Z Zion Daughter JF-Expert Member Joined Jul 9, 2009 Posts 8,920 Reaction score 4,242 Aug 11, 2010 #41 Rev Masanilo said: Nabadili Avatar ni vute kondoo wengi! Click to expand... Hapo umetukuna mtumishi.Bwana akutangulie
Rev Masanilo said: Nabadili Avatar ni vute kondoo wengi! Click to expand... Hapo umetukuna mtumishi.Bwana akutangulie
F Fanta Member Joined Aug 4, 2010 Posts 72 Reaction score 0 Aug 11, 2010 #42 Rev Masanilo said: Kazi ya mama Mchungaji hiyo! Mzenj Original Click to expand... hata kazi za kanisani mnagawana kifamilia tena?
Rev Masanilo said: Kazi ya mama Mchungaji hiyo! Mzenj Original Click to expand... hata kazi za kanisani mnagawana kifamilia tena?
Masanilo Platinum Member Joined Oct 2, 2007 Posts 22,283 Reaction score 4,553 Aug 11, 2010 #43 Zion Daughter said: Hapo umetukuna mtumishi.Bwana akutangulie Click to expand... Unanikwaza binti! Nimekukuna wapi? lol
Zion Daughter said: Hapo umetukuna mtumishi.Bwana akutangulie Click to expand... Unanikwaza binti! Nimekukuna wapi? lol
Masanilo Platinum Member Joined Oct 2, 2007 Posts 22,283 Reaction score 4,553 Aug 11, 2010 #44 Fanta said: hata kazi za kanisani mnagawana kifamilia tena? Click to expand... Mama Mchungaji naye ni mchungaji kama vile first lady wa raisi!
Fanta said: hata kazi za kanisani mnagawana kifamilia tena? Click to expand... Mama Mchungaji naye ni mchungaji kama vile first lady wa raisi!
F Fanta Member Joined Aug 4, 2010 Posts 72 Reaction score 0 Aug 11, 2010 #45 Rev Masanilo said: Kazi kubwa ni kumslimisha maalimu shekh mfuga majini Malaria Sugu abadili dini aje kanisani kwangu! Click to expand... hiyo ni kazi ya 'Neno' la Mungu. acha Mungu akutumie ww kufanya hivo, sasa usije ukajisifu pale matokeo yatakapokuwa mazuri useme 'si unaona ni kazi yangu hiyo!'
Rev Masanilo said: Kazi kubwa ni kumslimisha maalimu shekh mfuga majini Malaria Sugu abadili dini aje kanisani kwangu! Click to expand... hiyo ni kazi ya 'Neno' la Mungu. acha Mungu akutumie ww kufanya hivo, sasa usije ukajisifu pale matokeo yatakapokuwa mazuri useme 'si unaona ni kazi yangu hiyo!'
Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 61,023 Reaction score 36,888 Aug 11, 2010 #46 appostle masanilo
Masanilo Platinum Member Joined Oct 2, 2007 Posts 22,283 Reaction score 4,553 Aug 11, 2010 #47 SAMSONMFALILA said: appostle masanilo Click to expand... Karibu kundini kijana mpotevu! Uza mazaga zaga yako nifuate!
SAMSONMFALILA said: appostle masanilo Click to expand... Karibu kundini kijana mpotevu! Uza mazaga zaga yako nifuate!
Z Zion Daughter JF-Expert Member Joined Jul 9, 2009 Posts 8,920 Reaction score 4,242 Aug 11, 2010 #48 Rev Masanilo said: Unanikwaza binti! Nimekukuna wapi? lol Click to expand... unaanza kunipa mashka.unakwazika kirahisi hivo? sasa hao kondoo waliopotea utawarudishaje kundini?
Rev Masanilo said: Unanikwaza binti! Nimekukuna wapi? lol Click to expand... unaanza kunipa mashka.unakwazika kirahisi hivo? sasa hao kondoo waliopotea utawarudishaje kundini?
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,272 Reaction score 96,398 Aug 11, 2010 #49 Rev Masanilo said: Kazi ya mama Mchungaji hiyo! Mzenj Original Click to expand... Siwezi kuwa katibu wake?
Rev Masanilo said: Kazi ya mama Mchungaji hiyo! Mzenj Original Click to expand... Siwezi kuwa katibu wake?
Masanilo Platinum Member Joined Oct 2, 2007 Posts 22,283 Reaction score 4,553 Aug 11, 2010 #50 Zion Daughter said: unaanza kunipa mashka.unakwazika kirahisi hivo? sasa hao kondoo waliopotea utawarudishaje kundini? Click to expand... Kwa sala na kazi! Kunapo imani hata kama ni ndogo kuliko mbegu za haradani milima itahamishwa....itikia amina
Zion Daughter said: unaanza kunipa mashka.unakwazika kirahisi hivo? sasa hao kondoo waliopotea utawarudishaje kundini? Click to expand... Kwa sala na kazi! Kunapo imani hata kama ni ndogo kuliko mbegu za haradani milima itahamishwa....itikia amina
Renegade JF-Expert Member Joined Mar 18, 2009 Posts 7,346 Reaction score 7,169 Aug 11, 2010 #51 Rev Masanilo said: Nabadili Avatar ni vute kondoo wengi! Click to expand... Mkuu Unatakiwa upako kuvuta kondoo. we mwaga upako tu hapa.
