Kuna ukweli usiothibitishwa kuwa kuvunjika kwa baraza la mawaziri kwa mara ya pili ni mbinu za kikwete na maswahiba wake wa karibu kwa ajili ya kumake sure kila aliyekaribu yao anaonja utamu wa uwaziri au n/waziri au ukatibu mkuu. Inasemekana wakati wa kuvunja baraza la mawaziri kulikotokea baada ya lowasa kufukuzwa kutoka na mkashifa mbaya wa richmond ilikuwa mipango ya kikwete na alimtumia sitta na baadhi ya wana ccm wanaojiita wapambanaji kumsulubu ili apate nafasi ya kuwaweka wale waliokuwa amewaacha nje. Nasikia hata kuamua kuvunja baraza kulikotangazwa jana ni matokeo ya kikwete kuwatuma baadhi ya wabunge akiwemo rafiki yake kipenzi zitto na akina filikunjombe kwa kuwapanga na kuwapa data ili kulitikisa bunge ambako mwisho wa siku ni lazima wananchi waunge mkono na kutoa shinikizo na kuonekana kikwete hana namna ya kufanya zaidi ya kuvunja bunge. Inasemekana kikwete anajua tabia na kiwango cha ufisadi cha kila waziri ila huwa hana muda wa kuonya wala wa kuwachukulia hatua ila husubiri wakati uwaondoe ili apate nafasi za kiswahiba kumaliza ngwe yake....mara nyingi watu wengi wamekuwa wakisema kuwa kikwete niu mtu hatari sana kwa mustakabali wa nchi nilikuwa naamini nusu nusu tu. Lakini sana kwa jinsi nnavyoona mambo naona hatari tupu iliyoko mbele yetu iwapo kikwete ataendelea kuwa rais.... Na hii maana yake tuna rais kivuli"
nbawasilisha!
nbawasilisha!