Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,335
- 105,748
Waziri aonyeshe barua aliyoandikiwa
Mawaziri wa Vodafasta hata kwa cellphone unawaalika, isitoshe atasema kaalikwa katika personal, sio official capacity.
Kama vile kuna real distinction.
Waziri aonyeshe barua aliyoandikiwa
Hata mie nilitilia mashaka. Mtu mzima na PhD yake aende sehemu bila kualikwa, how come? Afu em jaribu kusoma(japo vichwa vya habari) makala za nevin meena kwenye mwananch jumapili, utajuwa tu kuwa ni gamba anayefunga na kuomba apewe ukuu wa wilaya.
Yani kama Meena kakubali kupokea bahasha ili amsafishe Mh.Nchimbi, basi taaluma ya habari haitakaa iheshimike na kuaminika kwa 100%
Mimi nisipoona nakala ya barua ya mwaliko,
au kuona Sms iliyomwalika,
au kusikia sauti iliyorekodiwa ya Meena kumwalika Nchimbi, sitasadiki kamwe!
Umenena sawa sawa kabisa Mkuu Msendekwa. Atakuwa mtu wa ajabu anaweza kualikwa tu kwenda kwenye shughuli kama hiyo kwa mdomo pekee. Hard to blieve. Kwa hili Thomaso tutakuwa wengi. Aibu yake, aibu yao.
nO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK
DC ni CRISPN MEELA huyu ni NEVILLE MEENA!
Ni kweli kabisa. Unajuwa iko hivi, waliokuwa wana andamana ni waandishi wa habari na siyo wahariri. Wahariri walikwenda pale kwa ajili ya kuwapokea wana taaluma wenzao tu. Lakini je nani alitakiwa apewe hayo malalamiko ya unyanyasaji wa vyombo vya habari uliopelekea kuuwawa kwa Mwangosi? Ni serikali obvious, sasa lawama ilikuwa ni kwa jeshi la polisi ambalo liko chini ya Waziri wa mambo ya ndani. Hivyo wahariri walimualika Nchimbi kuja kupokea malalamiko ya jeshi lake. Full stop
maandishi yako ya kijani yaonekana wewe ni magamba damu unataka kufunika magamba wenzio
au ww ni msemaji wa waziri au waziri mwenyewe
tupe vielelezo kamili na vibandike hapa na sio kutuambia reveleaed, so what?
hajaalikwa alijipendekeza thats what we know.
mistake sorry for that
Hivi unadhani Nchimbi mtu wa maana sana? Binafsi sishangai kama kaja kwa mwaliko wa kihuni. Kuhusu Meena,inawezekana kuna ukweli yeye na baadhi ya wahariri wameshiriki ktk deal hiyo chafu. Kuanzia Ikulu serikali inahaha kujisafisha,kwa hiyo pesa na ahadi za vyeo kwa waandishi wa habari wasio na integrity lazima wanase kwa urahisi!
Na majibu akayapata!Waziri dhaifu ndo maana alikubali kualikwa 'kihuni' bila barua.
Umenena sawa sawa kabisa Mkuu Msendekwa. Atakuwa mtu wa ajabu anaweza kualikwa tu kwenda kwenye shughuli kama hiyo kwa mdomo pekee. Hard to blieve. Kwa hili Thomaso tutakuwa wengi. Aibu yake, aibu yao.
Kibaya zaidi ni kwamba eti alikwenda pale na gari lenye namba zisizo za kiofisi wakati eti alitaka kutoa hiyo taarifa ya kiofisi, kama ilivyokwisha onyeshwa hapa. Mbona mambo yanachanganywa changanywa ovyo ovyo! Waziri anakubali kujiweka katika mipango ovyo ovyo namna hii?
Mawaziri wa Vodafasta hata kwa cellphone unawaalika, isitoshe atasema kaalikwa katika personal, sio official capacity.
Kama vile kuna real distinction.
ni kweli kabisa. Unajuwa iko hivi, waliokuwa wana andamana ni waandishi wa habari na siyo wahariri. Wahariri walikwenda pale kwa ajili ya kuwapokea wana taaluma wenzao tu. Lakini je nani alitakiwa apewe hayo malalamiko ya unyanyasaji wa vyombo vya habari uliopelekea kuuwawa kwa mwangosi? Ni serikali obvious, sasa lawama ilikuwa ni kwa jeshi la polisi ambalo liko chini ya waziri wa mambo ya ndani. Hivyo wahariri walimualika nchimbi kuja kupokea malalamiko ya jeshi lake. Full stop