumzia hilo, na wote waliofanya hivyo kuchunguzwa walivyo zipata hizo hela, maana hawana uchungu nazo na sio watu wenye huruma ama imani
Pole kaka kwa fikra zako potofu.
 
Hivyo Uganda hakuna Serikali? Hao wote waliomwaga fedha kaburini walipaswa kukamatwa na kushtakiwa mahakamani. Hili ni kosa la jinai. Ni sawa na kuchana fedha hadharani. Maana yake umeziondoa fedha ya serikali katika mzunguko halali wa kiuchumi.
wewe Watu wahangaike kutafuta pesa Zao then uwapangie matumiz
 
Ninavyowajua wa-Ganda labda jeshi la polisi lihamie hapo
Nn polisi labda sehemu hiyo itangazwe na mamlaka kuanzishwa kambi ya jeshi na waganda washuhudie kwa machi yao inashushwa mizinga na vifaru vinginevyo watashuhudia asubuhi sanda ,suti na kiwiliwili vikiwa nje ya kaburi.Achana na waganda sebo!
 
Huwa namshukuru sana Mungu kwa kuweka usawa w vitu flani na hasa vile vitu muhimu ili uendelee kuishi,

pamoja na kufuru ya hizo pesa na kuzikwa vizuri lakini bado mauti yanafanana na yule ndugu yetu wa Nmtumbo ambaye hata hela ya sanda kuipata ilikuwa ni shughuli
 
Nn polisi labda sehemu hiyo itangazwe na mamlaka kuanzishwa kambi ya jeshi na waganda washuhudie kwa machi yao inashushwa mizinga na vifaru vinginevyo watashuhudia asubuhi sanda ,suti na kiwiliwili vikiwa nje ya kaburi.Achana na waganda sebo!
Ata wakifukua akuna kitu wamemwaga kwa wine za kutosha ndiyo wakatupa pesa ayo mawine yataziaribu zote
 
Ukute ni masharti...huwa hayakiukwi aise...mtasema mtachoka lakini wenzenu hawako tayari kusulubiwa.
 
upumbavu huu Uganda kwao watu wanakufa kwa njaa mpaka wanachemsha majani ili wasife wao wanafukia pesa ili zioze
 
Back
Top Bottom