Revised question: Kosa la Gwajima ni lipi?

Revised question: Kosa la Gwajima ni lipi?

Hizo elfu 7 mnazopewa per day zinamwishoo wake,huwezi kukemea utekaji alafu usimtaje mtekaji,na huyu mama hamumsaidii mnazidi kumuumiza maskini mpka namuonea huruma,vijana na nyie mnatumika kama pawn ♟️ tu
Kwa nini na wewe usijitokeze hadharani na kutamka kuwa mama ni mtekaji?
 
Kwanin asikemee utekaji wakati wenye mamulaka na dola wamejaa kimya Huku wananchi wakuwa wanataharuki kubwa,kazi ya kanisa mmojawapo ni kukemea maovu kwenye jamii.
Kanisa kwa serikali ni kama taasisi zingine zilizosajiliwa... sio kitu kizito hivyo mnavyodhani.
 
Utakubalije maombi wakati unakunywa damu za watu.

Huyo mwanamke hana tofauti na mchawi. Kwao damu kumwagika wanashangilia.
Umenifungua kitu
Maana Gwajima Alikuwa anaombea mpk viongozi SS wameona Yana backfire 😄Ina make Sense
 
1. Kuwa na akili
2.Kutuonesha mtekaji
3. Kuonesha kuwa kuna watu wana nguvu kuliko
 
Mimi si muumini wa kanisa la ufufuo na uzima wala Gwajima sio role model wangu.. Lakini kitendo chake cha kukemea utekaji wazi wazi na kutaka hatua stahiki zichukuliwe kiliwagusa wengi
Baada ya hapo alipata mashambulizi ya kutosha hasa ndani ya chama chake.. Naye hakukaa kimya bali alirejea na kutangaza maombi kwa wahanga mbalimbali nchini wenye kesi za uhaini, waliotekwa na hata wanasiasa pia..
Maombi yalianza jana na hapohapo ikatoka barua ya kulifungia kanisa lake
Je kosa la Gwajima ni lipi mpaka sasa?
Kukemea utekaji?
Kutaka wahusika watafutwe?
Kuwafanyia maombi wahanga mbalimbali?
Hivi tumefika mahali hata maombi tunayaogopa?View attachment 3354235
Naona hapa na udini unahusika sana tu
 
Gwajima angekemea utekaji bila kumshambulia Rais na vyombo vya usalama yasingemkuta yote haya. Mbaya zaidi akatumia kanisa lake kupiga propaganda za kisiasa na vitisho. Kajilipua kijinga mno. Acha DOLA imshikishe adabu.
Angefanya hivi unavyopendekeza, asingekuwa ameusema ukweli kamili...

Kusema ukweli robo au nusu, ni sawa na kutosema ukweli kabisa. Watoto wa Mungu hawapaswi kuwa hivyo, kuwa nusu waongo na nusu wakweli...!

Alichofanya Askofu Josephat Gwajima ni kuusema ukweli kamili na ukweli wenyewe ni huo, kwamba, Rais Samia a.k.a Chura Kiziwi ndiye muhusika mkuu wa utekaji, utesaji na mauaji ya raia wasio na hatia unaofaywa na jeshi lililo chini yake...!

Au wewe hujui kuwa Rais (ambaye sasa ni Samia) ndiye Commander in chief wa majeshi yote ya ulinzi na usalama?

Au hujui kuwa, jukumu kuu la serikali ni kulinda usalama (uhai) wa watu na mali zao..?

Mbona watu wanatekwa, kuuwawa, kufirwa na kubakwa yeye kanyamaza kimya tu..?
 
Mimi si muumini wa kanisa la ufufuo na uzima wala Gwajima sio role model wangu.. Lakini kitendo chake cha kukemea utekaji wazi wazi na kutaka hatua stahiki zichukuliwe kiliwagusa wengi
Baada ya hapo alipata mashambulizi ya kutosha hasa ndani ya chama chake.. Naye hakukaa kimya bali alirejea na kutangaza maombi kwa wahanga mbalimbali nchini wenye kesi za uhaini, waliotekwa na hata wanasiasa pia..
Maombi yalianza jana na hapohapo ikatoka barua ya kulifungia kanisa lake
Je kosa la Gwajima ni lipi mpaka sasa?
Kukemea utekaji?
Kutaka wahusika watafutwe?
Kuwafanyia maombi wahanga mbalimbali?
Hivi tumefika mahali hata maombi tunayaogopa?View attachment 3354235
kosa la Gwajima ni unafik
 
Acha uongo hamna muisalamu anae weza kushabikia utekaji au mauuaji acheni kuchanganya siasa na Dini.
Una uhakika hakuna muislam anayeshabikia utekaji na uuaji?
Una uhakika?
Mbona wauaji na watekaji wakikemewa anakasirika na kufungia kanisa? Je yeye si muislam?
Kama keshakuwa kafir mseme siyo kila saa kunsifia tuu.
 
Back
Top Bottom