Revealed: Viongozi Jukwaa la Wahariri walimwalika Nchimbi katika maandamano

Hata mie nilitilia mashaka. Mtu mzima na PhD yake aende sehemu bila kualikwa, how come? Afu em jaribu kusoma(japo vichwa vya habari) makala za nevin meena kwenye mwananch jumapili, utajuwa tu kuwa ni gamba anayefunga na kuomba apewe ukuu wa wilaya.

PHD?!!! kwa siasa za Tanzania ukiwa na PHD wakati mwingine unaonekana zuzu tu kwa jinsi mambo yanavyokwenda kishabiki
 
Yani kama Meena kakubali kupokea bahasha ili amsafishe Mh.Nchimbi, basi taaluma ya habari haitakaa iheshimike na kuaminika kwa 100%

Fallacy argument. Hasty generalization. That is beyond impossible mkuu Lyimo. Lakini la bahasha limetoka wapi tena hapa. Si vyema kutuhumu mtu kwa tendo kama hilo, kiasi hicho bila ushahidi. No plz.
 
Mimi nisipoona nakala ya barua ya mwaliko,
au kuona Sms iliyomwalika,
au kusikia sauti iliyorekodiwa ya Meena kumwalika Nchimbi, sitasadiki kamwe!

Umenena sawa sawa kabisa Mkuu Msendekwa. Atakuwa mtu wa ajabu anaweza kualikwa tu kwenda kwenye shughuli kama hiyo kwa mdomo pekee. Hard to blieve. Kwa hili Thomaso tutakuwa wengi. Aibu yake, aibu yao.
 
maandishi yako ya kijani yaonekana wewe ni magamba damu unataka kufunika magamba wenzio
au ww ni msemaji wa waziri au waziri mwenyewe
tupe vielelezo kamili na vibandike hapa na sio kutuambia revealed, so what?
hajaalikwa alijipendekeza thats what we know.
 
Umenena sawa sawa kabisa Mkuu Msendekwa. Atakuwa mtu wa ajabu anaweza kualikwa tu kwenda kwenye shughuli kama hiyo kwa mdomo pekee. Hard to blieve. Kwa hili Thomaso tutakuwa wengi. Aibu yake, aibu yao.

Hivi unadhani Nchimbi mtu wa maana sana? Binafsi sishangai kama kaja kwa mwaliko wa kihuni. Kuhusu Meena,inawezekana kuna ukweli yeye na baadhi ya wahariri wameshiriki ktk deal hiyo chafu. Kuanzia Ikulu serikali inahaha kujisafisha,kwa hiyo pesa na ahadi za vyeo kwa waandishi wa habari wasio na integrity lazima wanase kwa urahisi!
 
Ni kweli kabisa. Unajuwa iko hivi, waliokuwa wana andamana ni waandishi wa habari na siyo wahariri. Wahariri walikwenda pale kwa ajili ya kuwapokea wana taaluma wenzao tu. Lakini je nani alitakiwa apewe hayo malalamiko ya unyanyasaji wa vyombo vya habari uliopelekea kuuwawa kwa Mwangosi? Ni serikali obvious, sasa lawama ilikuwa ni kwa jeshi la polisi ambalo liko chini ya Waziri wa mambo ya ndani. Hivyo wahariri walimualika Nchimbi kuja kupokea malalamiko ya jeshi lake. Full stop

Kwani Nchimbi ni waziri wa habari na utamaduni? Yani wana muita aliyewaua wamlalamikie! Naive! Nawahurumia waandishi, wanauzwa na wahariri wao!
 
maandishi yako ya kijani yaonekana wewe ni magamba damu unataka kufunika magamba wenzio
au ww ni msemaji wa waziri au waziri mwenyewe
tupe vielelezo kamili na vibandike hapa na sio kutuambia reveleaed, so what?
hajaalikwa alijipendekeza thats what we know.

Hahahahahahahaa asante mkuu
 
Hivi unadhani Nchimbi mtu wa maana sana? Binafsi sishangai kama kaja kwa mwaliko wa kihuni. Kuhusu Meena,inawezekana kuna ukweli yeye na baadhi ya wahariri wameshiriki ktk deal hiyo chafu. Kuanzia Ikulu serikali inahaha kujisafisha,kwa hiyo pesa na ahadi za vyeo kwa waandishi wa habari wasio na integrity lazima wanase kwa urahisi!

asante kwa comment yako hii. nchimbi na ikulu yote wanatafuta forum ya kujisafisha na waliamua kumtumia meena ili kuipata hiyo forum bila hata kuwashirikisha wahariri wenzake. na nimethibitishiwa meena na nchimbi ni marafiki wazuri so huenda wametumia urafiki wao katika issue hii ambayo kidogo ilikuwa ina maslahi ya wanahabari wote na sio maslahi ya mtu mmoja. kidogo hii haijakaa vizuri kwa wanahabari
 
Umenena sawa sawa kabisa Mkuu Msendekwa. Atakuwa mtu wa ajabu anaweza kualikwa tu kwenda kwenye shughuli kama hiyo kwa mdomo pekee. Hard to blieve. Kwa hili Thomaso tutakuwa wengi. Aibu yake, aibu yao.

Kibaya zaidi ni kwamba eti alikwenda pale na gari lenye namba zisizo za kiofisi wakati eti alitaka kutoa hiyo taarifa ya kiofisi, kama ilivyokwisha onyeshwa hapa. Mbona mambo yanachanganywa changanywa ovyo ovyo! Waziri anakubali kujiweka katika mipango ovyo ovyo namna hii?
 
Hivi unadhani mawaziri wa Tanzania wako systematic kama unavyofikiria??
 
Mawaziri wa Vodafasta hata kwa cellphone unawaalika, isitoshe atasema kaalikwa katika personal, sio official capacity.

Kama vile kuna real distinction.

Mkuu Kiranga!
Mbona hata hao waandishi wa habari wengi ni vodafasta! Bongo ukiwa na laptop na Camera wewe ni mwandishi wa habari angalau zamani walikuwa wanakwenda TSJ; hiyo kumfukuza Nchimbi imewasaidia kitu gani? Nchimbi bado ni waziri wa mambo na kama wana malalamiko ya ziada Nchimbi ndiye atakayezungumza nao .

Chama
Gongo la mboto DSM
 
ni kweli kabisa. Unajuwa iko hivi, waliokuwa wana andamana ni waandishi wa habari na siyo wahariri. Wahariri walikwenda pale kwa ajili ya kuwapokea wana taaluma wenzao tu. Lakini je nani alitakiwa apewe hayo malalamiko ya unyanyasaji wa vyombo vya habari uliopelekea kuuwawa kwa mwangosi? Ni serikali obvious, sasa lawama ilikuwa ni kwa jeshi la polisi ambalo liko chini ya waziri wa mambo ya ndani. Hivyo wahariri walimualika nchimbi kuja kupokea malalamiko ya jeshi lake. Full stop

wamemualika ilikuja kumtia aibu.....foolllliiisssshhhhh stop
 
Back
Top Bottom