Jukwaa la Wahariri TEF sio chombo cha editors kitaifa

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
6,825
9,533
Muache kuongopea umma chama chenu hakiwakilishi Wahariri wote wa nchi hii.

chama Chao TEF si chama cha haki na wala si chama cha Wahariri Tanzania kwa sababu hakiwakilishi Wahariri wote kutoka vyombo vyote Tanzania ni kakikundi tu ka editors hasa wa Print media ndio walaji humo.

Uanachama wa TEF wa the so called eti "Jukwaa la Wahariri" wa Tanzania. Are you sure linawakilisha vyombo vyote vya habari Tanzania!?

Nadiriki kusema hako ni kakikundi ka waandishi wa Habari wachache akina Neville Meena na wenzake hasa kutoka 'print media' ambao wamejikusanya ili kupiga fedha huku chama Chao tangu kuasisiwa kwake kikikosa uwakilishi wa Wahariri wote wa Tanzania.

Hivyo basi,TEF sio Jukwaa la Wahariri Tanzania. Ni chama cha wahariri mikoa ya Dar na Dodoma.

Nchi hii media hazipo Dar na Dodoma tu.

Badala yake waliite Jukwaa la Wahariri Dar es salaam na Dodoma maana ndiko members wa hicho chama cha kimkoa wanakotoka.

Msijifanye wasaafii sana rekebisheni kwanza hicho chama chenu kiwe inclusive kiwajumuishe editors wote wa Tanzania kutokea media za Tunduru, Katavi, Mbulu, mpaka Mtwara na kote nchini.

Waandishi wa Habari hii Tanzania ni wabinafsi sana ndio maana hata MCT iliyopo imefeli that's why serikali itawaundia independent MCT. Mnaboa mnaojiita eti TEF.

Kachama kenu kamekuwa kakibinafsi kama ilivyo MCT ya kina Kajubi media nyingi hazina uanachama wala hao wanataaluma sio wanachama

Tuna waandishi wa habari lukuki hii nchi ila waulize lolote kuhusu MCT au TEF hawajui

Kwenye vilabu vya uandishi nako tatizo nitakuja na uzi wake one day!...

Media ya Tanzania mkiendelea hivi tutachelewa sana kufika tunakopaswa kwenda

Juzijuzi hapa mkamualika Mheshimiwa PM as if TEF stands for all mass media editors kumbe ni nyinyi tu

Ifike pahala Mass Media as a profession mjitambue muwe na chama kimoja kama ilivyo Tanganyika Lawyers Society TLS ambacho kinasimamia uniquely masilahi ya wanasheria

Yaani Mass Media mna sijui Jukwaa sijui MCT sijui mwamvuli wa vilabu vya waandishi sijui chama cha waandishi wa nini na nini....you guys aren't one ndo maana mnafeli

Bora serikali imewaundia tu Independent Media Council maana mmeshindwa kujisimamia mnakimbizana na bahasha za kaki ndo maana yule mwigizaji siku ile alidharau taaluma akijua media persons wako bent kwenye pesa tu and nothing else
 
Daaa, mtoa mada umenichekesha sana aseee, uliwahi kunyimwa bahasha nini?.

Maana hicho kikundi long time na wadau walio humo huwa hawaongezeki na wakiongezeka basi ujue kuna 'ka'conference au mafunzo yametolewa na asasi, taasisi au shirika flani so wanataka waje wahariri kadhaa, ndiyo wanachagua watu wao 😂!.

Nakumbuka semina za mafunzo kutoka Tanapa kule Tanga mwaka jana do, 😂😊 !!.
 
Daaa, mtoa mada umenichekesha sana aseee, uliwahi kunyimwa bahasha nini?.

Maana hicho kikundi long time na wadau walio humo huwa hawaongezeki na wakiongezeka basi ujue kuna 'ka'conference au mafunzo yametolewa na asasi, taasisi au shirika flani so wanataka waje wahariri kadhaa, ndiyo wanachagua watu wao !.

Nakumbuka semina za mafunzo kutoka Tanapa kule Tanga mwaka jana do, !!.
Wapiga deal tu hao mi hata sio mwandishi mkuu ila ni mdau wa media TEF yaani ni kakikundi ambako waandishi wachache wajanja wanaombea misaada kwa donors wakidai kinawakilisha editors wa nchi nzima jambo ambalo si kweli
 
ni kakikundi ambako waandishi wachache wajanja wanaombea misaada kwa donors wakidai kinawakilisha editors wa nchi nzima jambo ambalo si kweli
Ahahaaa, ila kama wanapiga deal sawa tu, maana waandishi wenyewe wana roho za korosho, so acha wapigwe wakija kushtuka umri umewatupa au ni kizazi kingine.

Hawa wa sasa (baadhi) roho zao devil has relief.
 
Back
Top Bottom