Rich Dad, Poor Dad by Richard T. Kiyosaki

The Inquisitive

Senior Member
Oct 27, 2010
177
29
A very interesting bestseller book.
Kwa mliokisoma kitabu hiki; unakubaliana na principles zilizoainishwa na Kiyosaki (especially to the African economic context)? Je, umeshaapply principles hizo na kufanikiwa?
 
aisee kile kitabu ni bonge la nondo, binafsi baada ya kusoma nimejiona kuna kitu namiss...............required relevant knowledge into business. sasa nimeamua kurudi back to class kusaka business related knowledge nichanganye na hii ya kwangu ili nikiingia field nisibahatishe kitu mdau
 
The best book I have ever read in my life, it changed my whole life. If you want to be a businessman and haven't read that book, I am sorry for you. Lucky for me I read the book in high school.

Mkuu nakubali hiki ni kitabu ambacho mjasiriamali yeyote serious anatakiwa kukisoma. Huwezi kubaki ulivyokuwa mara baada ya kukisoma
 
YouTube - Robert Kiyosaki - Rich Dad Poor Dad part 9

YouTube - Robert Kiyosaki - Rich Dad Poor Dad part 10

YouTube - Robert Kiyosaki - Rich Dad Poor Dad part 11 last

Pateni nondo kwa ufupi wakuu tuondoe mawazo mgando hii ni elimu ya msingi kabisa inakuonyesha upo wapi na kushape mtazamo wako upya kama wewe ni mjasiriamali!

Mzuzu, asante kwa resource hii. Hata mimi nilikuwa na book version tu, so umenisaidia sana kwa electronic copy.

Kuna maoni kwamba principles za kitabu hiki are applicable to US or Europe, but not Tanzania. Mfano, soko la stocks and bonds, real estate ni changa bado. Pia watu wengi hawana ufahamu na processess za ku-invest hata kama pesa wanayo (ndio maana unaona mapedeshee wengi pesa ipo kwa mfuko lakini hajui afanye nini, anaishia kuzirusha majukwaani).

Mwaonaje kuhusu hili ninyi mlionufaika na kitabu hiki?
 
Indeed myself i have been reading the book and many things i am watching to people on rat race especially my fellow workers who are getting loans and to buy cars and sofa. After two months they put the car at home and start to complain about life
 
naona ametoa kitabu kingine cha ujasiriamali nikikichukua nitatoa data zaidi anacho jamaa yangu
 
aminimaadhi: Yeah buddy, things are the same as you described in your post but scenarios differ from person to person. What do you think of it?
 
kinafaa sana, ni kweli si kila kitu kinafaa kwa mazingira ya huku kwetu. ila ile mentality tu na baadhi ya mambo ni muhimu hata huku. mi nilikisoma kwa kupewa na rafiki yangu kikanipa mwanga mpya. then after hicho soma Cash flow quadrant cha huyohuyo Kayosaki. Ni shule nzuri
 
The best book I have ever read in my life, it changed my whole life. If you want to be a businessman and haven't read that book, I am sorry for you. Lucky for me I read the book in high school.

Mi ninacho lakini kipo katika hali ya pamphlet na hakina kurasa zote.Ningependa kupata kitabu chote kabisa.Ni bei gani na kina kurasa ngapi?Mi nimeanzia ukarasa wa 3 mpaka 28.Nitakuwa nimekosa vitu vingi sana?Naomba mwenye kujua aniambie.Pia kama kuna kingine fabolous kama hicho naomba jina na bei.Natanguliza shukrani wakuu.
 
Mi ninacho lakini kipo katika hali ya pamphlet na hakina kurasa zote.Ningependa kupata kitabu chote kabisa.Ni bei gani na kina kurasa ngapi?Mi nimeanzia ukarasa wa 3 mpaka 28.Nitakuwa nimekosa vitu vingi sana?Naomba mwenye kujua aniambie.Pia kama kuna kingine fabolous kama hicho naomba jina na bei.Natanguliza shukrani wakuu.

Ni PM tuwasiliane then nikutumia kama attachment
 
Mimi ndo nakisoma ni kitabu kizuri sana yani ukikisoma then uki reflect mambo wanayofanya watanzania you will see that we are playing.
 
I love this book, I will soon go into business! Siyo siri, I read this book several times without being exausted. Another book is " Think Big, Grow Rich" By Napoli, I would recomend anyone to read these books.
Ni vitabu vinavyojenga akili ya mtu namna ya kufanya Financial Decision.
 
naona ametoa kitabu kingine cha ujasiriamali nikikichukua nitatoa data zaidi anacho jamaa yangu
naomba nondo kama hizi kama mtu anakua na soft copy atuwekee,huku Jf napenda kitu kimoja kikubwa ni ushirikiano na kusaidiana tena kama vile tunafahamiana in reality maana hivi vitabu ni ghali sana wengine hatumudu kununua,kuna mtu aliniwekea vitabu fulani humu ikiwemo kile cha research by Kothari kimekua msaada sana kwa mdogo wangu ambaye naye amewapa copy wengine,shukrani sana kwa member
 
Back
Top Bottom