FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,802
Umenikumbusha story ya yule baunsa aliyemkimbiza Dogo kisa Dogo kamwambia ikifika saa Tisa lazima nije kukutia dole. Wakati anamkimbiza Dogo akaingia nyumbani kwa babu aliyekuwa anatengeneza baskeli hapo nje. Yule Babu akamuuliza Baunsa sababu za kumkimbiza huyo Dogo ndipo baunsa kwa hamaki akasema " Si huyo Dogo kasema ikifika Saa tisa anakuja kunitia dole? Aje sasa anitie"
Babu wa watu kwa upooole akamjibu, Mjukuu wangu, saa hizi ni saa SITA, si Usubiri hiyo saa TISA ifike kama alivyokuahidi kuja kukutia dole? Au Una haraka sana na hilo dole? Baunsa likapaniki na kumtukana yule babu na kuondoka kwa aibu.
Sasa Faiza Foxy, wewe na wenzio si msubiri hiyo saa TISA?
Naona nyie ndio mnaharaka na mmeanza kumkimbiza mtoto mapema, si mngoje hiyo saa tisa, au mmeshindwa kustahamili.
Huu mfano unawafaa kabisa nyie wenye viherehere mnaokuja na porojo, ngojeni saa tisa, vidole vipo tu.