Revenge Inauma Usipime...!


ha ha ha!

we mzee bana....

bora umeretire tu....
 

Huyo mdogo wako ni bonge la genius...hao ndio maprofesa wa MMU tunaowahitaji!!

Babu DC!!
 
si ndo hapo? labda kama hawana watoto yet, maana kama una watoto utaendaje kulala nje unamwacha baba ndani na watoto? ila tumepishana labda kuna wanaofanya hivyo, ila kwa kweli hiyo ni tabia chafu sana

ni zaidi ya chafu naikosea usemi dhabiti, huyo mwanamke balaa...
 
nyamayao bana!...ha ha ha ha!...


aje aje lakini?....ni gani?...

msukuma aje aje pale?....

miss ya
 
Ndo dunia hiyo mapenzi ndo yameharibu kila kitu
 
ivi kwanin akili za akili za wanadamu 'walio wengi' wanatumia muda mwingi sana kufikiria 'mahusiano?'......

hapa mi ndo huwa napishana na wengi sana hapa...yani kama mi napandisha kitonga basi wao wanashuka wanaitafuta aljeeezira
 
babu DC unaonesha kukereka mno na hii thread. hebu punguza munkari kidogo, wewe ni mzee wa busara.
 
nyamayao bana!...ha ha ha ha!...


aje aje lakini?....ni gani?...

msukuma aje aje pale?....

miss ya

miss ya sana tu, mie/msukuma tupo tumejaa tele, tunaburuzana kibabe babe kama kawa, vpi shangazi yangu hajambo?
 
If you plan to revenge...just remember to dig two graves
 
Siku zote ukijifananisha na aliyeshindwa tayari na wewe ni mshindwa tayari. ukiona tu mtu anajifananisha na aliyeshindwa na kujiona yeyebora tu jua tayari alishashindwa sasa alitafuta mahali pa kuonyesha kuwa yeye ni zaidi ya yule
 
ivi kwanin akili za akili za wanadamu 'walio wengi' wanatumia muda mwingi sana kufikiria 'mahusiano?'......

hapa mi ndo huwa napishana na wengi sana hapa...yani kama mi napandisha kitonga basi wao wanashuka wanaitafuta aljeeezira

Mapenzi yanarani dunia huna habari???
 
mimi nadhani hii story sijaielewa.... yaani MAMA ndo alikuwa anarudi asubuhi nyumbani kwa hiyo BABA ndo ana-revenge? hii kitu ipo kweli? baba kuvumilia miaka 2 huu upuuzi?
wonders shall never end!


FP habari ndo hiyo mama anarudi asubuhi baba kanyamaza kumbe anatunga sheria
 
si ndo hapo? labda kama hawana watoto yet, maana kama una watoto utaendaje kulala nje unamwacha baba ndani na watoto? ila tumepishana labda kuna wanaofanya hivyo, ila kwa kweli hiyo ni tabia chafu sana

I agree with you.................
 


Pdidy sijakusoma poa ujue............
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…