Revealed: JK behind UVCCM Recent Moves

UVCCM wanayo haki ya kutoa malalamiko yao, hoja zao, vilio vyao,
Pia wanayo haki ya kusikilizwa,

Ila vile vile wajue watanzania wenye akili zao timamu wanayo haki ya kuwapuuza!

Walikuwa wapi siku zooote hizi?

Tunayo haki ya kuwapuuza!
 
UVCCM wanayo haki ya kutoa malalamiko yao, hoja zao, vilio vyao,
Pia wanayo haki ya kusikilizwa,

Ila vile vile wajue watanzania wenye akili zao timamu wanayo haki ya kuwapuuza!

Walikuwa wapi siku zooote hizi?

Tunayo haki ya kuwapuuza!

Lingine inakuwaje waje na issue abayo sio big deal kwa sasa? Kama issue ni bodi ya mikopo ya elimu ya juu wamesukumwa na nini katikati ya semistar? Wametumwa haki ya Mungu!
 
...kusoma na kuelimika na vitu viwilit tofauti. Maadili ni muhimu vilevile. Otherwise, usishangae kuona msomi anapumbazwa na fedha za kupita. Mifano tunayo.........:clap2::clap2:
mzee huna haja ya kupayuka... normal font would suffice
 
Kila kitu wanaweza kufanya kuwadanganya watanzania lakini kuna vitu havitabadilika kwa muda mfupi

1. Ajira kwa vijana

2. Kupanda kwa bei za vitu kila kukicha

3. Umaskini uliokithiri kwa watanzania

4. Rushwa kila mahali, polisi, makazini, hospitali

5. Wageni kujichotea raslimali zilizohalalishwa na ccm. Shame on you JK
 
hata wafanyeje sasa hivi watanzania hawadanganyiki kwa kiwango hicho,hii ni enzi nyingine vijana wanaelewa.
 
Wavunje bodi ya mikopo, kisha wavunje Bodi ya Tanesco, then Wamuondoe Celina Kombani, Jaji Werema, then wawafute uanachjama JK, Rostam, Lowassa pia wamtoe Pinda u-PM, baada ya hapo wapime upepo wa siasa wataona kama CCM haipati wafuasi. Uozo wa CCM ni kuanzia JK na safu yake. Wasitafute mchawi wachawi wenyewe!!
 
sasa kama kuvunja bodi ya mikopo si avunje tu mwenyewe kuna sababu gani za kuwatumia uvccm?

Umenena. Sikubaliani na mtoa hoja kwamba JK anahitaji UVCCM kufanya kitu ambacho kiko kwenye mamlaka yake. This is just porojo and nothing but porojo. Tutasikia mengi kuhusu UVCCM politics!
 
JK and fiasco wamesoma alama za nyakati. Wamevumbua dawa ni kudeviate tension kwenye issue yenye ukweli!!!

Ya tunisia yamekaribia, huu ndiyo ukweli!!! Kwani vitu na gharama za maisha si vinaendelea kupanda, tis just a matter of time!!
 
sasa kama kuvunja bodi ya mikopo si avunje tu mwenyewe kuna sababu gani za kuwatumia uvccm?

Hapendi kuonekana Mbaya....Hata alipotaka kumtimua Lowasa limtafutia sababu wakati uwezo wa kumtimua alikua nao............
 
wakahonge wale wazee wenzake wenye njaa na kiu isiyojua kutosheka kifedha na kicheo; wale ambao ni bendera fuata upepo; I am very sure vijana wetu wazalendo wa Kitanzania hawataweza kudanganya na vijisenti kidoho ili hao wanaowadanganya waendelee kula a lion's share; tena at the expense of our fellow Tanzanians, at the expense of our millions of young people who are made to languish in many ways; at the expense of our parents who are using every penny to make their children what they are today; and definitely not CCM or its leaders!!! Vijana msidanganyike na hizo vijisenti maana zitakwisha na kisha mtachelewesha demokrasia ya kweli ambayo itawakomboa wengi wa nchi hii....enough should always be enough....and I think young people are fed up with cunning lies....now it is time to call a spade a spade....and not otherwise
 
Wanafgunzi waje na List ndefu ya madai yao.
Dai moja likitekelezwa jingine lichukue nafasi ya juu hadi CCM ichoke ulimi nje.
SISI tulipiga kelele kwa nguvu zetu zote juu ya board ya mikopo, kufikia hadi kusaidia wanafunzi waathirika huko RUSSIA kwa pesa zetu wenyewe serikali ilikuwa Bubu na UVCCM walikula jiwe.

