Home tuition services
Member
- Aug 30, 2023
- 86
- 111
Wasanii wetu mnafnya kazi nzuri, lakini mnachangia kwenye Mmonyoko wa Maadili. Tambua nyinyi mnafatiliwa na watu wengi sana wa Rika zote nyimbo mnazoimba nyingi za ajabu, video mnazopost kwenye mitandao ya kijamii hazina Maadili mfano nyimbo kama ameyatimba, nakojoa pazuri, chapati nk.
Muziki wa singeli ndio usiseme kabisa na unakuta watoto wadogo wanaimba hizo nyimbo, nahisi Wasanii wanahitaji kupewa semina ya kutambua umuhimu wao na nafasi zao katika jamii zetu.
Muziki wa singeli ndio usiseme kabisa na unakuta watoto wadogo wanaimba hizo nyimbo, nahisi Wasanii wanahitaji kupewa semina ya kutambua umuhimu wao na nafasi zao katika jamii zetu.