Masanilo Platinum Member Joined Oct 2, 2007 Posts 22,283 Reaction score 4,553 Aug 11, 2010 #21 Iteitei Lya Kitee said: Masanilo masanilo!!!! Click to expand... Karibu kundini mchungaji wa kondoo nipo na nguvu mpya!
Iteitei Lya Kitee said: Masanilo masanilo!!!! Click to expand... Karibu kundini mchungaji wa kondoo nipo na nguvu mpya!
F Fanta Member Joined Aug 4, 2010 Posts 72 Reaction score 0 Aug 11, 2010 #22 Rev Masanilo said: Karibu kundini mchungaji wa kondoo nipo na nguvu mpya! Click to expand... Mchungaji naomba ujisitiri kwa manufaa ya wanakondoo wako
Rev Masanilo said: Karibu kundini mchungaji wa kondoo nipo na nguvu mpya! Click to expand... Mchungaji naomba ujisitiri kwa manufaa ya wanakondoo wako
Masanilo Platinum Member Joined Oct 2, 2007 Posts 22,283 Reaction score 4,553 Aug 11, 2010 #23 Fanta said: Mchungaji naomba ujisitiri kwa manufaa ya wanakondoo wako Click to expand... Usiwe na wasi wasi ni sehemu ya ibada!
Fanta said: Mchungaji naomba ujisitiri kwa manufaa ya wanakondoo wako Click to expand... Usiwe na wasi wasi ni sehemu ya ibada!
F Fanta Member Joined Aug 4, 2010 Posts 72 Reaction score 0 Aug 11, 2010 #24 Rev Masanilo said: Usiwe na wasi wasi ni sehemu ya ibada! Click to expand... dini ya mashetani hii eeh?
Rev Masanilo said: Usiwe na wasi wasi ni sehemu ya ibada! Click to expand... dini ya mashetani hii eeh?
Masanilo Platinum Member Joined Oct 2, 2007 Posts 22,283 Reaction score 4,553 Aug 11, 2010 #25 Fanta said: dini ya mashetani hii eeh? Click to expand... Tafadhali hebu ni PM nikutumie sara ya toba!
Fanta said: dini ya mashetani hii eeh? Click to expand... Tafadhali hebu ni PM nikutumie sara ya toba!
F Fanta Member Joined Aug 4, 2010 Posts 72 Reaction score 0 Aug 11, 2010 #26 Rev Masanilo said: Tafadhali hebu ni PM nikutumie sara ya toba! Click to expand... PM yangu iko disabled. lakini weka tu hapa kwa kuwa ni sala kwa manufaa ya wengi
Rev Masanilo said: Tafadhali hebu ni PM nikutumie sara ya toba! Click to expand... PM yangu iko disabled. lakini weka tu hapa kwa kuwa ni sala kwa manufaa ya wengi
Masanilo Platinum Member Joined Oct 2, 2007 Posts 22,283 Reaction score 4,553 Aug 11, 2010 #27 Fanta said: PM yangu iko disabled. lakini weka tu hapa kwa kuwa ni sala kwa manufaa ya wengi Click to expand... Kuna wale wa dini Mbadala watakukwaza! sasa sisi wachungaji hutufanyi hadharani! Ubarikiwe sana
Fanta said: PM yangu iko disabled. lakini weka tu hapa kwa kuwa ni sala kwa manufaa ya wengi Click to expand... Kuna wale wa dini Mbadala watakukwaza! sasa sisi wachungaji hutufanyi hadharani! Ubarikiwe sana
Z Zion Daughter JF-Expert Member Joined Jul 9, 2009 Posts 8,920 Reaction score 4,242 Aug 11, 2010 #28 Fanta said: Mchungaji naomba ujisitiri kwa manufaa ya wanakondoo wako Click to expand... Hii avatar ya baba mchungaji haiendani kabisa na maadili ya utumishi. Anyway hongera Mchungaji..........
Fanta said: Mchungaji naomba ujisitiri kwa manufaa ya wanakondoo wako Click to expand... Hii avatar ya baba mchungaji haiendani kabisa na maadili ya utumishi. Anyway hongera Mchungaji..........
