Revealing: TANESCO inaidai IPTL Tshs Bilioni 321...

Huyu mdudu IPTL kwa nn serikali isivunje mkataba nayo? kama ni kuwalipa tuwalipe tu gharama za kuvunja mkataba na mambo yaishe tu.
 
Tunakuongezea wiki moja tena
Mkiniongezea wiki nyingine Mikataba yote ya madini na gesi inasitishwa rasmi na kufanyika upya.

Makampuni yote yaliyoingia mikataba yajitokeze kwanza ili tuijadili hiyo mikataba upya. Iwapo waliweka hiyo mikataba na wale mafisadi papa niliokwisha wanyonga wiki iliyopita, basi mikataba yao inakufa kifo chema. Wanaanza upya wakitaka. Hii itachukua muda, labda mniongezee wiki nyingine tena ili nikamilishe kazi!
 
Nchi ya majuha hii na walalamikaji kila cku bila kuchukua hatua,hili litaisha hivi hivi tu sasa kama report inakwepa kuwataja wahusika unategemea nn hapo,au aliyefanya uchunguzi wa report hyo nae kishapokea rushwa?
 
Mkiniongezea wiki nyingine Mikataba yote ya madini na gesi inasitishwa rasmi na kufanyika upya. Makampuni yote yaliyoingia mikataba yajitokeze kwanza ili tuijadili hiyo mikataba upya. Iwapo waliweka hiyo mikataba na wale mafisadi papa niliokwisha wanyonga wiki iliyopita, basi mikataba yao inakufa kifo chema. Wanaanza upya wakitaka. Hii itachukua muda, labda mniongezee wiki nyingine tena ili nikamilishe kazi!

Tunakupa mwezi mzee. Fanya kazi.
 
Kwanini tusikupe mwezi ukasafisha kabisa na kupanga safu mpya ya uongozi au we unasemaje?
 
mimi nasubiri mwisho wake, ila kila mmoja atavuna alichopanda
 
Safari hii tutaheshimiana tuu.

Kanu iliondoka kwa kashfa ya huyu huyu kalasinga
 
Kwanini tusikupe mwezi ukasafisha kabisa na kupanga safu mpya ya uongozi au we unasemaje?
Mkinipa mwezi natanganza "state of emergency". Nchi inatangazwa rasmi kuwa katika hali ya hatari kwa kuwa wataibuka wapambe wa wale mafisadi papa niliowanyonga watataka kunipindua. Nawakamata ring leaders wao kesi inasikilizwa kwa siku moja na siku ya pili na hao nao wananyongwa hadharani. Upepo unatulia kidogo! Naweka makachero kila mahali kupeleleza kinachoendelea.

Nageuka kuwa dikteta wa hali ya juu lakini mzalendo kamili! Wale wafungwa wote walioko magerezani kwa wizi mdogomdogo kama wa kuku wanatandikwa tu bakora na kuachiwa huru. Wanatoa nafasi kwa majizi makubwa yaliyohujumu uchumi. Mali yote ambayo CCM walikwapua kutoka kwa wananchi wakati ule wa utawala wa chama kimoja inarudishwa mikononi mwa wananchi. Kazi hii itafanyika kwa muda wa mwezi mzima na utawala wangu unaisha tena. Anakuja rais mwingine. Au kama mnataka kuniongeza muda tena mseme.
 
Huyu mdudu IPTL kwa nn serikali isivunje mkataba nayo? kama ni kuwalipa tuwalipe tu gharama za kuvunja mkataba na mambo yaishe tu.

TATIZO huko kuna mirija ya ya vigogo akina mkono mkuu na wengine kuishi kwao kunategemea kuwepo hilo Dude
Si unaona hadi akina kilain wanapewa10 % unategemea nin
 
Mkinipa mwezi natanganza "state of emergency". Nchi inatangazwa rasmi kuwa katika hali ya hatari kwa kuwa wataibuka wapambe wa wale mafisadi papa niliowanyonga watataka kunipindua. Nawakamata ring leaders wao kesi inasikilizwa kwa siku moja na siku ya pili na hao nao wananyongwa hadharani. Upepo unatulia kidogo! Naweka makachero kila mahali kupeleleza kinachoendelea.

Nageuka kuwa dikteta wa hali ya juu lakini mzalendo kamili! Wale wafungwa wote walioko magerezani kwa wizi mdogomdogo kama wa kuku wanatandikwa tu bakora na kuachiwa huru. Wanatoa nafasi kwa majizi makubwa yaliyohujumu uchumi. Mali yote ambayo CCM walikwapua kutoka kwa wananchi wakati ule wa utawala wa chama kimoja inarudishwa mikononi mwa wananchi. Kazi hii itafanyika kwa muda wa mwezi mzima na utawala wangu unaisha tena. Anakuja rais mwingine. Au kama mnataka kuniongeza muda tena mseme.
Mheshimiwa rais nakuongeza tena miezi miwili... Chapa kazi baba!
 
Ningebahatika kuwa rais wa Tanzania walau kwa wiki moja tu, kitu ambacho ningefanya ni kuhakikisha kuwa siku ya kwanza ya utawala wangu inatungwa Sheria ya kunyonga wanasiasa waliohujumu uchumi.

Siku ya pili napata orodha ya wahujumu uchumi sugu au mafisadi papa. Siku ya tatu wanafikishwa mahakamani. Siku ya nne kesi inasikilizwa, ushahidi unatolewa na watuhumiwa wanapewa dakika tano-tano tu za kujitetea kila mmoja. Siku ya tano hukumu zinatolewa. Siku ya sita wananyongwa hadharani. Siku ya Saba utawala wangu unaisha. Anaingia rais mwingine!

huko humu umejificha, toka huko uliko tukuone usije ukawa ni walewale!
 
Mkinipa mwezi natanganza "state of emergency". Nchi inatangazwa rasmi kuwa katika hali ya hatari kwa kuwa wataibuka wapambe wa wale mafisadi papa niliowanyonga watataka kunipindua. Nawakamata ring leaders wao kesi inasikilizwa kwa siku moja na siku ya pili na hao nao wananyongwa hadharani. Upepo unatulia kidogo! Naweka makachero kila mahali kupeleleza kinachoendelea.

Nageuka kuwa dikteta wa hali ya juu lakini mzalendo kamili! Wale wafungwa wote walioko magerezani kwa wizi mdogomdogo kama wa kuku wanatandikwa tu bakora na kuachiwa huru. Wanatoa nafasi kwa majizi makubwa yaliyohujumu uchumi. Mali yote ambayo CCM walikwapua kutoka kwa wananchi wakati ule wa utawala wa chama kimoja inarudishwa mikononi mwa wananchi. Kazi hii itafanyika kwa muda wa mwezi mzima na utawala wangu unaisha tena. Anakuja rais mwingine. Au kama mnataka kuniongeza muda tena mseme.

Mr.Prezidaa tuta kupa mwaka kabisa!
 
Watanzani na tuseme inatosha sasa,Kikwete must go.
 
Mboma kama mwenyekiti wa bodi ya TANESCO,atakuwa mkuu wa majeshi wa kwanza mstaafu,kupandishwa kizimbani kwa tuhuma za ufisadi!
 
Back
Top Bottom