Revealed: JK behind UVCCM Recent Moves | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Revealed: JK behind UVCCM Recent Moves

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mdau, Jan 31, 2011.

 1. Mdau

  Mdau JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2011
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,771
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 180
  Wadau, taarifa from well placed source zinaonyesha kwamba recent moves za UVCCM kutoa matamko kadhaa, hasa la kuvunja bodi ya mkopo ni maelekezo rasmi toka juu na kwamba bodi itakapovunjwa au kufanyiwa reshuffle, serikali ya CCM ipate support toka kwa wanafunzi wa vyuo vikuu ambao inawachukulia sasa kama kundi linaloipinga kwa nguvu zote...zaidi ni kwamba kuna nguvu kubwa sana ya pesa inayotumika sasa kuwahonga vijana wanaojiita wanamapinduzi toka vyuo mbalimbali nchini ili waingie kwenye mkakati wa kuchota akili za wenzao kufanikisha lengo la CCM..
   
 2. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Inavoelekea hapo kuna ukweli... ila wamekosea timing, wale vijana wa vyuo leo wamebadili muelekeo :laugh:
   
 3. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Msomi hapumbazwi na fedha za kupita, waanze kuboresha na makazini pia.
   
 4. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #4
  Jan 31, 2011
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Wanafgunzi waje na List ndefu ya madai yao.
  Dai moja likitekelezwa jingine lichukue nafasi ya juu hadi CCM ichoke ulimi nje.
  SISI tulipiga kelele kwa nguvu zetu zote juu ya board ya mikopo, kufikia hadi kusaidia wanafunzi waathirika huko RUSSIA kwa pesa zetu wenyewe serikali ilikuwa Bubu na UVCCM walikula jiwe.

  Uongo huu namba mbili wa serikali ya CCM ni dalili kubwa kwamba wameishiwa strategies.

  Ubaya wa kuamua haraka kuanzisha jambo ili kuendelea kuungwa mkono ni kwamba kuna short term plans tu huku long term plan zikiwa empty.

  Wanafunzi wawaulize long term Plans ya UVCCM na roll yao katika chama ambacho hakiwaungi mkono ni nini?. Are they ready to leave the party if it does not take their demands seriously??

  Why Board ya mikopo na Dowans na siyo Mikataba ya Madini, Wizi wa Mabilioni kupitia DEEP GREEN na KAGODA. Why not status ya Meremeta?

  Why Dowans na Board ya Mikopo??

  Hivi wanadhani wanafunzi wa vyuo ni wajinga??
   
 5. n

  niweze JF-Expert Member

  #5
  Jan 31, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  I like this analysis. Kuna kitu kikubwa kinaendelea kati ya UVCCM na UDSM na CCM inaonekana kuwaogopa wanafunzi wa Vyuo more than Chadema kwa sasa. Ukiangalia kilichotokea huko Tunisia na Egypt ni typical kwa mapinduzi kuanzia vyuoni. UVCCM wanatumika kama negotiator kuwamaliza force ya wanafunzi vyuoni hasa UDSM. Kitu cha kusikitisha ni kwamba kuna wanafunzi wananunuliwa na CCM openly. UVCCM wanafanya kazi hii kwa sababu hakuna Kiongozi wa CCM ambaye sasa hivi anaweza kusogea UDSM. Hatati tunayoiona kama NCCR walivyo nunuliwa na kuuliwa kwa kutumia hizo hizo pesa za Dowans tunazo pigania UDSM wananunuliwa kwa sasa. Tunataka UDSM waje public waseme kinachoendelea kati yao na UDSM mara moja la sivyo wananchi tutawaunganisha kama TLP au tawi lingine la CCM.
   
 6. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #6
  Jan 31, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ok so it turns out kwamba JK is becoming the winner on this again? That will never happen . msimamo wake unaeleweka na uko wazi kwamba yeye na mafisadi dam dam. As a leader kama kweli hii habari ni kweli basi he doesn't deserve kuwa hata mwenyekiti wa kijiji!!!!!!!!!
   
 7. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #7
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,077
  Likes Received: 4,662
  Trophy Points: 280
  Uzuri ni kwamba Vihiyo hata kudanganya/ to cheat hawajui yaani openly utajua wanasema uongo, UVCCM few minutes walivyoongea
  hovyo kabisa, Tambwe hiza alike. so hata hizo tactics za kuwanunua varsities students will fail, kwani ni mara ya kwanza? juzi UDOM
  ilikuwaje wakati wa kampeni? leo je? msomi wa kweli hanunuliki, period
   
 8. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #8
  Jan 31, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,742
  Likes Received: 82,679
  Trophy Points: 280
  Kama hili ni kweli basi ni dalili nyingine za kuonyesha kwamba Kikwete uongozi wa nchi umemshinda. Uongozi wake hauna ubia na UVCCM hivyo kama hawezi kufanya maamuzi mazito kwa manufaa ya Watanzania mpaka apate support toka kimoja cha vitengo vya CCM basi ni bora tu abwage manyanga.

