Namuomba rev masanilo aombee wana jf na akemee post za ajabu ajabu zisizokuwa na maadili zishindwe kabisa!
yeye mwenyewe sometimes ana post za ajabu hivyo hana ubavu wa kuwakemea wengine. Hata comment yake pale chini ya mabandiko yake inatia hasira kweli. Nadhani huyu ni Rev aliyetengwa na kanisa.
Zitashindwaje wakati ye ni kinara wa kuzituma hizo post na kuchangia kila post tata?
Sisi yatupasa kumuomba REV atujulishe, je ile safari yake alifika salama?
Namuomba rev masanilo aombee wana jf na akemee post za ajabu ajabu zisizokuwa na maadili zishindwe kabisa!
Itafute ile post niliweka picha!
Mpwa bado upo safarini naona post via mobile
yeye mwenyewe sometimes ana post za ajabu hivyo hana ubavu wa kuwakemea wengine. Hata comment yake pale chini ya mabandiko yake inatia hasira kweli. Nadhani huyu ni rev aliyetengwa na kanisa.
Ndugu mrudie muumba wako kabla adhabu na laana hajakuangukia! Kumbuka mapigo mapigo ya wanaisrael kule jangwani!
huyu ndiye rev masanilo (nadhani hii rev haimaanishi reverend). Hebu cheki bandiko lake chini lilivyo kinyume na maadili ya ki reverend
i am full time alcoholic, drugs and sexy addicts - mwisho wa kunukuu
e-mail: masanilo@jamiiforums.com
Kwanini Rev Masa? kuna Rev Kishoka vilevileNamuomba rev masanilo aombee wana jf na akemee post za ajabu ajabu zisizokuwa na maadili zishindwe kabisa!
kwanini rev masa? Kuna rev kishoka vilevile
Narudi Leo jioni hali ni shwari sasa! Nilifungwa kwa muda ila uncle Acid amenipa dhamana!
Kwanini Rev Masa? kuna Rev Kishoka vilevile
Bwana shemeji! Mimi ni wa ukweli! Rev Kishoka yuko kimaslahi zaidi!
Rev nakushauri uachanae na mipombe. Check ilivyokuharibu sura. Utadhani wale wazee wa somalia wanaoelekea kufa na njaa
Loh! Ngoja akusikie!Bwana shemeji! Mimi ni wa ukweli! Rev Kishoka yuko kimaslahi zaidi!