Uongo huu namba mbili wa serikali ya CCM ni dalili kubwa kwamba wameishiwa strategies.

Ubaya wa kuamua haraka kuanzisha jambo ili kuendelea kuungwa mkono ni kwamba kuna short term plans tu huku long term plan zikiwa empty.

Wanafunzi wawaulize long term Plans ya UVCCM na roll yao katika chama ambacho hakiwaungi mkono ni nini?. Are they ready to leave the party if it does not take their demands seriously??

Why Board ya mikopo na Dowans na siyo Mikataba ya Madini, Wizi wa Mabilioni kupitia DEEP GREEN na KAGODA. Why not status ya Meremeta?

Why Dowans na Board ya Mikopo??

Hivi wanadhani wanafunzi wa vyuo ni wajinga??

Upo sahihi mkuu...CCM hawajawahi kuwa na long term plans,ndio maana kila siku taulo inawadondoka...hili la UVCCM linaratibiwa kwa pesa nyingi sana,ikimaanisha kwamba tayari kuna mkono wa ufisadi hapo....
 
Lowasa anajiandaa na uchaguzi 2015. Wait and see the final desitanation of uvccm.
 
Fortunately, siku hizi kijana anaposhabikia ccm anaonekana kama mchawi vile!
 
Tatizo kubwa la JK na CCM ni kwamba wanadhani wanaweza kufanikiwa kwa ulaghai, wanadhani kuwa wanaweza kuendelea kutawala kwa hira, na hapa ndipo kuna tatizo kubwa sana. Makamba na matechnocrats wa CCM wameshapitwa na wakati na hawataki kutatua matatizo ya jamii badala yake wanataka kuendelea kubaki madarakani kwa ulaghai na propaganda za kizamani zisizo na nafasi kwenye karne ya leo.
 
Mhhh naona kama hujaitendea haki UDSM. UDSM kuna jumuia nyingi mbalimbali ambazo zina jumuisha interest group mbalimbali mfano kuna RAAU, THTU, UDASA, MSAUD, DUMT na vinginevyo. Sijui unaposema UDSM waje mbele ya public, unamaanisha group gani kati ya hayo??? au unamaana UONGOZI wa Chuo kiutawala unaowakilishwa na VC akiwa na manaibu wake wawili DVC-Academic na DVC- Utawala.
 
Mdau, this is very posible kweli ni scheme ya CCM ila napingana na wewe kuwa ni JK. Kwa maoni yangu, JK is not this smart. Inaonyesha kwenye CCM there is someone very smart. Smater than JK, ila pia UVCCM ni mazuzu kwel!. Wanatumiwa kupinga tozo kwa Dowans as if hawajui hizo ndizo fedha za maandalizi ya 2015!.
Hawajui mahakama itaamriwa kuipitisha tozo hiyo!. Na hawata amini majina la local partners wa Dowans Tanzania, baada ya mahakama ku-unveil the corporate veil ya Dowans Tanzania!.

Mtoto wa Mkubwa hayumo kweli kwenye hii saga, Ridhiwan Kikwete ndani ya UVCCM????????????
 
Upo sahihi mkuu...CCM hawajawahi kuwa na long term plans,ndio maana kila siku taulo inawadondoka...hili la UVCCM linaratibiwa kwa pesa nyingi sana,ikimaanisha kwamba tayari kuna mkono wa ufisadi hapo....

Wanatembea na mizigo ya brief case za fedha, kuhonga wanavyuo wote! Lakini hawa jamaa wanaweza. Lakini inawezekana Bwn JK Hajui mambo yanafanyika kimya kimya.Under the carpet.
 
Wanaoitetea ccm wamebaki kwenye jf tu kwa sababu hawawezi kufahamika kwa sura na majina halisi. Kwenye jamii huwezi kusimama hadharani ukaitetea ccm! Utachekwa mpaka na vichaa.
 
Back
Top Bottom