Masanilo Platinum Member Joined Oct 2, 2007 Posts 22,283 Reaction score 4,553 Aug 11, 2010 #29 Zion Daughter said: Hii avatar ya baba mchungaji haiendani kabisa na maadili ya utumishi. Anyway hongera Mchungaji.......... Click to expand... Karibu sana mrembo! Karibu kwenye nyumba ya ibada umpokee bwana kama mwanga na mwokozi ya maisha yako
Zion Daughter said: Hii avatar ya baba mchungaji haiendani kabisa na maadili ya utumishi. Anyway hongera Mchungaji.......... Click to expand... Karibu sana mrembo! Karibu kwenye nyumba ya ibada umpokee bwana kama mwanga na mwokozi ya maisha yako
F Fanta Member Joined Aug 4, 2010 Posts 72 Reaction score 0 Aug 11, 2010 #30 Zion Daughter said: Hii avatar ya baba mchungaji haiendani kabisa na maadili ya utumishi. Anyway hongera Mchungaji.......... Click to expand... najiuliza huu uchungaji ni wa kanisa lipi jamani? naogopa kupotoshwa kama mchungaji ndo huyu
Zion Daughter said: Hii avatar ya baba mchungaji haiendani kabisa na maadili ya utumishi. Anyway hongera Mchungaji.......... Click to expand... najiuliza huu uchungaji ni wa kanisa lipi jamani? naogopa kupotoshwa kama mchungaji ndo huyu
Anyisile Obheli JF-Expert Member Joined Dec 13, 2009 Posts 3,402 Reaction score 320 Aug 11, 2010 #31 Buswelu said: Dah....Hizo nguvu za kuwa mchungaji umezipata wapi bwana?Ngoja FD8 aje humu Click to expand... mgawaji ni Mungu, wala hatoi taarifa kwa umma, bali humfanya mtu vile apendavyo tena haulizwi wala kuhojiwa, maana hapana aliyejuu zaidi yake, hahaaaaa tumsapoti Rev Masanilo katika hili wala hatupaswi kuhoji kekeeeeekeeeeeee
Buswelu said: Dah....Hizo nguvu za kuwa mchungaji umezipata wapi bwana?Ngoja FD8 aje humu Click to expand... mgawaji ni Mungu, wala hatoi taarifa kwa umma, bali humfanya mtu vile apendavyo tena haulizwi wala kuhojiwa, maana hapana aliyejuu zaidi yake, hahaaaaa tumsapoti Rev Masanilo katika hili wala hatupaswi kuhoji kekeeeeekeeeeeee
Masanilo Platinum Member Joined Oct 2, 2007 Posts 22,283 Reaction score 4,553 Aug 11, 2010 #32 Nabadili Avatar ni vute kondoo wengi!
F Fanta Member Joined Aug 4, 2010 Posts 72 Reaction score 0 Aug 11, 2010 #33 Rev Masanilo said: Nabadili Avatar ni vute kondoo wengi! Click to expand... ubarikiwe Rev.
cheusimangala JF-Expert Member Joined Feb 27, 2010 Posts 2,585 Reaction score 499 Aug 11, 2010 #34 eeeh Rev. Masanilo nimekukubali lkn nasoma namba kwanza.mpakwa mafuta wa bwana.
Nyamayao JF-Expert Member Joined Jan 22, 2009 Posts 6,966 Reaction score 2,379 Aug 11, 2010 #35 Rev Masanilo said: Karibu kundini mchungaji wa kondoo nipo na nguvu mpya! Click to expand... haaa mara?
Rev Masanilo said: Karibu kundini mchungaji wa kondoo nipo na nguvu mpya! Click to expand... haaa mara?
Masanilo Platinum Member Joined Oct 2, 2007 Posts 22,283 Reaction score 4,553 Aug 11, 2010 #36 cheusimangala said: eeeh Rev. Masanilo nimekukubali lkn nasoma namba kwanza.mpakwa mafuta wa bwana. Click to expand... Kivazi chako kanisani kwangu hakitakiwi Mchungaji anaweza shindwa kutoa sacrament!
cheusimangala said: eeeh Rev. Masanilo nimekukubali lkn nasoma namba kwanza.mpakwa mafuta wa bwana. Click to expand... Kivazi chako kanisani kwangu hakitakiwi Mchungaji anaweza shindwa kutoa sacrament!
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,272 Reaction score 96,398 Aug 11, 2010 #37 Rev Masanilo said: Nabadili Avatar ni vute kondoo wengi! Click to expand... Mtumishi naomba kazi kanisani mwako. Kamati ya kuhesabu sadaka imeshapata mwenyekiti?
Rev Masanilo said: Nabadili Avatar ni vute kondoo wengi! Click to expand... Mtumishi naomba kazi kanisani mwako. Kamati ya kuhesabu sadaka imeshapata mwenyekiti?
Masanilo Platinum Member Joined Oct 2, 2007 Posts 22,283 Reaction score 4,553 Aug 11, 2010 #38 Nyamayao said: haaa mara? Click to expand... Karibu upate upako!
Masanilo Platinum Member Joined Oct 2, 2007 Posts 22,283 Reaction score 4,553 Aug 11, 2010 #39 Asprin said: Mtumishi naomba kazi kanisani mwako. Kamati ya kuhesabu sadaka imeshapata mwenyekiti? Click to expand... Kazi ya mama Mchungaji hiyo! Mzenj Original
Asprin said: Mtumishi naomba kazi kanisani mwako. Kamati ya kuhesabu sadaka imeshapata mwenyekiti? Click to expand... Kazi ya mama Mchungaji hiyo! Mzenj Original
Masanilo Platinum Member Joined Oct 2, 2007 Posts 22,283 Reaction score 4,553 Aug 11, 2010 #40 Kazi kubwa ni kumslimisha maalimu shekh mfuga majini Malaria Sugu abadili dini aje kanisani kwangu!