Rev Masanilo said: Nabadili Avatar ni vute kondoo wengi! Click to expand... Mkuu Unatakiwa upako kuvuta kondoo. we mwaga upako tu hapa.
Masanilo Platinum Member Joined Oct 2, 2007 Posts 22,283 Reaction score 4,553 Aug 11, 2010 #52 Asprin said: Siwezi kuwa katibu wake? Click to expand... Kwanza nijue jinsia yako usije leta balaa nyumbani kwa baba askofu rev Masa
Asprin said: Siwezi kuwa katibu wake? Click to expand... Kwanza nijue jinsia yako usije leta balaa nyumbani kwa baba askofu rev Masa
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,409 Aug 11, 2010 #53 Duh Rev Masanilo hicho KiAvatar migogoro
TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 31,193 Reaction score 18,217 Aug 11, 2010 Thread starter #54 Rev Masanilo said: Karibu kundini mchungaji wa kondoo nipo na nguvu mpya! Click to expand... Kweli dasaja la kichungaji si mchezo... naona umekata sana magadi in just a few hours... Surely sasa wale matomaso watakuelewa
Rev Masanilo said: Karibu kundini mchungaji wa kondoo nipo na nguvu mpya! Click to expand... Kweli dasaja la kichungaji si mchezo... naona umekata sana magadi in just a few hours... Surely sasa wale matomaso watakuelewa
Masanilo Platinum Member Joined Oct 2, 2007 Posts 22,283 Reaction score 4,553 Aug 11, 2010 #55 FirstLady1 said: Duh Rev Masanilo hicho KiAvatar migogoro Click to expand... Sababu ya kutumika sana kuongoza kondoo
FirstLady1 said: Duh Rev Masanilo hicho KiAvatar migogoro Click to expand... Sababu ya kutumika sana kuongoza kondoo
Masanilo Platinum Member Joined Oct 2, 2007 Posts 22,283 Reaction score 4,553 Aug 11, 2010 #56 Acid said: Kweli dasaja la kichungaji si mchezo... naona umekata sana magadi in just a few hours... Surely sasa wale matomaso watakuelewa Click to expand... Kwenye uchungaji kuna kondoo na Mbuzi! kuwaweka pamoja ni kazi pevu!
Acid said: Kweli dasaja la kichungaji si mchezo... naona umekata sana magadi in just a few hours... Surely sasa wale matomaso watakuelewa Click to expand... Kwenye uchungaji kuna kondoo na Mbuzi! kuwaweka pamoja ni kazi pevu!
TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 31,193 Reaction score 18,217 Aug 11, 2010 Thread starter #57 Rev Masanilo said: Kazi kubwa ni kumslimisha maalimu shekh mfuga majini Malaria Sugu abadili dini aje kanisani kwangu! Click to expand... Mch. huna haja ya kutia najisi na MS... Yeye ni wale walioamua kuwa na mioyo migumu sana
Rev Masanilo said: Kazi kubwa ni kumslimisha maalimu shekh mfuga majini Malaria Sugu abadili dini aje kanisani kwangu! Click to expand... Mch. huna haja ya kutia najisi na MS... Yeye ni wale walioamua kuwa na mioyo migumu sana
Dreamliner JF-Expert Member Joined Jan 17, 2010 Posts 2,034 Reaction score 214 Aug 11, 2010 #58 Rev Masanilo said: Kazi kubwa ni kumslimisha maalimu shekh mfuga majini Malaria Sugu abadili dini aje kanisani kwangu! Click to expand... Makofi kwa Bwana!!! Ubarikiwe Mchungaji.
Rev Masanilo said: Kazi kubwa ni kumslimisha maalimu shekh mfuga majini Malaria Sugu abadili dini aje kanisani kwangu! Click to expand... Makofi kwa Bwana!!! Ubarikiwe Mchungaji.
TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 31,193 Reaction score 18,217 Aug 11, 2010 Thread starter #59 Dreamliner said: Makofi kwa Bwana!!! Ubarikiwe Mchungaji. Click to expand... he, sasa unataka kumchapa makofi tena?
Dreamliner said: Makofi kwa Bwana!!! Ubarikiwe Mchungaji. Click to expand... he, sasa unataka kumchapa makofi tena?
Masanilo Platinum Member Joined Oct 2, 2007 Posts 22,283 Reaction score 4,553 Aug 11, 2010 #60 Acid said: he, sasa unataka kumchapa makofi tena? Click to expand... Heri umeliona hilo!