Kingmbusel
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 624
- 956
humu ndio kuna jibu hii revised questionHoja iko wazi
Kwanini wanaoihoji na kuisahihisha serikali wanatekwa?
humu ndio kuna jibu hii revised questionHoja iko wazi
Kwanini wanaoihoji na kuisahihisha serikali wanatekwa?
zingatia maelezo yangu ya msingi na itakusaiadia pakubwa for the record.Hujatimiziwa na Baba yako ndio uje udai kwa baba wa watu, nenda shule ujitimizie haja zako huko mxuuiii
Gwajima angekemea utekaji bila kumshambulia Rais na vyombo vya usalama yasingemkuta yote haya. Mbaya zaidi akatumia kanisa lake kupiga propaganda za kisiasa na vitisho. Kajilipua kijinga mno. Acha DOLA imshikishe adabu.mmeshapigwa kabali ya shingo tayar ,muda sio mrefu watalegea sana
Father ulimsikia Tulia aliongea madhabahuni akisema "Mwaka huu hatupo tayari kwenda mbinguni?"
Watu wanavaa hijab ambazo ni blood stained.
Waziwazi Rais wa nchi anathibitisha kuwa yeye ni mshirika wa.mauaji ,utekaji,ubakaji wa demokrasia,mla rushwa namba moja.
Anguko lake ni baya sana na atadondoka mdomo wazi.period
Unapandikizwa na CCMNaona hapa na udini unahusika sana tu
Acha kueneza chuki za kidini. Hakuna muislam yoyote anayetetea swala la watu kutekwa, wote tunapinga.Sisi kama waislamu tunamuunga mkono Mama Samia iwa sbbnndo muislam mwenzatu.Kafanya vzirui kuteka na kuua wapinzani wake wa kisiasa ambao wenginni wakrisitu
mzinifu hawezi vita na yeyote gentleman 🐒
Frelimo ya msumbiji Chini ya samora machels huyu jamaa alikuwa MKOMUNIST.Gwajima angekemea utekaji bila kumshambulia Rais na vyombo vya usalama yasingemkuta yote haya. Mbaya zaidi akatumia kanisa lake kupiga propaganda za kisiasa na vitisho. Kajilipua kijinga mno. Acha DOLA imshikishe adabu.
Kosa ni kusema ukweli nyuma ya mikamera kuhusu watekajiMimi si muumini wa kanisa la ufufuo na uzima wala Gwajima sio role model wangu.. Lakini kitendo chake cha kukemea utekaji wazi wazi na kutaka hatua stahiki zichukuliwe kiliwagusa wengi
Baada ya hapo alipata mashambulizi ya kutosha hasa ndani ya chama chake.. Naye hakukaa kimya bali alirejea na kutangaza maombi kwa wahanga mbalimbali nchini wenye kesi za uhaini, waliotekwa na hata wanasiasa pia..
Maombi yalianza jana na hapohapo ikatoka barua ya kulifungia kanisa lake
Je kosa la Gwajima ni lipi mpaka sasa?
Kukemea utekaji?
Kutaka wahusika watafutwe?
Kuwafanyia maombi wahanga mbalimbali?
Hivi tumefika mahali hata maombi tunayaogopa?View attachment 3354235
Sasa unataka kutuangusha mkuu! Mpaka sasa hujajua?Mimi si muumini wa kanisa la ufufuo na uzima wala Gwajima sio role model wangu.. Lakini kitendo chake cha kukemea utekaji wazi wazi na kutaka hatua stahiki zichukuliwe kiliwagusa wengi
Baada ya hapo alipata mashambulizi ya kutosha hasa ndani ya chama chake.. Naye hakukaa kimya bali alirejea na kutangaza maombi kwa wahanga mbalimbali nchini wenye kesi za uhaini, waliotekwa na hata wanasiasa pia..
Maombi yalianza jana na hapohapo ikatoka barua ya kulifungia kanisa lake
Je kosa la Gwajima ni lipi mpaka sasa?
Kukemea utekaji?
Kutaka wahusika watafutwe?
Kuwafanyia maombi wahanga mbalimbali?
Hivi tumefika mahali hata maombi tunayaogopa?View attachment 3354235
Kuukataa mfumo wa unyumbu wa kisiasaSasa unataka kutuangusha mkuu! Mpaka sasa hujajua?
Ngoja nikusaidiee buree:
1. Kumtolea mfano mtoto wa mkubwa
2. Kuandaa program ya kumwombea Tundu Lissu
3. Kushauri utendaji wa vyombo vya dola usiingiliwe na watawala
4. Kuongea yasiyovutia kwa "Chama "
5. Kukataa kuwa chawa
6. Kuwa na akili inayofanya kazi
7. Kulia na wanaolia
Kwanza kabisa, kumshambulia rais ni haki ya kikatiba.Gwajima angekemea utekaji bila kumshambulia Rais na vyombo vya usalama yasingemkuta yote haya. Mbaya zaidi akatumia kanisa lake kupiga propaganda za kisiasa na vitisho. Kajilipua kijinga mno. Acha DOLA imshikishe adabu.
Mkuu unabishana na robot 🤖 ambalo lipo kazini 🤣Kwanza kabisa, kumshambulia rais ni haki ya kikatiba.
Pili Gwajima hakumshambulia rais, rais ndiye kamshambukia Gwajima baada ya Gwajima kukemea utekaji.
Hilo maana yake ni kwamba rais anabariki utekaji.
Unaposema acha dola imshikishe adabu Gwajima, unaonesha ujinga kwamba huelewi kuwa katika nchi ambayo kutekana na kuuana ni kitu cha kawaida, hata wewe unaweza kutekwa na kuuawa, hata kwa mistaken identity tu.