   
 9. M

  Mindi JF-Expert Member

  #9
  Jan 31, 2011
  Joined: Apr 5, 2008
  Messages: 1,393
  Likes Received: 945
  Trophy Points: 280
  That is typical of JK - kujifichaficha tu utadhani anawania mke wa mtu. kinachotia matumaini ni kwamba kuna upepo unavuma sasa hivi ambao unadai hatua za dhati za muda mrefu za kutatua matatizo ya nchi. sasa hivi haiwezekani mtu kuleta ubangaizaji na kununua watu. muda mrefu mno serikali ya ccm haijawekeza katika watu, na kwa hiyo mabomu mengi mno yanasubiri kulipuka. zima moto haitasaidia. leo litalipuka hili, kesho lile. there is no shortage of scandals. kwa bahati mbaya, hata akiingia madarakani mtu mkweli na mwenye nia ya kweli ya kuleta mabadiliko, kutakuwa na kipindi cha mpito cha matatizo makubwa yanayohitaji mshikamano wa kitaifa na uvumilivu.
   
 10. kilemi

  kilemi JF-Expert Member

  #10
  Jan 31, 2011
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 520
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kama hao wanavyuo wakikubaliana na UVCCM, vipi ile kauli ya JK kule Dodoma ya wanafunzi kuacha kujiingiza kwenye siasa?
   
 11. K

  KunjyGroup JF-Expert Member

  #11
  Jan 31, 2011
  Joined: Dec 7, 2009
  Messages: 352
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Nyoka ni nyoka tu. Sisiem ni sisiem tu. A man/woman who's noble, patriotic & has moral integrity WOULD NOT STAND BEING A SISIEM CADRE. Period
   
 12. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #12
  Jan 31, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,571
  Likes Received: 18,544
  Trophy Points: 280
  Mdau, this is very posible kweli ni scheme ya CCM ila napingana na wewe kuwa ni JK. Kwa maoni yangu, JK is not this smart. Inaonyesha kwenye CCM there is someone very smart. Smater than JK, ila pia UVCCM ni mazuzu kwel!. Wanatumiwa kupinga tozo kwa Dowans as if hawajui hizo ndizo fedha za maandalizi ya 2015!.
  Hawajui mahakama itaamriwa kuipitisha tozo hiyo!. Na hawata amini majina la local partners wa Dowans Tanzania, baada ya mahakama ku-unveil the corporate veil ya Dowans Tanzania!.
   
 13. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #13
  Jan 31, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Kama ni kweli, basi JK is one of the stupidest man alive... anashindwa nini kuamua kama serikali hadi atume vidigidigi kwenda kutukana watu kwenye media? wapo walivunja baraza la mawaziri, TRA ijekua bodi ya mikopo

  Kweli ya leo siyo ya jana.... maumivu yanazidi
   
 14. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #14
  Jan 31, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,007
  Trophy Points: 280
  MUDA uKIFIKA HAKUNA WA KUUZUIA
   
 15. Mwanamalundi

  Mwanamalundi JF-Expert Member

  #15
  Jan 31, 2011
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 3,034
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 180
  ...kusoma na kuelimika na vitu viwilit tofauti. Maadili ni muhimu vilevile. Otherwise, usishangae kuona msomi anapumbazwa na fedha za kupita. Mifano tunayo.........:clap2::clap2:
   
 16. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #16
  Jan 31, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Mimi naamini kuna mikono ya watu zaidi ya JK Kwenye mpango huu.
  Napata strong feeling kwamba Lowasa na kundi lake wanatumia vijana wa CCM kujijenga kuelekea uchaguzi ujao wakitumia udhaifu wa JK wameona mtaji mkubwa uko vyuoni so ili kuwapata waliona kwanza waanzie na issue ya Bodi ya mkopo, kadri muda utakavyo kwenda tutaona mengi
   
 17. FarLeftist

  FarLeftist JF-Expert Member

  #17
  Jan 31, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 362
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  sasa kama kuvunja bodi ya mikopo si avunje tu mwenyewe kuna sababu gani za kuwatumia uvccm?
   
 18. H

  Haika JF-Expert Member

  #18
  Jan 31, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Mimi nilidhani kuwa CCM kuchagua kuongoza nchi kwa maslahi ya wananchi ndo ingekuwa rahisi zaidi ya hivi wanavyotapatapa CCM.
  Masikini dhambi imeshawatafuna hawawezi tena hata kugeuka au kujigeuza, kweli mauti yamefikia.
   
 19. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #19
  Jan 31, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  siku ya kufa nyani, miti yoooote huteleza. jk na wadhalimu wenzie muda umefika sasa wa kutoka madarakani.
   
 20. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #20
  Jan 31, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Nadhan wanataka kumwandalia Lowassa urais ujao. Ni mtandao ulele ule wa Nchimbi uliomuingiza Kikwete madarakani. Sasa wanaweza kuanza na wanafunzi wa Secondary ambao wanatarajia kumaliza na kwenda vyuoni. Afu kwa kufanya hivyo wanaandaa kuungwa mkono na vijana wengi kufikia 2015 na kuamua nani wawe raisi au mgombea wa CCM. Pia wanapotosha movement ya katiba mpya. Tusubiri tuone.
   
Loading...