Mkono wa Tembo
Member
- Mar 10, 2011
- 39
- 1
Wanajiamii sasa tunaelekea kuzuri sana. Kiyosaki ana vitabu ingi vizuri na kitabu chake cha kwanza ni hiki rich dad Poor dad,vingine ni....1. Cash flow Quadrant, 2. Retire young retire rich, 3. why dou we want you to be rich, 4. the business school. ni vitabu ambavyo hutachoka kusoma and for any serious reader siku tatu zinatosha kumaliza copy moja. One thing i assure you, after you have finished reading these books utaona hapa duniani unachezea maisha! unapoteza muda wako hapo unapopatia rizki ya wanao!. Pia kuna jamaa anaitwa Burke Hedge, ni mkali sana, huyu ni gwiji la network marketing business.... soma Parable of the pipeline na the Biz dot com. Ni hatari kubwa! WaTZ wengi wanadhani network marketing ni ujinga na wengine ambao ni wajinga zaidi wanafiiri ni uchawi.....Kuhusu network marketing, kiyosaki ameongea sana katka kitabu chake cha business school.....Twende kazi!